Ijumaa, 17 Agosti 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu | Zingatia Majaliwa ya Binadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Nyimbo
I
Mungu awahimiza makabila yote, mataifa na nyanja zote: Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake; mzingatie hatima ya wanadamu; mfanye Mungu Mtakatifu na Mheshimiwa, Mkuu na wa pekee wakuabudiwa, ulimwengu wote, na wanadamu, waishi chini ya baraka Yake Mungu, kama vizazi vya Ibrahimu, walivyoishi na ahadi ya Yehova, kama viumbe vya Mungu, Adamu na Hawa, walivyoishi bustani Edeni.

II
Kazi ya Mungu ni kama mawimbi yavumayo hakuna wa kumzuia au kumsimamisha. Ni tu kwa kusikiza neno Lake na kumuandama, ndio nyayo Zake zinaweza kufuatwa na ahadi pokewa. Wengine  wote watapata angamizwa, na kupokea adhabu wanayostahili. Mungu awahimiza makabila yote mataifa na nyanja zote: Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake; mzingatie hatima ya wanadamu. Zingatia hatima ya wanadamu wote u-u-u-u-uh!
kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni