Jumanne, 6 Februari 2018

Kuwa na Tabia Isiyobadilika ni Kuwa Katika Uadui na Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Kuwa na Tabia Isiyobadilika Ni Kuwa katika Uadui na Mungu

Mwenyezi Mungu alisema, Baada ya miaka elfu kadhaa ya upotovu, mwanadamu amekuwa asiyehisi na mpumbavu, pepo anayempinga Mungu, kwa kiasi kwamba uasi wa mwanadamu kwa Mungu umeandikwa katika vitabu vya historia, na hata mwanadamu mwenyewe hana uwezo wa kutoa ripoti kamili ya tabia zake za uasi wake—kwa kuwa mwanadamu amepotoshwa sana na Shetani, na amehadaiwa na Shetani kiasi kwamba hajui ni wapi pa kugeukia.

Jumatatu, 5 Februari 2018

Swahili Gospel Song | "Njia Yote Pamoja na Wewe" Mungu ni Upendo

Swahili Gospel Song | "Njia Yote Pamoja na Wewe" Mungu ni Upendo

Utambulisho

Nilikuwa kama mashua, ikielea baharini.
Ulinichagua, na mahali pazuri Uliniongoza.
Sasa katika familia Yako, nikipewa joto na upendo Wako,
nina amani kabisa.
Unanibariki, Unatoa maneno Yako ya hukumu.
Bado sijui jinsi ninavyokosa kuithamini neema Yako.
Kila mara nikiasi, kwa namna fulani nikiuumiza moyo Wako.

Jumapili, 4 Februari 2018

Je, Umekuwa Hai Tena?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Je, Umekuwa Hai Tena?

Mwenyezi Mungu alisema, Baada ya kutimiza kuishi kulingana na ubinadamu wa kawaida, na umefanywa mkamilifu, ingawa utakuwa huwezi kunena unabii, wala siri zozote, utakuwa unaishi kulingana na kufichua taswira ya mwanadamu. Mungu alimuumba mwanadamu, baada ya hapo mwanadamu akaharibiwa na Shetani, na uharibifu huu umewafanya watu wawe maiti—na hivyo, baada ya kuwa umebadilika, utakuwa tofauti na maiti hizi.

Jumamosi, 3 Februari 2018

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen" | Mungu ni upendo

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen" | Mungu ni upendo

Utambulisho

Xiaozhen alikuwa Mkristo mwenye moyo safi, ulio na huruma, ambaye kila wakati alikuwa akiwashughulikia wenzake kwa uaminifu. Hata hivyo, ilipokuwa ni kwa manufaa yao, marafiki wake wa awali waligeuka na kuwa maadui wake. Baada ya kuteseka kutokana na msiba huu, Xiaozhen alilazimika kuuacha moyo wake wa kweli na kanuni zake za awali.

Wanaompenda Mungu Wataishi Milele Katika Mwangaza Wake

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Wakristo,

Wanaompenda Mungu Wataishi Milele Katika Mwangaza Wake

Mwenyezi Mungu alisema, Kiini cha imani ya watu wengi katika Mungu ni imani za kidini: Hawana uwezo wa kumpenda Mungu, na wanaweza kumfuata Mungu tu kama roboti, bila kuweza kumtamani Mungu, ama kumwabudu. Wanamfuata tu kimyakimya.

Ijumaa, 2 Februari 2018

Mazungumzo Mafupi Kuhusu “Ufalme wa Milenia Umefika”

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa,

Kanisa la Mwenyezi Mungu |Mazungumzo Mafupi Kuhusu “Ufalme wa Milenia Umefika”

Mwenyezi Mungu alisema, Mnayaonaje maono ya Ufalme wa Milenia? Baadhi ya watu hutafakari sana kuuhusu na kusema kuwa Ufalme wa Milenia utadumu duniani kwa miaka elfu moja, hivyo basi ikiwa waumini wazee katika kanisa hawajaoa, je, wanapaswa kuoa? Familia yangu haina pesa, je napaswa nianze kutafuta pesa? … Ufalme wa Milenia ni nini? Je, mnajua? Watu ni nusu vipofu na wanapitia mateso mengi.

Alhamisi, 1 Februari 2018

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(6): Kurudi

Kanisa la Mwenyezi Mungu

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(6): Kurudi

Utambulisho

Mwenyezi Mungu anasema, "Unapokuwa umechoka na unapoanza kuona huzuni katika ulimwengu huu, usifadhaike, usilie. Mwenyezi Mungu, Mlinzi, atakaribisha kuwasili kwako wakati wowote. Yupo pembeni mwako Anakuangalia, anakusubiri uweze kumrudia. Anasubiri siku ambayo kumbukumbu zako zitarejea" (Neno Laonekana katika Mwili) Jinsi tu Xiaozhen aliachwa akiwa ameviliwa na kupigwa na ulimwengu huu na alijitoa mwenyewe kwa kukata tamaa, upendo wa Mwenyezi Mungu ulimjia na moyo wake ukaamshwa …

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(5): Maisha katika Bwalo la Dansi


Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(5): Maisha katika Bwalo la Dansi

Utambulisho

Akiishi nyuma ya kinyago, Xiaozhen alisimilishwa na kumezwa polepole na ulimwengu huu. Alipoteza heshima yake miongoni mwa njia potovu za ulimwengu mbaya …