Kanisa la Mwenyezi Mungu | Yasifu
Maisha Mapya
Haleluya!
Twakushukuru na kukusifu Wewe!
Haleluya!
Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu!
Kristo
wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini
mwa wanadamu.
Neno lake
hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi
ya maisha ya binadamu.
kwa
hivyo nina maisha mapya ya kumsifu Mungu. (Halleluya!)
Maumivu
na mkanganyo vimetoweka; Nimefunguliwa katika roho na ninaimba wimbo.
(Halleluya!)
Dhana zote na
kutokuelewana kumeondolewa mbali, tabia yangu asi imebadilishwa.
Mimi
hutembea katika njia ng'avu ya maisha ya binadamu; upendo wa Mungu ni
wa thamani na halisi sana! (Msifu Mungu!)
Ndugu
wako pamoja, bila vikwazo au umbali.
Sisi
huhudumu kwa uratibu katika kanisa, kwa moyo mmoja na akili, na kwa
furaha sisi huimba wimbo wa sifa.
Kuimba
kumejaa upendo wa Mungu. Twaimba mioyo minyofu.
Mungu
wa vitendo Ametufanya wapya na kutubadilisha, kutufanya wapya na
kutugeuza kuwa mtu mpya.
Ni
nani hadhihirishi upendo katika moyo wake? Ni nani hadhihirishi
mapenzi katika moyo wake?
Unacheza
kumtukuza Mungu, nami napiga makofi yangu kando.
Tumeipita
mipaka ya mizigo ya dunia, familia, na mwili; tukipendana, sisi ni
watamu!
Siku zilizopita
za maisha ya zamani kamwe hazitarudi, na wakati wa thamani uko mbele.
Wakati wa thamani uko mbele!
Ni
la kufurahisha sana kutekeleza wajibu wangu na kushuhudia, sisi huwa
na ushirika kuhusu ukweli, tuliofunguliwa na huru.
Watu
wa Mungu hufurahia maisha mapya; maisha bashashi ya ubinadamu
yanipungia. (O.)
Ni la
kufurahisha sana kutekeleza wajibu wangu na kushuhudia, sisi huwa na
ushirika kuhusu ukweli, tuliofunguliwa na huru.
Watu
wa Mungu hufurahia maisha mapya; maisha bashashi ya ubinadamu
yanipungia.
Nitamwabudu
Mungu wa vitendo milele!
Haleluya!
kutoka
kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Yaliyopendekezwa: Umeme wa Mashariki
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni