Jumanne, 17 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | JE,KWELI WANADAMU WANA UAMUZI | JUU YA HATIMA YAO?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, wokovu,

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Nyendo | Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu  

JE,KWELI WANADAMU WANA UAMUZI | JUU YA HATIMA YAO? 
Kama tumekabiliwa na maafa yasiyotarajiwa,maarifa yetu yote,ujuzi,na uwezo havina yoyote…. Tunaweza tu kulia tukiwa katika huzuni,tukisubiri kifo kati ya hofu na hali ya kutojiweza….Na hatuwezi kujizuia kujiuliza:Ni nani huidhibiti jaala yetu?Ni nani wokovu wetu wa pekee? 
Mwenyezi Mungu alisema, "Nayajua vizuri mawazo ya akili ya mwanadamu na matakwa ya moyo ya mwanadamu: Nani hajawahi kutafuta njia ya kujitoa mwenyewe? Nani hajawahi fikiria matarajio yake mwenyewe? Lakini hata kama mwanadamu ana akili tajiri na wa mche nani aliweza kutabiri kwamba, kufuata enzi, sasa kungekuwa kulivyo? Hili kweli ni tunda la juhudi zako binafsi? Haya ni malipo ya kazi yako ya bidii? Hii ndiyo picha nzuri iliyoonwa na akili yako? Nisingewaongoza wanadamu wote, nani angeweza kujitenga na mipango Yangu na kupata njia nyingine ya kutoka?... Watu wengi wanaishi maisha yao yote bila kutimizwa kwa matakwa yao. Kweli hili ni kwa sababu ya kosa katika fikira zao? Maisha ya watu wengi yamejawa na furaha na ridhaa isiyotarajiwa. Kweli ni kwa sababu wanatarajia kidogo sana? Nani kati ya wanadamu wote hatunzwi mbele ya macho ya Mwenyezi? Nani haishi maisha kati ya majaaliwa ya Mwenyezi? Kuzaliwa na kufa kwa nani kulitokana na kuchagua kwao? Je, mwanadamu anadhibiti majaliwa yake? Wanadamu wengi wanalilia kifo, lakini kiko mbali nao; watu wengi wanataka kuwa watu wenye nguvu maishani na wanahofia kifo, lakini bila kujua kwao, siku ya kufa kwao inasongea karibu, ikiwatumbukiza ndani ya dimbwi la kifo; watu wengi wanatazama angani na kutoa pumzi kwa undani; watu wengi wanalia sana, wakiomboleza; watu wengi wanaanguka kuwapo majaribu; na watu wengi wanakuwa wafungwa wa majaribu." 
kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili 
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni