Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II” Sehemu ya Saba
Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”.
Maudhui ya video hii:
Msiwe na Wasiwasi Wowote Kuhusu Majaribio ya Mungu
Wale Wanaomcha Mungu na Kujiepusha Na Maovu Wanatazamiwa kwa Utunzwaji na Mungu, Huku Wale Walio Wajinga Wanaonekana kuwa Duni na Mungu
Mungu Anamtawaza Ayubu Mamlaka
Ayubu Anabarikiwa kwa Mara Nyingine Tena na Mungu, na Hashtakiwi Tena na Shetani
Ayubu Aishi Nusu ya Mwisho ya Maisha Yake Katikati ya Baraka za Mungu
Gharama Iliyoishi kwa kudhihirishwa na Ayubu Wakati wa Maisha Yake
Taratibu za Enzi ya Sheria ni Thibitisho la Kweli la Maelekezo ya Mungu kwa Wanadamu Wote
Wanadamu Hawatenganishwi Milele na Mafundisho na Matoleo ya Mungu
Chanzo : Kanisa la Mwenyezi Mungu Video Husika : Wimbo wa Kuabudu 2019 | "Mungu Anashuka na Hukumu" | Christ of the Last Days Has Appeared
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni