Jumapili, 30 Septemba 2018

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Nimeuona uzuri wa Mungu

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha

Nimeuona uzuri wa Mungu

I
Nasikia sauti ijulikanayo ikiniita mara kwa mara. Nikaamka na kuangalia kuona, ni nani aliye pale akizungumza. Sauti yake ni nyororo lakini kali, picha Yake nzuri! Nateseka kupigwa na kuvumilia maumivu makubwa, nikipapaswa na mkono Wake wenye upendo. Halafu natambua ni Mwenyezi ambaye nilipigana naye. Najichukia mwenyewe, kwa majuto makubwa, fikiria niliyoyafanya. Nimepotoka kwa kina, hakuna wanadamu, sasa nauona ukweli. Pamoja na mwanzo mpya, kujiingiza katika maisha halisi, kutimiza wajibu wangu.

Jumamosi, 29 Septemba 2018

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | Mchakato wa Mbadiliko wa Muumini Mwenye Kiburi

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, hukumu
Zhang Yitao, Mkoa wa Henan
"Mungu, kazi Yako ni ya vitendo sana, imejaa haki na utakatifu sana. Umekuwa ukifanya kazi kwa muda mrefu kwa subira, yote kwa ajili yetu. Katika siku za nyuma, nilimwamini Mungu lakini sikuwa na mwenendo wa binadamu. Nilikuasi na kuumiza moyo Wako bila kujua. Nimejaa aibu na majuto na ninapaswa kukushukuru Wewe. Ni sasa tu ninapotambua hili. ... Bila Hukumu Yako kali, singekuwa na leo, na nikikabiliwa na upendo Wako wa kweli nina shukrani na kuwiwa na Wewe. Ilikuwa ni kazi Yako ambayo iliniokoa na kusababisha tabia yangu kubadilika. Bila huzuni na uchungu, moyo wangu umejaa furaha" ("Ewe Mungu, Upendo Ambao Umenipa Ni Mkubwa Mno" katika Mfuate Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya).

Ijumaa, 28 Septemba 2018

Swahili Christian Movie Segment - Mungu Anashikilia Ukuu Juu Ya Kila Kitu Katika Ulimweng (Gospel Music)

Swahili Christian Movie Segment - Mungu Anashikilia Ukuu Juu Ya Kila Kitu Katika Ulimweng (Gospel Music)
Wanadamu wamekuwa wakitafuta majibu haya kwa miaka elfu kadhaa: Miili ya mbingu katika ulimwengu inawezaje kwendelea mbele kwa taratibu timilifu kama hiyo? Kwa nini vitu vyote vilivyo hai daima husogea kwa miviringo inayofuata kanuni zisizobadilika? Kwa nini watu huzaliwa, na halafu kwa nini sisi hufa? Ni nani kweli aliyeamua kanuni na sheria hizi zote? Ni nani kweli huutawala ulimwengu na vitu vyote? Sehemu hii ya ajabu kutoka kwa filamu ya Kikristo, "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu Ya Kila Kitu", itakuongoza ufikie kiini cha maswali haya na kufunua mafumbo yote haya.

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Alhamisi, 27 Septemba 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Nyongeza ya 1: Tamko la Kwanza

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Nyongeza ya 1: Tamko la Kwanza

Ninachotaka mfanye si nadharia isiyo dhahiri na tupu ambayo Naizungumzia, wala si ya kutofikirika kwa akili ya mwanadamu au ya kutotimizwa kwa mwili wa mwanadamu. Ni nani anaweza kuwa mwaminifu kabisa ndani ya nyumba Yangu? Na ni nani anaweza kutoa yake yote ndani ya ufalme Wangu? Kama si kwa ufunuo wa mapenzi Yangu, je, mngejitolea kuutimiza moyo Wangu? Hakuna ambaye amewahi kuufahamu moyo Wangu, na hakuna ambaye amewahi kutambua mapenzi Yangu.

Jumatano, 26 Septemba 2018

Swahili Worship Song "Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu" | Seeing the Love of God

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Swahili Worship Song "Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu" | Seeing the Love of God
Wakati hamumwelewi Mungu na hamjui asili Yake,
mioyo yenu haiwezi kamwe kufunguka, kufunguka kwa Mungu.
Mara utakapomwelewa Mungu wako,
utaelewa kile kilicho moyoni Mwake,
na kufurahia kile kilicho ndani Yake
kwa imani na usikivu wako wote.
Unapofurahia kile kilicho ndani ya moyo wa Mungu, kidogo kidogo,
siku baada ya siku,
unapofurahia kile kilicho ndani ya moyo wa Mungu,
moyo wako utakuwa wazi Kwake.

Jumanne, 25 Septemba 2018

Kondoo wa Mungu Huisikia Sauti ya Mungu | Sura ya 3 Lazima Mjue Ukweli Kuhusu Awamu Tatu za Kazi ya Mungu

5. Kwa Nini Yasemekana Kwamba Kuzijua Awamu Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kujua Mungu?

(Fungu Lililochaguliwa la Neno la Mungu)

Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu

Mwenyezi Mungu alisema,  Kazi ya kumsimamia mwanadamu imegawanywa katika hatua tatu, na ina maana kuwa kazi ya kumwokoa mwanadamu imegawanywa katika hatua tatu. Hatua hizi tatu hazihusishi kazi ya kuuumba ulimwengu, ila ni hatua tatu za kazi ya Enzi ya Sheria, Enzi ya Neema, na Enzi ya Ufalme. Kazi ya kuiumba dunia ilikuwa kazi ya kusababisha uwepo wa wanadamu wote.

Jumapili, 23 Septemba 2018

Ufafanuzi wa Mafumbo ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima | Sura ya 9

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu

Sura ya 9

Mwenyezi Mungu alisema, Katika mawazo ya watu, Mungu ni Mungu, na mwanadamu ni mwanadamu. Mungu haneni lugha ya mwanadamu, wala mwanadamu hawezi kunena lugha ya Mungu, na kwa Mungu, madai ya mwanadamu Kwake ni rahisi, ilhali matakwa ya Mungu kwa mwanadamu hayafikiki na hayafikiriki kwa mwanadamu. Ukweli, hata hivyo, ni kinyume kabisa: Mungu anataka tu “asilimia 0.1” ya mwanadamu. Hili si la kushangaza tu kwa kila mtu, lakini pia huwafanya wahisi kukanganyikiwa sana, kama kwamba wote wamechanganyikiwa.

Jumamosi, 22 Septemba 2018

Latest Swahili Gospel Movie "Siri ya Utauwa: Mfuatano" | God is the Way, the Truth, and the Life

Lin Bo'en ni mhubiri mzee ambaye amemwani Bwana kwa miongo mingi. Tangu alipomkubali Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, alihukumiwa, akatengwa, na akafukuzwa kutoka kwa jumuiya ya kidini na wachungaji na wazee wa kanisa, nguvu zinazompinga Kristo. Lakini ingawa Lin Bo’en alishambuliwa, akahukumiwa na kusingiziwa, hakusita kwa woga. Badala yake, imani yake ikawa thabiti zaidi kuliko ilivyowahi kuwa, na hili lilimwongoza kufahamu hatimaye kwamba wachungaji na wazee wa kanisa wa ulimwengu wa dini walikuwa wakiigiza kwa udanganyifu sura adilifu.

Ijumaa, 21 Septemba 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu | Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Nyimbo

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu 

Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote
I
Kutoka unapoingia katika dunia hii ukilia, unaanza kutenda wajibu wako. Katika mpango na utaratibu wa Mungu, unachukua nafasi yako, na unaanza safari ya maisha. Vyovyote vilivyo msingi wako ama safari iliyo mbele yako, hakuna anayeweza kuepuka utaratibu na mpango ambao Mbingu imeweka, na hakuna aliye na amri juu ya hatima yake, kwani ni Yule tu anayetawala juu ya vitu vyote ndiye ana uwezo wa kazi kama hii.

Jumatano, 19 Septemba 2018

Matamshi ya Roho Mtakatifu | "Inapofikia Mungu, Ufahamu Wako ni Upi?"

Matamshi ya Roho Mtakatifu | "Inapofikia Mungu, Ufahamu Wako ni Upi?"
Mwenyezi Mungu alivyosema, "Huyu Aitwaye Mungu si Roho Mtakatifu pekee, huyo Roho, Roho aliyoongezeka mara saba, Roho anayehusisha yote, bali pia mtu, mtu wa kawaida, mtu wa kipekee wa kawaida. Si wa kiume pekee, bali pia kike. Wako sawa kwamba wote wanazaliwa kwa binadamu, na tofauti kwamba mmoja anachukuliwa katika mimba na Roho Mtakatifu na mwingine Anazaliwa kwa mwanadamu lakini Anatoka kwa Roho moja kwa moja.

Jumanne, 18 Septemba 2018

Swahili Christian Variety Show | "Siri ya Jina la Mungu" (Crosstalk) | The Name of God Has Changed

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, siku za mwisho

Swahili Christian Variety Show | "Siri ya Jina la Mungu" (Crosstalk) | The Name of God Has Changed
Kwa miaka elfu mbili, Wakristo daima wameomba katika na kuliita Jina la Bwana Yesu, wakiamini kwamba jina la Mungu litakuwa tu Yesu milele. Hata hivyo, imetabiriwa katika Kitabu cha Ufunuo, sura ya 3, mstari wa 12, kwamba Bwana atakuwa na jina jipya Atakaporudi. Hivyo sasa kwa sababu Bwana amerudi katika siku za mwisho, bado tunaweza kumwita Yesu? Ni siri zipi ambazo zimefichwa ndani ya jina la Mungu? Kuzungumza kusiko dhahiri, Siri ya Jina la Mungu, inachanganya mitindo ya utendaji ya kuimba na kutongoa kutuongoza kuelewa umuhimu wa mbona Mungu huchukua majina tofauti katika enzi tofauti.

Jumatatu, 17 Septemba 2018

Sura ya 3 Lazima Mjue Ukweli Kuhusu Awamu Tatu za Kazi ya Mungu

4. Uhusiano Kati ya Kila Mojawapo ya Awamu Tatu za Kazi ya Mungu.

Maneno Husika ya Mungu:
Mwenyezi Mungu alisema, Kutoka kwa kazi ya Yehova mpaka ile ya Yesu, na kutoka kwa kazi ya Yesu hadi kwa kazi iliyoko kwa awamu hii ya sasa, awamu hizi tatu zinajumlisha upana wote wa usimamizi wa Mungu, na zote ni kazi za Roho mmoja. Kutoka Alipoumba ulimwengu, Mungu Amekuwa Akisimamia wanadamu. Yeye ndiye Mwanzo na ndiye Mwisho; Yeye ndiye wa Kwanza na wa Mwisho, na Yeye ndiye mwanzilishi wa enzi na Yeye ndiye huleta enzi kwenye kikomo. Awamu tatu za kazi, katika enzi tofauti na maeneo mbalimbali, hakika yanafanywa na Roho mmoja.

Jumamosi, 15 Septemba 2018

Maonyesho ya Mungu | "Unapaswa Kujua kuwa Mungu wa Vitendo ni Mungu Mwenyewe"

Maonyesho ya Mungu | "Unapaswa Kujua kuwa Mungu wa Vitendo ni Mungu Mwenyewe"
Mwenyezi Mungu alivyosema, "Kuonekana kwa Mungu katika mwili kunamaanisha kuwa kazi yote na maneno ya Roho wa Mungu yanafanywa katika ubinadamu wake wa kawaida, na kupitia mwili Wake uliopatikana. Kwa maneno mengine, Roho wa Mungu huelekeza kazi Yake ya ubinadamu na hutekeleza kazi Yake ya uungu katika mwili, na katika Mungu kupata mwili unaweza kuona kazi ya Mungu katika ubinadamu na kazi kamili ya uungu; huu ndio umuhimu hasa wa kuonekana kwa Mungu wa vitendo katika mwili.

Ijumaa, 14 Septemba 2018

Fasiri ya Mafumbo ya Maneno ya Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Nane

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Ufafanuzi wa Tamko la Nane

Mungu anenapo neno Lake kutokana na mtazamo wa Roho, sauti Yake huelekezwa kwa wanadamu wote. Mungu anenapo neno Lake kutokana na mtazamo wa mwanadamu, sauti Yake huelekezwa kwa wote wafuatao uongozi wa Roho Wake. Mungu anenapo neno Lake kutokana na mtazamo wa nafsi ya tatu (kile ambacho watu hutaja kama mtazamaji), Anaonyesha neno Lake moja kwa moja kwa watu ili watu wamwone kama mtoa maoni, na huonekana kwamba kutoka kinywani Mwake hutoka mambo yasiyo na kikomo ambayo mwanadamu hayajui, mambo ambayo mwanadamu hawezi kuelewa.

Alhamisi, 13 Septemba 2018

Swahili Christian Variety Show | "Kuwa Katika Hali Ngumu" (Crosstalk) | Christian Testimony of Overcoming Satan


Mazungumzo chekeshi haya, Kuwa Katika Hali Ngumu, yanasimulia hadithi ya Geng Xin , afisa wa Kikomunisti wa China ambaye ameikubali kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho. Inasimulia uzoefu wake wa kupoteza kazi yake, kukamatwa, na kuadhibiwa kwa ukatili na CCP kwa sababu ya imani yake, na mwishowe kwake kuwa shahidi kwa Mungu. Hili linaonyesha shida za Wakristo nchini China na linaonyesha mfano halisi wa imani na ushupavu wa Wakristo kumtegemea Mungu ili kumshinda Shetani, na kushuhudia.

Jumatano, 12 Septemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Ushuhuda - Nilifurahia karamu kubwa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ukweli

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Ushuhuda

Nilifurahia karamu kubwa

Xinwei    Mkoa wa Zhejiang
Juni 25 na 26 zilikuwa siku zisizohaulika. Eneo letu la Zhejiang lilipata tukio kubwa, viongozi wengi na wafanyakazi wa eneo wakiwa wamekamatwa na joka kubwa jekundu. Ni wachache wetu tu tuliokimbia bila kuumia na, mioyo yetu ikiwa imejaa shukrani, tulikula kiapo cha siri kwa Mungu: kushirikiana vizuri na kazi iliyokuwa ifuate. Kufuatia hilo tulianza kazi yenye msisimko na shughuli nyingi ya kushughulika na matokeo.

Jumanne, 11 Septemba 2018

Neno la Mungu | "Kumwamini Mungu Lazima Kulenge Uhalisi, Si Tamaduni za Kidini" | Can Your Faith Gain the Praise of God?

Mwenyezi Mungu alivyosema, "Je, ni desturi ngapi za kidini unazozizingatia? Ni mara ngapi wewe umeasi dhidi ya neno la Mungu na kwenda kwa njia yako mwenyewe? Ni mara ngapi wewe umetia katika vitendo neno la Mungu kwa sababu wewe kwa kweli unajali mizigo Aliyobeba na unatafuta kutimiza mapenzi Yake? Lielewe neno la Mungu na uliweke katika vitendo. Kuwa mwenye maadili katika vitendo na matendo yako; huku si kutii sheria au kufanya hivyo shingo upande kwa ajili ya kujionyesha. Badala yake, haya ni kutenda ukweli na kuishi kulingana na neno la Mungu. Kutenda kama huku pekee ndiko hutosheleza Mungu. Desturi yoyote inayompendeza Mungu si kanuni bali ni kutenda ukweli."


Yaliyopendekezwa:Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Jumatatu, 10 Septemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Wimbo - MAISHA YETU SIO BURE

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Nyimbo

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Wimbo

Maisha Yetu Sio Bure
Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure.
I
Leo tunakutana na Mungu, tunapitia kazi Yake. Tumemjua Mungu katika mwili, wa utendaji na wa hakika. Tumeiona kazi Yake, nzuri na ya ajabu. Kila siku ya maisha yetu sio bure. Tunamshuhudia Kristo kama ukweli na uzima! Kufahamu na kukumbatia fumbo hili. Nyayo zetu ziko katika njia ng’avu zaidi ya hadi katika uzima. Hatutafuti tena, yote yako wazi kwetu. Mungu, tutakupenda Wewe milele bila majuto. Tumepata ukweli, uzima wa milele tutapata. Maisha yetu sio bure, sio bure. Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure.

Jumapili, 9 Septemba 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Tano

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Tano

Mungu anapoweka mahitaji kwa wanadamu ambayo ni magumu kwao kueleza, na maneno Yake yanapogonga moja kwa moja katika moyo wa mwanadamu na watu wanatoa mioyo ya dhati ili Afurahie, basi Mungu huwapa watu nafasi ya kutafakari, kufanya uamuzi, na kutafuta njia ya kutenda. Kwa njia hii, wote ambao ni watu Wake kwa mara nyingine, ngumi zikiwa zimekunjwa kwa ujasiri, wanatoa hali zao zote kwa Mungu.

Jumamosi, 8 Septemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 3 Lazima Mjue Ukweli Kuhusu Awamu Tatu za Kazi ya Mungu

3. Kujua Kusudio na Umuhimu wa Kila Mojawapo ya Awamu Tatu za Kazi ya Mungu.

Maneno Husika ya Mungu:
Mwenyezi Mungu alisema, Umuhimu, kusudio, na hatua ya kazi ya Yehova nchini Israeli vyote vilikuwa vya kuanzisha kazi Yake katika ulimwengu mzima, na taratibu kuieneza kwenye nchi za Mataifa kutoka kwenye kitovu chake cha Israeli. Hii ndiyo kanuni ambayo Alitumia katika kufanya kazi kotekote ulimwenguni—kuanzisha mfano, kisha kuupanua mpaka watu wote ulimwenguni waweze kukubali injili Yake. Waisraeli wa kwanza walikuwa kizazi cha Nuhu. Watu hao walikuwa tu na pumzi za Yehova, na waliweza kujitunza wakatilia maanani mahitaji ya kimsingi ya maisha, lakini hawakujua Yehova Alikuwa Mungu aina gani, wala hawakujua mapenzi Yake kwa binadamu, na hata namna ambavyo walitakikana kumstahi Bwana wa viumbe vyote.

Ijumaa, 7 Septemba 2018

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu juu ya Kila Kitu" | Ushuhuda wa Nguvu ya Mungu

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu juu ya Kila Kitu" | Ushuhuda wa Nguvu ya Mungu

Kote katika ulimwengu mkubwa mno, sayari zote ya mbingu husogea kwa usahihi katika mizunguko yazo zenyewe. Chini ya mbingu, milima, mito, na maziwa vyote vina mipaka yavyo, na viumbe vyote huishi na kuzaana wakati wa misimu yote minne kulingana na sheria za maisha…. Hili lote limepangwa vizuri sana—je, kuna Mwenye Uwezo Mmoja anayepanga na kutawala yote haya? Tangu tuje katika ulimwengu huu tukilia tumeanza kutekeleza majukumu tofauti katika maisha. Sisi husogea kutoka kuzaliwa mpaka uzee mpaka kuugua hadi kifo, sisi husogea kati ya furaha na huzuni…. Wanadamu kwa kweli hutoka wapi, na kwa kweli tutaenda wapi?

Alhamisi, 6 Septemba 2018

Swahili Christian Variety Show | "Mwelekeo Mbaya" (Kusemezana) | Nearly Miss the Return of the Lord

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, sauti ya Mungu
Wakati Zhao Xun anasikia maneno yaliyonenwa na Bwana aliyerudi, anahisi kwamba maneno haya yote ni ukweli. Hata hivyo, anahofia kwamba kimo chake ni kidogo sana na hana uwezo wa kutambua, hivyo anataka kumtafuta mchungaji wake awe kama mlinda lango. Bila kutarajia, akiwa njiani kuelekea kwake, anakutana na Dada Zheng Lu. Kupitia ushirika wa Dada Zheng kuhusu ukweli, Zhao anaishia kuwa na utambuzi na kufahamu kwamba kukaribisha kurudi kwa Bwana, anapaswa kuzingatia kuisikia sauti ya Mungu, hiyo ndiyo njia pekee ya kufuata nyayo Zake. Kufuata na kuwaabudu wachungaji na wazee bila kufikiria hakika ni kuchukua mwelekeo mbaya.

Jumatano, 5 Septemba 2018

Why Did the Chinese Communist Party Manufacture the 5/28 Zhaoyuan Incident?

90
Ma Jinlong (Captain of the National Security Team): Tell you the truth, Han Lu. It isn’t that we don’t understand people who believe in God. There are believers of God among my friends. I know that those who believe in God are good people who do not do bad things. Then why does the Communist Party want to capture you? It is because your Church of Almighty God is developing too fast, its impacts are increasingly greater.

Jumanne, 4 Septemba 2018

The Conspiracy Behind the Drama of “Search for the Husband Abroad” —The CCP has stretched its evil hand to South Korea to suppress religious belief

At the mention of the words “protest” or “demonstration,” I would very naturally paint a picture in my head: dozens, hundreds or thousands of people gathering together for the same appeal or wish. On August 28, 2016, the weather was cloudy in Seoul, South Korea, and in that very morning a special “protest” took place right before the gate of the Church of Almighty God in Guro, Seoul, which has provoked my deep thoughts.

Jumatatu, 3 Septemba 2018

Ni kwa Kuingia Tu Katika Ukweli Mimi Mwenyewe Ninapoweza Kuwasaidia Wengine

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa
Ni kwa Kuingia Tu Katika Ukweli Mimi Mwenyewe Ninapoweza Kuwasaidia Wengine

Du Fan Mkoa wa Jiangsu
Hivi karibuni, kanisa moja lilikuwa linakipiga kura ili kumchagua kiongozi mpya, lakini kiongozi aliyeongoza alienda kinyume na kanuni za kanisa, akitumia njia yake mwenyewe kutekeleza upigaji kura. Wakati ndugu fulani wa kiume na wa kike walipotoa maoni yao, sio tu kwamba hakuyakubali, lakini alisisitiza kushikilia njia yake mwenyewe. Baadaye kanisa lilitupwa katika mchafuko kwa ajili ya vitendo vya kiongozi huyo.

Jumapili, 2 Septemba 2018

Maonyesho ya Mungu | "Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu" | Only Those Who Know God Can Be Perfected

Mwenyezi Mungu alivyosema, “Lazima muwe wazi kuhusu njia mnayotembelea; lazima muwe wazi kuhusu njia mtakayotumia katika siku za usoni, ni nini haswa ambacho Mungu atafanya kuwa mkamilifu na ni nini ambacho mmeaminiwa nacho. Siku moja, pengine, mtajaribiwa, na kama wakati huo mtaweza kutiwa msukumo kutoka kwa yale aliyopitia Petro, yatawaonyesha kwamba kwa kweli mnatembea njia ya Petro. Petro alipongezwa na Mungu kwa ajili ya imani na upendo wake wa kweli, na kwa ajili ya utiifu wake kwa Mungu. Na ilikuwa kutokana na uaminifu wake na kutamani kwake Mungu katika moyo wake ndiposa Mungu akamkamilisha kuwa timilifu. Kama kweli unao upendo na imani kama hiyo ya Petro, basi Yesu kwa kweli atakufanya kuwa timilifu.”

Tufuate: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Jumamosi, 1 Septemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Ushuhuda - Hatimaye Naishi kwa Kudhihirisha Kiasi Kama Mwanadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Ushuhuda - Hatimaye Naishi kwa Kudhihirisha Kiasi Kama Mwanadamu

Xiangwang Mkoa wa Sichuan
Ninahisi kuadibiwa sana moyoni mwangu kila mara ninapoona kwamba maneno ya Mungu yanasema: “Wanadamu dhalimu, wakatili! Kufumba macho na kula njama, kusukumana, kung’ang’ania sifa na mali, kuuana—haya yote yataisha lini? Mungu amezungumza maelfu na mamia ya maneno, ilhali hakuna hata mmoja ambaye amejifahamu. Wanatenda matendo kwa ajili ya familia zao na watoto wao, kazi zao, matarajio, hali katika jamii, majivuno na pesa, kwa sababu ya nguo, kwa sababu ya chakula na mwili—matendo ya nani kwa kweli ni kwa ajili ya Mungu?