Jumapili, 27 Mei 2018

Umeme wa Mashariki | Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuchunguza Mafumbo ya Maisha

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" |Kuchunguza Mafumbo ya Maisha

Mtu Atarudi Kule Alikotoka.
Hakuna yeyote anayeweza kushinda ugonjwa na kifo.
Hakuna yeyote anayeweza kubadilisha sheria za uzee na udhaifu wa mwili au akili.
………………………………
"Kwa nini tunaishi? Na kwa nini inatulazimu kufa? Nani anayeitawala dunia hii?"

Mwenyezi Mungu alisema, "Ni viumbe wangapi wanaoishi na kuzaana katika ulimwengu mpana, wakifuata sheria ya maisha tena na tena, wakifuata sheria isiyobadilika. Wanaokufa huenda na hadithi za walio hai, na walio hai hurudia historia hii yenye huzuni ya wale waliokufa. Na kwa hivyo wanadamu hawawezi kujizuia ila kujiuliza wenyewe; Kwa nini tunaishi? Na kwa nini inatulazimu kufa? Nani anayeitawala dunia hii? Na ni nani muumbaji wa mwanadamu? Je, kweli wanadamu waliumbwa na mazingira asilia? Je, kweli wanadamu wana uamuzi juu ya hatima yao?" 

kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili 

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Nyendo,
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni