Jumatano, 27 Novemba 2019

Wimbo wa Maneno ya Mungu Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa

Kanisa la Mwenyezi Mungu

I
Tangu uhusiano wa kwanza wa Mungu na mwanadamu,
Amekuwa akifichua kwao
Kiini Chake na vile Alivyo na Alicho nacho,
bila kukoma, kila wakati.
Kama watu katika enzi wanaweza kuona au kuelewa,
Mungu huzungumza na kufanya kazi
ili kuonyesha tabia Yake na kiini.
Havijawahi kufunikwa
wala kufichwa kamwe, vimeachiliwa bila kusita,
Kiini na tabia ya Mungu,
nafsi Yake na miliki yake,
vinafichuliwa Anapofanya kazi na
kushirikiana na mwanadamu.
II
Mungu anatumaini mwanadamu aweza kumwelewa,
ajue kiini Chake, na tabia,
ambavyo Hataki vichukuliwe kama siri za milele.
Wala Hataki mwanadamu amwone Yeye kama kitendawili
ambacho hakiwezi kutatuliwa.
Havijawahi kufunikwa
wala kufichwa kamwe, vimeachiliwa bila kusita,
Kiini na tabia ya Mungu,
nafsi Yake na miliki yake,
vinafichuliwa Anapofanya kazi na
kushirikiana na mwanadamu.
III
Ni wakati tu binadamu amemjua Mungu
ndipo anaweza kujua njia ya kwendelea,
kustahili kuongozwa na Mungu.
Ataishi chini ya mamlaka Yake
na kuishi katika mwanga na baraka Zake.
Havijawahi kufunikwa
wala kufichwa kamwe, vimeachiliwa bila kusita,
Kiini na tabia ya Mungu,
nafsi Yake na miliki yake.
Havijawahi kufunikwa
wala kufichwa kamwe, vimeachiliwa bila kusita,
Kiini na tabia ya Mungu,
nafsi Yake na miliki yake,
vinafichuliwa Anapofanya kazi na
kushirikiana na mwanadamu.

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII” Sehemu ya Kwanza

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni