Jumamosi, 7 Aprili 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | "Utamu katika Shida" (I): Mbinu ya Chama cha Kikomunisti cha China ya Kuwashurutisha Wakristo kwa Kutishia Familia Zao

Kanisa la Mwenyezi Mungu  | "Utamu katika Shida" (I): Mbinu ya Chama cha Kikomunisti cha China ya Kuwashurutisha Wakristo kwa Kutishia Familia Zao

Ili kuwashurutisha Wakristo kulighilibu kanisa, wamsaliti Mungu na kuharibu nafasi zao za kuokolewa na Mungu, Chama cha Kikomunisti cha China kwa ufidhuli kinawatishia wanafamilia wa Wakristo na kutumia hisia za familia za Wakristo kuwashurutisha kumsaliti Mungu. Je, njama za Chama cha Kikomunisti cha China zinaweza kuendelea? Katika mapambano haya kati ya mema na mabaya, Wakristo watawezaje kumtegemea Mungu ili kushinda majaribu ya Shetani na kusimama imara na kuwa na ushuhuda kwa Mungu?

Ijumaa, 6 Aprili 2018

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (2)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (2)

Mwenyezi Mungu alisema, Mlikuwa mnatafuta kutawala kama wafalme, na leo bado hamjaacha kabisa suala hili; bado mnatamani kutawala kama wafalme, kushikilia mbingu na kuhimili dunia. Sasa, fikiria kuhusu hilo: Je, unazo sifa kama hizo? Je, huoni unakuwa mtu mpumbavu? Je, mnachokitafuta na kujitolea umakini wenu kwacho ni cha uhalisi? Hamna hata hali ya kawaida ya ubinadamu—hilo si la kusikitisha?

Alhamisi, 5 Aprili 2018

Best Swahili Christian Worship Song "Maisha Yetu Sio Bure"

Kanisa la Mwenyezi MunguBest Swahili Christian Worship Song "Maisha Yetu Sio Bure"

Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure.

Leo tunakutana na Mungu, tunapitia kazi Yake.
Tumemjua Mungu katika mwili, wa utendaji na wa hakika.
Tumeiona kazi Yake, nzuri na ya ajabu.
Kila siku ya maisha yetu sio bure.
Tunamshuhudia Kristo kama ukweli na uzima!
Kufahamu na kukumbatia fumbo hili.
Nyayo zetu ziko katika njia ng’avu zaidi ya hadi katika uzima.
Hatutafuti tena, yote yako wazi kwetu.

Jumatano, 4 Aprili 2018

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (1)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (1)

Mwenyezi Mungu alisema, Wanadamu kwa ajili ya kupotoshwa sana na Shetani, hawajui kuwa kuna Mungu na wameacha kumwabudu Mungu. Adamu na Hawa walipoumbwa mwanzoni, utukufu wa Yehova na Ushuhuda wa Yehova daima vilikuwepo. Lakini baada ya kupotoshwa, mwanadamu alipoteza utukufu na ushuhuda kwa sababu kila mtu alimwasi Mungu na kuacha kumtukuza kabisa. Kazi ya sasa ya kushinda ni kuupata ushuhuda na utukufu wote, na kuwafanya wanadamu wote wamwabudu Mungu, ili kuwepo na ushuhuda miongoni mwa viumbe wote.

Jumanne, 3 Aprili 2018

Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani – Kristo ndiye Chanzo cha Uhai na Vile Vile Bwana wa Biblia

Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani – Kristo ndiye Chanzo cha Uhai na Vile Vile Bwana wa Biblia

  Biblia imejaa maneno ya Mungu na vile vile uzoefu na ushuhuda kutoka kwa mwanadamu ambao unaweza kutupa uhai na ni yenye manufaa sana kwetu. Bwana Yesu alisema, "Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima: Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, bado ataishi: Na yeyote aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele." (Yohana 11:25-26). Lakini kwa nini, baada ya miaka 2,000, hakuna kati ya wale walio na imani katika Bwana ambao wamesoma Biblia wamewahi kupata uzima wa milele? Inaweza kuwa kwamba Biblia haina njia ya uzima wa milele? Inaweza kuwa kwamba wakati Bwana Yesu alitekeleza kazi Yake ya ukombozi kwamba Hakuwapa binadamu njia ya uzima wa milele? Tunapaswa kufanya nini ili kuweza kupata njia ya uzima wa milele?

Jumatatu, 2 Aprili 2018

Kuhusu Biblia (4)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Biblia,

Kuhusu Biblia (4)

Mwenyezi Mungu alisema, Watu wengi wanaamini kwamba kuelewa na kuwa na uwezo wa kufasiri Biblia ni sawa na kutafuta njia ya kweli—lakini, kimsingi, je, vitu ni rahisi sana? Hakuna anayejua uhalisia wa Biblia: kwamba si kitu chochote zaidi ya rekodi ya kihistoria ya kazi ya Mungu, na agano la hatua mbili zilizopita za kazi ya Mungu, na haikupatii ufahamu wa malengo ya kazi ya Mungu.

Kuhusu Biblia (3)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Biblia,

Kuhusu Biblia (3)

Mwenyezi Mungu alisema, Sio kila kitu katika Biblia ni rekodi ya maneno aliyoyasema Mungu. Kimsingi Biblia inaandika hatua mbili za awali za kazi ya Mungu, ambapo sehemu moja ni rekodi ya utabiri wa kale wa manabii, na sehemu nyingine ni uzoefu na maarifa yaliyoandikwa na watu waliotumiwa na Mungu katika enzi zote. Uzoefu wa kibinadamu umetiwa doa na maoni na maarifa ya kibinadamu, kitu ambacho hakiepukiki. Katika vitabu vingi vya Biblia kuna dhana nyingi za kibinadamu, upendelevu wa kibinadamu, na ufasiri wa ajabu wa kibinadamu.

Jumapili, 1 Aprili 2018

Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani – Ni nini uhusiano kati ya Mungu na Biblia?

Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani – Ni nini uhusiano kati ya Mungu na Biblia?

    Kwa miaka elfu mbili, tumemwamini Bwana kulingana na Biblia, na wengi wetu sana huamini "Biblia inamwakilisha Bwana, kumwamini Mungu ni kuamini Biblia, kuamini Biblia ni kumwamini Mungu," Je, mawazo haya ni sahihi? Kumwamini Mungu kunamaanisha nini kwa kweli? Kunamaanisha nini kuamini Biblia? Ni nini uhusiano kati ya Biblia na Mungu? Je, imani pofu na kuabudu Biblia yanamaanisha kwamba tunamwamini na kumwabudu Mungu? Video hii itafichua majibu kwako!