Jumapili, 29 Oktoba 2017

Upendo wa Mungu Huushinda Moyo wa Mwanadamu | "Wimbo wa Kifuasi cha Dhati" (Video Rasmi ya Muziki)



Wimbo wa Kifuasi cha Dhati
Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili.
Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli.
Hekima Yake, Uadilifu Wake, nayapenda yote.
Kukutana Naye, kumpata Yeye, nimebarikiwa sana.
Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili.
Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli.
Hekima Yake, uadilifu Wake, nayapenda yote.

Jumamosi, 28 Oktoba 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mafanikio au Kushindwa Kunategemea Njia Ambayo Mwanadamu Hutembea

Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Watu wengi wanamwamini Mungu kwa ajili ya hatima yao ya baadaye au kwa ajili ya starehe ya muda mfupi. Kwa wale ambao hawajapitia ushughulikiaji wowote, imani kwa Mungu ni kwa ajili ya kuingia mbinguni, ili kupata tuzo. Sio ili kufanywa wawe na ukamilifu, au kutekeleza wajibu wa kiumbe wa Mungu. Ambayo ni kusema kwamba watu wengi hawamwamini Mungu ili watimize majukumu yao, au kukamilisha wajibu wao. Mara chache watu humwamini Mungu ili waishi maisha ya maana, wala hamna wale ambao wanaamini kwamba kwa kuwa mwanadamu yu hai, anapaswa ampende Mungu kwa kuwa ni sheria ya mbinguni na kanuni ya dunia kufanya hivyo, na ni wito wa asili wa mwanadamu.

Jumatano, 25 Oktoba 2017

Maonyesho ya Awali ya Video za Injili | Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | "Bwana Wangu Ni Nani"

Maonyesho ya Awali ya Video za Injili | Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | "Bwana Wangu Ni Nani"


Liu Zhizhong ni mzee katika kanisa moja la mtaani la nyumba nchini China. Amekuwa muumini kwa zaidi ya miaka 30, na amesisitiza bila kukoma kwamba “Biblia ni ufunuo wa Mungu,” “Biblia inamwakilisha Mungu, kuamini katika Mungu ni kuamini katika Biblia, kuamini katika Biblia ni kuamini katika Mungu.” Moyoni mwake, Biblia ni kuu.

Jumanne, 24 Oktoba 2017

Toeni Nyimbo za Sifa kwa Mungu - Muziki wa Akapela "Mpende Mungu Wa Vitendo Kwa Moyo Wetu Wote"

>

Mpende Mungu Wa Vitendo Kwa Moyo Wetu Wote

La … la la la … la la la….
La … la la la … la la la … la….
Jua la haki lapanda kutoka Mashariki.
Ee Mungu! Utukufu wako hujaza mbingu na dunia.
Mpenzi mrembo, upendo Wako huzingira moyo wangu.
Watu wanaofuatilia ukweli wote wanampenda Mungu.

Jumatatu, 23 Oktoba 2017

Nampenda Mungu kwa Moyo Wangu Wote | "Nitampenda Mungu Milele" (Video Rasmi ya Muziki)


Nitampenda Mungu Milele

Ee Mungu! Maneno Yako yameniongoza kurudi Kwako.
Nakubali mafunzo katika ufalme Wako mchana na usiku.
Majaribio mengi na maumivu, mateso mengi sana.
Mara nyingi nilimwaga machozi na kuhisi huzuni,
na mara nyingi nimeanguka katika mtego wa Shetani.
Lakini Hujawahi kuniacha.

Jumapili, 22 Oktoba 2017

Katika Imani Yako kwa Mungu Unapaswa Kumtii Mungu

Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki


Mwenyezi Mungu alisema: Kwa nini unamwamini Mungu? Watu wengi wanafadhaishwa na swali hili. Siku zote wana mitazamo tofauti kuhusu Mungu wa vitendo na Mungu wa mbinguni, jambo linaloonyesha kwamba wanamwamini Mungu sio ili wamtii, bali kupata manufaa fulani, au kuepuka mateso ya janga. Wakati huo tu ndipo wanakuwa watii kwa kiasi fulani, lakini utii wao ni wa masharti, ni kwa ajili ya matarajio yao wenyewe, na kushinikiziwa. Hivyo: kwa nini unamwamini Mungu?Ikiwa ni kwa ajili ya matarajio yako tu, na majaliwa yako, basi ni bora zaidi usingeamini.

Ijumaa, 20 Oktoba 2017

Anzeni Maisha Mapya | "Nimeuona uzuri wa Mungu" (Video Rasmi ya Muziki)


Nimeuona uzuri wa Mungu
I
Nasikia sauti ijulikanayo ikiniita mara kwa mara.
Nikaamka na kuangalia kuona, ni nani aliye pale akizungumza.
Sauti yake ni nyororo lakini kali, picha Yake nzuri!
Nateseka kupigwa na kuvumilia maumivu makubwa, nikipapaswa na mkono Wake wenye upendo.

Alhamisi, 19 Oktoba 2017

Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu

Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu

Mwenyezi Mungu alisema, Mungu huzungumza maneno Yake na kufanya kazi Yake kulingana na enzi tofauti, na katika enzi tofauti, Anazungumza maneno tofauti. Mungu hafuati sheria, ama kurudia kazi ya awali, ama kuhisi hali ya kumbukumbu kwa vitu vilivyopita; ni Mungu ambaye ni mpya kila wakati na hazeeki, na kila siku anazungumza maneno mapya. Lazima uyafuate yale ambayo lazima yafuatwe leo; haya ni majukumu na kazi ya mwanadamu.

Jumatatu, 16 Oktoba 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa”



Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa
I
Nilitaka kulia lakini hakuna mahali palihisi sawa.
Nilitaka kuimba lakini hakuna wimbo ulipatikana.
Nilitaka kuonyesha upendo wa kiumbe aliyeumbwa.
Nikitafuta juu na chini, lakini hakuna maneno yangeweza kusema,
yangeweza kusema jinsi hasa ninavyohisi.
Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu.
Nainua mikono yangu kwa sifa, ninafurahia kwamba Ulikuja katika dunia hii.

Jumanne, 10 Oktoba 2017

Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake

Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kiambatisho: Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake

Kama mamia ya mamilioni ya wafuasi wengine wa Bwana Yesu Kristo, tunafuata sheria na amri za Biblia, kufurahia neema tele ya Bwana Yesu Kristo, na kukusanyika pamoja, kuomba, kusifu, na kuhudumu kwa jina la Bwana Yesu Kristo—na haya yote sisi hufanya chini ya utunzaji na ulinzi wa Bwana. Mara nyingi, sisi huwa dhaifu, na mara nyingi sisi huwa wenye nguvu. Tunaamini kwamba matendo yetu yote yanaambatana na mafundisho ya Bwana.

Jumamosi, 7 Oktoba 2017

Kristo Hufanya Kazi ya Hukumu Kwa Ukweli

Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kristo Hufanya Kazi ya Hukumu kwa Ukweli

Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ya siku za mwisho ni kutenganisha vitu vyote kulingana na jinsi yavyo, kuhitimisha mpango wa usimamizi wa Mungu, kwa maana muda u karibu na siku ya Mungu imewadia. Mungu huwaleta wote ambao wameingia katika ufalme Wake, yaani, wale wote ambao wamekuwa waaminifu Kwake mpaka mwisho, katika enzi ya Mungu Mwenyewe.

Jumapili, 1 Oktoba 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Amri za Enzi Mpya

Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Amri za Enzi Mpya

Mmeambiwa kuwa mjiandae kwa maneno ya Mungu, ya kuwa pasipo kujali mlichoandaliwa ninyi, yote yamepangwa kwa mkono wa Mungu, na kwamba hakuna haja ya kuomba kwa bidii au kusali kwenu—hayana maana. Ilhali kulingana na hali ya sasa, shida za kiutendaji mnazokumbana nazo hazifikiriki kwenu. Kama mnasubiri mipango ya Mungu tu, basi kuendelea kwenu kutakuwa polepole sana, na kwa wale wasiojua jinsi ya kupitia kutakuwa na kulaza damu kwingi.