Alhamisi, 31 Mei 2018

Best Swahili Gospel Worship Song "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu

Best Swahili Gospel Worship Song "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu

Chukua fursa unapokuwa na wakati, keti kimya mbele ya Mungu.
Soma neno Lake, jua ukweli Wake, rekebisha makosa yaliyo ndani yako.
Majaribu huja, yakabili; ijue nia ya Mungu na utakuwa na nguvu.
Mwambie ni vitu gani unavyokosa, shiriki ukweli Wake kila mara.
Roho yako ina furaha unapomwabudu Yeye.
Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu, usipinge tena.
Kujali kwako mwili, kunamuumiza Yeye sana.

Jumatano, 30 Mei 2018

Umeme wa Mashariki | Sura ya 37. Kanuni Kuu za Jinsi Wafanyakazi Hufanya Kazi

Sura ya 37. Kanuni Kuu za Jinsi Wafanyakazi Hufanya Kazi

Mwenyezi Mungu alisema, Katika kazi yao, wafanyakazi wanapaswa kuzingatia mambo mawili: Moja ni kufanya kazi kabisa kulingana na kanuni zilizowekwa masharti na mipangilio ya kazi. Wafanyakazi hawapaswi kukiuka kanuni hizi, wasifanye kazi kulingana na mawazo yao wenyewe, na siyo kulingana na mapenzi yao. Wanapaswa kuonyesha uhusiano kwa kazi ya familia ya Mungu, na kuweka maslahi ya familia ya Mungu kwanza katika kila kitu wakifanyacho.

Jumanne, 29 Mei 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 24

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 24


Kuadibu kwangu kunawajia watu wote, lakini pia kunakaa mbali na watu wote. Maisha yote ya kila mtu yamejaa upendo na pia chuki Kwangu, na hakuna mtu ambaye amewahi kunijua na kwa hivyo mtazamo wa mwanadamu Kwangu ni wa sitasita, na hauna uwezo wa kuwa kawaida. Lakini Nimekuwa Nikimlea na kumchunga mwanadamu na ni kwa sababu ya upumbavu wake ndiyo maana hana uwezo wa kuona matendo Yangu yote na kuelewa nia Zangu.

Jumatatu, 28 Mei 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Mawazo Juu ya Maafa

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Mawazo Juu ya Maafa
Watu wengi hufikiri kuwa jaala yao iko mikononi mwao wenyewe. Lakini wakati maafa yanapokuja, yote tunayohisi ni hali ya kutojiweza, woga, na kitisho, na tunahisi kutokuwa na thamani kwa wanadamu na udhaifu wa maisha…. Ni nani wokovu wetu wa pekee? Filamu ya Kikristo ya muziki—Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu—hivi karibuni itafichua jibu! 

Jumapili, 27 Mei 2018

Umeme wa Mashariki | Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuchunguza Mafumbo ya Maisha

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" |Kuchunguza Mafumbo ya Maisha

Mtu Atarudi Kule Alikotoka.
Hakuna yeyote anayeweza kushinda ugonjwa na kifo.
Hakuna yeyote anayeweza kubadilisha sheria za uzee na udhaifu wa mwili au akili.
………………………………
"Kwa nini tunaishi? Na kwa nini inatulazimu kufa? Nani anayeitawala dunia hii?"

Jumamosi, 26 Mei 2018

Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki

Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki

Kila wakati Umeme wa Mashariki linapotajwa, ndugu wengi katika Bwana huhisi mafadhaiko: Ni kwa nini jumuiya ya kidini kwa ujumla huzidi kuhuzunika na kupotoka, wakati kila dhehebu linazidi kuwa na hadhari na kushikilia ukale katika kushutumu na kufukuza Umeme wa Mashariki, Umeme wa Mashariki halihuzuniki tu na kudhoofika, lakini linaendelea mbele kama mawimbi yasiyoweza kusimamishwa, likienea kote China Bara?

Ijumaa, 25 Mei 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 1. Upendo wa Mungu Ulikuwa Nami Katika Gereza la Giza la Ibilisi

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mateso,
1. Upendo wa Mungu Ulikuwa Nami Katika Gereza la Giza la Ibilisi

Yang Yi, Mkoa wa Jiangsu
Mimi ni Mkristo wa Kanisa la Mwenyezi Mungu. Nimekuwa mfuasi wa Mwenyezi Mungu kwa zaidi ya miaka kumi. Katika wakati huu, kitu kimoja ambacho sitawahi kusahau ni taabu mbaya sana nilipokamatwa na polisi wa CCP muongo mmoja uliopita. Wakati huo, licha ya mimi kuteswa na kukandamizwa na ibilisi waovu, na kuwa ukingoni mwa kifo mara kadhaa, Mwenyezi Mungu alitumia mkono Wake wa nguvu kuniongoza na kunilinda, kunirudisha kwa uhai, na kunipeleka kwa usalama.... Kupitia hili, kwa kweli nilipitia uvukaji mipaka na ukuu wa nguvu ya uhai wa Mungu, na kupata utajiri wa thamani wa maisha niliyotunikiwa na Mungu.

Alhamisi, 24 Mei 2018

Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima | Sura ya 23

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima | Sura ya 23 

Mwenyezi Mungu alisema, Ninapopaza sauti Yangu, macho Yangu yanapofyatua moto, Ninaitazama kwa uangalifu dunia nzima, Ninatazama kwa uangalifu ulimwengu mzima. Wanadamu wote wananiomba Mimi, wameinua macho yao kuelekea Kwangu, wakiomba Nipunguze hasira, na kuapa kutoniasi tena. Lakini haya siyo yaliyopita; bali yaliyopo kwa sasa.

Jumatano, 23 Mei 2018

Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima | Sura ya 22

Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima

Sura ya 22

Mwenyezi Mungu alisema,Mwanadamu anaishi katikati ya mwanga, ilhali hana habari kuhusu thamani ya mwanga huo. Hana ufahamu kuhusu kiini cha mwanga huo, na chanzo cha mwanga huo, na, zaidi ya hayo, hajui mmiliki wake ni nani. Ninapotuza mwanga huo miongoni mwa binadamu, papo hapo Nilichunguza hali ilivyo miongoni mwa wanadamu: Kwa sababu ya mwanga huo, watu wote wanabadilika, na wanakua, na wametoka gizani.

Jumanne, 22 Mei 2018

Umeme wa Mashariki | Sura ya 36. Kujijua Mwenyewe Hasa Ni Kujua Asili ya Binadamu

Mwenyezi Mungu alisema, La muhimu katika kufikia badiliko la tabia ni kujua asili ya mtu mwenyewe, na hili ni lazima litoke kwa ufunuo na Mungu. Ni katika neno la Mungu tu ambapo mtu anaweza kujua asili yake ya kutia kinyaa, afahamu katika asili yake mwenyewe sumu mbalimbali za Shetani, atambue kuwa yeye ni mjinga na mpumbavu, na atambue dalili dhaifu na hasi katika asili yake mwenyewe.

Jumatatu, 21 Mei 2018

Christian Video Swahili Uaminifu ni wa Thamani Mno Wokovu wa Bwana

Christian Video Swahili "Uaminifu ni wa Thamani Mno" | Wokovu wa Bwana

Zhen Cheng alikuwa mmiliki wa duka la urekebishaji wa vifaa vya stima. Alikuwa mkarimu, mwaminifu, na alifanya biashara inavyopasa kufanywa. Hangejaribu kumdanganya mtu, lakini alikuwa anachuma tu pesa za kutosha angalau kuimudu tu famillia yake.

Jinsi Nilivyomgeukia Mwenyezi Mungu Tena | Kutembea Katika Njia Ng’avu ya Maisha

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Injili,
Kutembea Katika Njia Ng’avu ya Maisha

Xie Li, Marekani
Zamani nilikuwa mtu ambaye angefuata mitindo ya dunia, nilitaka kujiachilia kwa maisha ya anasa, na nilijali tu kuhusu anasa za mwili. Mara nyingi ningeenda na rafiki zangu kwa KTV usiku mzima, ningeenda matembezi kwa motokaa katikati ya usiku, ningeenda kuvua samaki katika bahari, na kusafiri pande zote nikitafuta vyakula vizuri. Ningeona wengine walionizunguka, na wao wote pia walikuwa wanajizatiti kula vizuri, kuvaa vitu vizuri, na kufurahia vitu vizuri.

Jumapili, 20 Mei 2018

Kwa nini Umeme wa Mashariki Hutapakaa Kwenda Mbele na Maendeleo Yasiyozuilika?

Kwa nini Umeme wa Mashariki Hutapakaa Kwenda Mbele na Maendeleo Yasiyozuilika?

Kristo wa siku za mwisho amekuwa akifanya kazi Yake nchini China kwa zaidi ya miaka 20, kazi ambayo imetetemesha makundi mbalimbali ya kidini kwa kina. Swali la kufadhaisha zaidi kwa jumuiya za kidini wakati huu limekuwa: Wachungaji wengi na wazee wa kanisa katika jumuiya ya kidini wamefanya liwezekanalo kuuhukumu na kuushambulia Umeme wa Mashariki kupitia njia mbalimbali kama vile kueneza uvumi kuhusu na kuukashifu Umeme wa Mashariki.

Jumamosi, 19 Mei 2018

Maneno ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 35. Jinsi ya Kuishika Njia ya Petro

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,

Maneno ya  Mwenyezi Mungu | Sura ya 35. Jinsi ya Kuishika Njia ya Petro


Kufanya muhtasari wa kuishika njia ya Petro, ni kuishika njia ya kufuatilia ukweli, ambayo pia ni njia ya kujijua na kubadilisha tabia ya mtu. Ni kwa kuishika tu njia ya Petro ndio mtu atakuwa anashika njia ya kukamilishwa na Mungu. Mtu lazima aelewe hasa jinsi ya kuishika njia ya Petro na jinsi ya kuiweka katika vitendo. Kwanza, mtu lazima aweke kando madhumuni yake mwenyewe, shughuli zisizofaa, na hata familia yake na vitu vyote vya mwili wake.

Ijumaa, 18 Mei 2018

Umeme wa Mashariki | 58. Wivu, Ugonjwa Sugu Wa Kiroho

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa,

Umeme wa Mashariki58. Wivu, Ugonjwa Sugu Wa Kiroho

He Jiejing    Jiji la Hezhou, Mkoa wa Guangxi
Dada mmoja na mimi tuliunganishwa ili tusahihishe makala pamoja. Tulipokuwa tukikutana, nilitambua kuwa haikujalisha kama ilikuwa ni kuimba, kucheza ngoma, kupokea neno la Mungu, au kuwasiliana ukweli, huyu dada alikuwa bora kuniliko katika kila kipengele. Ndugu wa kiume na wa kike wa familia mwenyeji wote walimpenda na wangezungumza naye. Kwa sababu ya hili, moyo wangu ulikuwa na wasiwasi sana na nilihisi kama nilikosa kuthaminiwa—hata kufikia kiasi kwamba nilifikiri kuwa mradi alikuwa huko, hakukuwa na nafasi yangu.

Swahili Christian Song "Ni Furaha Kuu kuwa Mtu Mwaminifu" | Mbinguni ni mahali pa mtu mwaminifu

Kanisa la Mwenyezi MunguSwahili Christian Song "Ni Furaha Kuu kuwa Mtu Mwaminifu" | Mbinguni ni mahali pa mtu mwaminifu

Kuelewa ukweli huiachilia huru roho ya mtu
na kumfanya mtu kuwa mwenye furaha.
Nimejazwa na imani katika neno la Mungu na sina shaka.
Mimi niko bila uhasi wowote,
sirudi nyuma, na kamwe sikati tamaa.
Ninauunga mkono wajibu wangu
kwa moyo wangu wote na mawazo, na siujali moyo.
Ingawa ubora wa tabia yangu ni wa chini,
nina moyo wa uaminifu.

Alhamisi, 17 Mei 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Ishirini na Moja

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Ishirini na Moja


Mwanadamu huanguka katikati ya mwanga Wangu, na anasimama imara kwa sababu ya wokovu Wangu. Niletapo wokovu ulimwenguni kote, mwanadamu hujaribu kutafuta njia za kuingia miongoni mwa mtiririko wa urejesho Wangu, ilhali kuna watu wengi ambao huoshwa wasijulikane waliko na gharika hili la urejesho; kuna watu wengi ambao wamezama na kumezwa na mafuriko haya ya maji; na kuna watu wengi pia ambao husimama imara huku kukiwa na mafuriko, ambao hawajawahi kupoteza hisia zao za mwelekeo, na ambao basi wamefuata mafuriko mpaka sasa.

Jumatano, 16 Mei 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 34. Umuhimu na Mazoezi ya Sala

Je, mnaomba vipi kwa sasa? Ni maendeleo kwa sala za kidini jinsi gani? Mnaelewa nini hasa kuhusu umuhimu wa sala? Je mmechunguza maswali haya? Kila mtu ambaye hafanyi sala ako mbali na Mungu, kila mtu ambaye hasali anafuata mapenzi yake; Kukosekana kwa sala kunaashiria kwenda mbali na Mungu na usaliti wa Mungu. Ni nini uzoefu wenu hasa na sala? Sasa hivi, kazi ya Mungu tayari inakaribia mwisho na uhusiano kati ya Mungu na mwanadamu unaweza kuonekana kutoka kwa maombi ya mwanadamu.

Jumatatu, 14 Mei 2018

Umeme wa Mashariki | "Wakati wa Mabadiliko"(1) - Wanawali Wenye Hekima Hunyakualiwaje?

"Wakati wa Mabadiliko"(1) - Wanawali Wenye Hekima Hunyakualiwaje?

Utambulisho
Watu wengine huongozwa na maneno ya Paulo katika suala la kumngoja Bwana ili kuinuliwa kwenda katika ufalme wa mbinguni: "Kwa ghafla, kufumba na kufumbua, wakati wa tarumbeta ya mwisho: kwa maana tarumbeta italia, na wafu watafufuliwa bila uovu, na tutabadilishwa" (1Kor 15:52). Wanaamini kwamba ingawa bado tunatenda dhambi siku zote bila kujinasua kutoka kwa pingu za asili ya dhambi, Bwana atazibadili taswira zetu mara moja na kutuleta katika ufalme wa mbinguni Atakapokuja.

Jumapili, 13 Mei 2018

Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima | Tamko la Ishirini

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima

Tamko la Ishirini

Mwenyezi Mungu alisema, Utajiri wa jumba Langu ni bila idadi na usioeleweka, lakini mwanadamu hajawahi kuja Kwangu kuufurahia. Hana uwezo wa kuufurahia mwenyewe, wala wa kujilinda mwenyewe kwa kutumia juhudi zake mwenyewe; badala yake, yeye daima huweka imani yake kwa wengine.  Kati ya wale wote Ninaowatazamia, hakuna mtu aliyewahi kunitafuta kwa makusudi na moja kwa moja.

Jumamosi, 12 Mei 2018

Sura ya 33. Jinsi ya Kufahamu Tabia Yenye Haki ya Mungu

Mwenyezi Mungu alisema, Watu wanaweza kupangwa kwa makundi, ambayo hubainishwa kwa roho zao. Watu wengine wana roho za binadamu, na wao huchaguliwa kwa njia iliyoamuliwa kabla. Ndani ya roho ya binadamu kuna sehemu iliyoamuliwa kabla. Watu wengine hawana roho; wao ni pepo ambao wamepenyeza. Hawajaamuliwa kabla na kuchaguliwa na Mungu. Ingawa wamekuja ndani, hawawezi kuokolewa, na hatimaye wataondolewa na pepo.

Ijumaa, 11 Mei 2018

"Imani katika Mungu" (3) - Je, Kazi ya Mungu na Kuonekana kwa Mungu Kunaleta Nini katika Jamii ya Dini?


"Imani katika Mungu" (3) - Je, Kazi ya Mungu na Kuonekana kwa Mungu Kunaleta Nini katika Jamii ya Dini?

Kila wakati ambapo Mungu anakuwa mwili na kuonekana ili kufanya kazi Yake, nguvu za uovu za Shetani hupinga na kulaani njia ya kweli kwa ghadhabu. Kwa njia hii, vita vinatokea ndani ya dunia ya kiroho ambavyo hugawanya na kufunua ulimwengu wa dini. Bwana Yesu alisema, “Msifikiri kwamba nimekuja kuleta amani duniani: sikuja kuleta amani, bali upanga”(Mathayo 10:34). Wakati ambapo Bwana Yesu alionekana na kufanya kazi katika Enzi ya Neema, dini ya Kiyahudi iligawanyika katika vikundi vingi. Sasa kwa kuonekana kwa Mwenyezi Mungu na kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho, ulimwengu wa dini unapatwa na mfichuo mkubwa; ngano na magugu mwitu, kondoo na mbuzi, wanawali wenye busara na wanawali wapumbavu, na watumishi wazuri na watumishi wabaya —wote wanafunuliwa, kila mmoja na aina yake. Hekima ya Mungu na maajabu kweli ni ya kina sana!
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Soma Zaidi: Kujua Kanisa la Mwenyezi MunguUmeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Alhamisi, 10 Mei 2018

53. Kukubali Ukweli kwa Hakika Ni Nini?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ukweli,
53. Kukubali Ukweli kwa Hakika Ni Nini?

Xiaohe Mji wa Puyang, Mkoa wa Henan
Hapo awali, kila wakati niliposoma maneno yaliyofichuliwa na Mungu kuhusu jinsi watu hawakubali ukweli, sikuamini kwamba maneno hayo yangetumika kwangu. Nilifurahia kula na kunywa neno la Mungu na kuwasiliana kuhusu neno la Mungu, na niliweza kukubali na kukiri kila kitu ambacho Mungu amesema kuwa ukweli—bila kujali jinsi kilivyoumiza moyo wangu au jinsi hakikuambatana na mawazo yangu.

Jumatano, 9 Mei 2018

Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima | Tamko la Kumi na Tisa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima

Tamko la Kumi na Tisa

Mwenyezi Mungu alisema, Ni shughuli sahihi ya mwanadamu kuchukua maneno Yangu kama msingi wa maisha yake. Mwanadamu lazima aanzishe fungu lake binafsi katika kila sehemu ya maneno Yangu; kutofanya hivyo kutakuwa kuuliza matata, kutafuta maangamizo yake mwenyewe. Binadamu haunijui, na kwa sababu ya hili, badala ya kuleta maisha yake Kwangu badala, anachofanya ni kujipanga tu mbele Yangu na takataka mikononi mwake, na hivyo kujaribu kuniridhisha.

Jumanne, 8 Mei 2018

Christian Testimony Video Swahili "Moyo Uliopotea Waja Nyumbani" Wokovu wa Ajabu wa Mungu

Christian Testimony Video Swahili "Moyo Uliopotea Waja Nyumbani" Wokovu wa Ajabu wa Mungu
Tangu alipokuwa mdogo, Novo alimwamini Bwana Yesu, kama mama yake tu. Hata kama alisoma Biblia, kuomba, na kuhudhuria mahubiri mara kwa mara, mara nyingi hangeweza kujizuia bali kufuata mielekeo mibaya ya dunia, kutamani raha za mwili, na kudanganya na kusema uwongo…. Alikusudia mara nyingi kuyaacha maisha ya aina hiyo ya kuzunguka katika kutenda dhambi na kukiri, kukiri na kutenda dhambi. Hata hivyo, kila wakati hakufaulu.

Jumatatu, 7 Mei 2018

Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima | Tamko la Kumi na Nane

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima 

Tamko la Kumi na Nane

Mwenyezi Mungu alisema, Katika mwako wa umeme, kila mnyama hufichuliwa katika hali yake halisi. Hivyo pia, kama wameangaziwa na mwanga Wangu, wanadamu wamepata tena utakatifu waliokuwa nao wakati mmoja. Oh, ya kwamba dunia potovu ya zamani mwishowe imeanguka na kutumbukia ndani ya maji ya taka na, kuzama chini ya maji, na kuyeyuka na kuwa tope! Ah, ya kwamba binadamu wote Niliouumba hatimaye umerudiwa na uhai tena katika mwanga, kupata msingi wa kuwepo, na kuacha kupambana katika tope!

Jumapili, 6 Mei 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 52. Jitiishe Mwenyewe ili Kufundisha Wengine Nidhamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa,

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 52. Jitiishe Mwenyewe ili Kufundisha Wengine Nidhamu

Xiaoyan    Jiji la Xinyang, Mkoa wa Henan
Nilikuwa na ubia wa kazi wa karibu na dada mmoja mzee katika masuala ya jumla. Baada ya kufanya kazi naye kwa muda fulani, nikamwona kuwa mzembe katika kazi yake na kwamba hakukubali ukweli. Kikwelikweli, nilikata kauli kumhusu. Hatua kwa hatua, uhusiano wa kawaida kati yetu ulipotea, hatukuweza kupatana vizuri, na hatukuweza kuwa mbia katika kazi.

Jumamosi, 5 Mei 2018

Safina ya Siku za Mwisho | "Siku za Nuhu Zimekuja" Swahili Gospel Video

Safina ya Siku za Mwisho | "Siku za Nuhu Zimekuja" Swahili Gospel Video
Hebu tumwangalie mwanadamu wakati wa enzi ya Nuhu. Mtu alishiriki katika kila aina ya utendaji wa maovu akikosa kufikiria toba. Hakuna aliyesikiliza neno la Mungu. Ugumu na uovu wao uliamsha hasira ya Mungu na mwishoni, walimezwa na maafa ya mafuriko makuu. Nuhu na familia yake ya watu nane pekee ndio walisikiliza neno la Mungu na walikuwa na uwezo wa kuishi. Sasa, siku za mwisho zimeshafika. Upotovu wa mwanadamu unakuwa mwingi zaidi na zaidi.

Ijumaa, 4 Mei 2018

Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima | Sura ya 17

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,

Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima

Tamko la Kumi na Saba

Mwenyezi Mungu alisema, Sauti Yangu inatoka kama radi, ikitia nuru roboduara zote nne na dunia nzima, na katikati ya radi na umeme, binadamu wanaangushwa chini. Hakuna mwanadamu aliyewahi kusimama imara katikati ya radi na umeme: Wanadamu wengi wanaogopa sana kuja kwa mwangaza Wangu na hawajui cha kufanya. Wakati mwangaza hafifu unaanza kuonekana Mashariki, watu wengi, wakiongozwa na huu mng’ao dhaifu, wanaamshwa mara moja kutoka kwa njozi zao.

51. Nilipitia Wokovu wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, wokovu,

51. Nilipitia Wokovu wa Mungu

Cheng Hao    Mji wa Yongzhou, Mkoa wa Hunan
Kwa neema ya Mungu, mimi na mke wangu tulipandishwa vyeo hadi kwa timu ya injili ya pili ili kutimiza wajibu wetu. Muda mfupi uliopita, mke wangu alipandishwa cheo kuwa mkurugenzi wa timu, huku mimi, kutokana na kiburi changu mwenyewe na utukutu wangu, nilipoteza kazi ya Roho Mtakatifu na kupelekwa nyumbani kutafakari juu ya matendo yangu.

Alhamisi, 3 Mei 2018

"Ivunje Laana" (6) - Je, Utiifu kwa Wachungaji na Wazee wa Kanisa ni Sawa na Kumtii Mungu?

"Ivunje Laana" (6) - Je, Utiifu kwa Wachungaji na Wazee wa Kanisa ni Sawa na Kumtii Mungu?
Waumini wengine huamini kwamba wachungaji na wazee wa kanisa wa ulimwengu wa kidini wamechaguliwa na kuteuliwa na Bwana, na kwamba wote ni watu wanaomtumikia Bwana. Hivyo wanaamini kwamba kuwatii tu wachungaji na wazee wa kanisa ni kumtii Bwana, na kwamba kuwaasi au kuwahukumu wachungaji na wazee wa kanisa ni kumpinga Bwana.

Jumatano, 2 Mei 2018

Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima | Tamko la Kumi na Sita

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima | Tamko la Kumi na Sita


Mwenyezi Mungu anasema, Kuna mengi ambayo Natamani kumwambia mwanadamu, mambo mengi sana ambayo lazima Nimwambie. Lakini uwezo wa mwanadamu wa kukubali una upungufu mwingi: Hana uwezo wa kuyaelewa kabisa maneno Yangu kulingana na kile Ninachokitoa, na anaelewa kipengele kimoja tu lakini haelewi vingine. Lakini Simwangamizi mwanadamu kwa ajili ya ukosefu wake wa nguvu, wala Siudhiki na udhaifu wake.

"Ivunje Laana" (5) - Je, Wachungaji na Wazee wa Kanisa wa Ulimwengu wa Dini Wanateuliwa na Bwana Kweli?

"Ivunje Laana" (5) - Je, Wachungaji na Wazee wa Kanisa wa Ulimwengu wa Dini Wanateuliwa na Bwana Kweli?

Mungu mwenyewe hutoa ushuhuda kwa kila mtu Anayemteua na kumtumia. Angalau, wote hupokea uthibitisho wa kazi ya Roho Mtakatifu, huonyesha matunda ya kazi ya Roho Mtakatifu, na wanaweza kuwasaidia watu wa Mungu waliochaguliwa kupokea utoaji wa maisha na uchungaji wa kweli. Kwa sababu Mungu ni mwenye haki na mtakatifu, kila mtu Anayemteua na kumtumia lazima alingane na mapenzi ya Mungu.

Jumanne, 1 Mei 2018

"Ivunje Laana" (4) - Je, Imani katika Biblia Ni sawa na Imani katika Bwana?

"Ivunje Laana" (4) - Je, Imani katika Biblia Ni sawa na Imani katika Bwana?
Wachungaji wengi sana na wazee wa kanisa wa ulimwengu wa kidini huamini kwamba Biblia inamwakilisha Bwana, na kwamba kuamini katika Bwana ni kuamini katika Biblia, na kuamini katika Biblia ni kuamini katika Bwana. Wao huamini kwamba mtu akiachana na Biblia basi hawezi kuitwa muumini, na kwamba mtu anaweza kuokolewa na anaweza kuingia katika ufalme wa mbinguni almradi ashikilie Biblia.