Jumatatu, 9 Julai 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu | Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu

Wimbo wa Maneno ya Mungu
Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu
ni Kumwokoa Binadamu

Upendo na huruma za Mungu
hupenyeza kazi Yake
ya usimamizi kwa utondoti.
I
Ikiwa mwanadamu ahisi mapenzi Yake ya huruma au la,
Yeye hachoki kufuatilia kazi Anayohitaji kufanya.
Ikiwa mwanadamu aelewa usimamizi Wake au la,
kazi Yake huleta usaidizi na utoaji unaoweza kuhisiwa na wote.
Upendo na huruma za Mungu
hupenyeza kazi Yake
ya usimamizi kwa utondoti.

II
Pengine leo huhisi upendo na uzima
Mungu anaokupa,
mradi tu huondoki katika upande Wake,
wala kuachilia mapenzi yako ya kutafuta ukweli,
hakika siku moja utaiona tabasamu ya Mungu.
Sababu kusudi la Mungu katika kazi Yake ya usimamizi ni kumpokonya mwanadamu
kutoka milki ya shetani na sio kuwaacha
waliopotoshwa na Shetani,
na kupinga mapenzi Yake.
Upendo na huruma za Mungu
hupenyeza kazi Yake
ya usimamizi kwa utondoti.
kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu
Wimbo wa Maneno ya Mungu Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
Kanisa la Mwenyezi Mungu

Tufuate: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni