Jumatatu, 25 Juni 2018

Bwana Atarudi katika Siku za Mwisho kwa Kushuka Akiwa juu ya Wingu kwa Wote Kuona au Atakuwa Mwili na Kuwa Mwana wa Adamu na Kushuka kwa Siri❓

 "… huyu Yesu, ambaye amechukuliwa kutoka kwenu kwenda mbinguni, atakuja kwa namna hiyo hiyo mliyomwona akienda mbinguni" (Matendo 1:11).
 "Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao pia waliomchoma; na makabila yote ya dunia yataomboleza kwa ajili yake" (Ufunuo 1:7).
 "Tazama, nitakuja kama mwizi" (Ufunuo 16:15).
 πŸ“š"Yesu alisema kwamba Angewasili kama Alivyoondoka, lakini unajua maana halisi ya maneno Yake? Je, angeweza kwa kweli kukwambia? Unajua tu kwamba Atawasili kama Alivyoondoka juu ya wingu, lakini unajua hasa jinsi Mungu Mwenyewe hufanya kazi Yake? Ikiwa ungeweza kuona kweli, basi maneno ya Yesu yanapaswa kuelezwa vipi? Alisema, 'Wakati Mwana wa Adamu atakapokuja katika siku za mwisho, Yeye Mwenyewe hatajua, malaika hawatajua, wajumbe wa mbinguni hawatajua, na watu wote hawatajua. Baba tu ndiye atakayejua, yaani, Roho pekee ndiye atajua.' Ikiwa una uwezo wa kujua na kuona, basi haya si maneno matupu? Hata Mwana wa Adamu Mwenyewe hajui, lakini wewe unaweza kuona na kujua? Ikiwa umeona na macho yako mwenyewe, je, maneno hayo hayakusemwa bure? Na Yesu alisema nini wakati huo? 'Lakini kuhusu siku ile na saa ile hakuna mwanadamu aijuaye, hata malaika wa mbinguni, ila Baba yangu peke yake. Lakini kama vile zilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo kuja kwake Mwana wa Adamu kutakavyokuwa ... Basi ninyi pia muwe tayari: kwani katika saa msiyofikiria Mwana wa Adamu atakuja.' Wakati siku hiyo itakapofika, Mwana wa Adamu Mwenyewe hataijua. Mwana wa Adamu inahusu umbo la Mungu lililopata mwili wa Mungu, ambaye atakuwa mtu wa kawaida. Hata Yeye mwenyewe hajui, kwa hiyo wewe ungejuaje?" kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

"Tazama, nitakuja kama mwizi" (Ufunuo 16:15).
Bwana Atarudi katika Siku za Mwisho kwa Kushuka Akiwa juu ya Wingu kwa Wote Kuona au Atakuwa Mwili na Kuwa Mwana wa Adamu na Kushuka kwa Siri❓ "… huyu Yesu, ambaye amechukuliwa kutoka kwenu kwenda mbinguni, atakuja kwa namna hiyo hiyo mliyomwona akienda mbinguni" (Matendo 1:11). "Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao pia waliomchoma; na makabila yote ya dunia yataomboleza kwa ajili yake" (Ufunuo 1:7). "Tazama, nitakuja kama mwizi" (Ufunuo 16:15). πŸ“š"Yesu alisema kwamba Angewasili kama Alivyoondoka, lakini unajua maana halisi ya maneno Yake? Je, angeweza kwa kweli kukwambia? Unajua tu kwamba Atawasili kama Alivyoondoka juu ya wingu, lakini unajua hasa jinsi Mungu Mwenyewe hufanya kazi Yake? Ikiwa ungeweza kuona kweli, basi maneno ya Yesu yanapaswa kuelezwa vipi? Alisema, 'Wakati Mwana wa Adamu atakapokuja katika siku za mwisho, Yeye Mwenyewe hatajua, malaika hawatajua, wajumbe wa mbinguni hawatajua, na watu wote hawatajua. Baba tu ndiye atakayejua, yaani, Roho pekee ndiye atajua.' Ikiwa una uwezo wa kujua na kuona, basi haya si maneno matupu? Hata Mwana wa Adamu Mwenyewe hajui, lakini wewe unaweza kuona na kujua? Ikiwa umeona na macho yako mwenyewe, je, maneno hayo hayakusemwa bure? Na Yesu alisema nini wakati huo? 'Lakini kuhusu siku ile na saa ile hakuna mwanadamu aijuaye, hata malaika wa mbinguni, ila Baba yangu peke yake. Lakini kama vile zilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo kuja kwake Mwana wa Adamu kutakavyokuwa ... Basi ninyi pia muwe tayari: kwani katika saa msiyofikiria Mwana wa Adamu atakuja.' Wakati siku hiyo itakapofika, Mwana wa Adamu Mwenyewe hataijua. Mwana wa Adamu inahusu umbo la Mungu lililopata mwili wa Mungu, ambaye atakuwa mtu wa kawaida. Hata Yeye mwenyewe hajui, kwa hiyo wewe ungejuaje?" kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
Imechapishwa na Kanisa la Mwenyezi Mungu kwenye Jumamosi, 23 Juni 2018

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni