Jumanne, 18 Septemba 2018

Swahili Christian Variety Show | "Siri ya Jina la Mungu" (Crosstalk) | The Name of God Has Changed

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, siku za mwisho

Swahili Christian Variety Show | "Siri ya Jina la Mungu" (Crosstalk) | The Name of God Has Changed
Kwa miaka elfu mbili, Wakristo daima wameomba katika na kuliita Jina la Bwana Yesu, wakiamini kwamba jina la Mungu litakuwa tu Yesu milele. Hata hivyo, imetabiriwa katika Kitabu cha Ufunuo, sura ya 3, mstari wa 12, kwamba Bwana atakuwa na jina jipya Atakaporudi. Hivyo sasa kwa sababu Bwana amerudi katika siku za mwisho, bado tunaweza kumwita Yesu? Ni siri zipi ambazo zimefichwa ndani ya jina la Mungu? Kuzungumza kusiko dhahiri, Siri ya Jina la Mungu, inachanganya mitindo ya utendaji ya kuimba na kutongoa kutuongoza kuelewa umuhimu wa mbona Mungu huchukua majina tofauti katika enzi tofauti.
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni