Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Jinsi ya Kujua Kuonekana na Kazi ya Kristo wa Siku za Mwisho"
I
Mwili wa Mungu utajumlisha kiini cha Mungu na maonyesho Yake.
Atakapofanywa mwili, Ataleta matunda ya kazi Aliyopewa
ajidhihirishe na Alete Ukweli kwa wote,
awape uhai na awaonyeshe njia.
II
Thibitisha mwili Wake na njia ya kweli tazamia tabia, maneno na matendo Yake.
Angazia dutu Yake wala si sura Yake ya nje.
Ni upumbavu na ujinga kuangazia sura ya nje ya Mungu.
Ya nje haiamui ile ya ndani,
na kazi ya Mungu haiambatani na dhana za mwanadamu.
III
Je, si sura ya nje ya Yesu ilitofautiana na matarajio ya watu?
Je, si mfano Wake na mavazi Yake yalificha utambulisho Wake?
Si ndio sababu Mafarisayo walimpinga Yesu?
Walilenga sura Yake ya nje wakapuuza maneno Aliyoyasema.
Mungu hutarajia wanaotafuta uonekano Wake, wasirudie historia.
Usifuate Mafarisayo usulubishe Mungu msalabani tena.
Tilia maanani utakavyokaribisha kurudi Kwake.
Waza wazi utakavyotii ukweli.
Ndio wajibu wa kila angojaye kurudi kwake Yesu.
kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
Sikiliza nyimbo: Wimbo wa Injili "Kiini cha Kristo Ni Mungu" | Differences Between the True Christ and False Christs
Kuhusu Sisi: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni