Jumapili, 15 Desemba 2019

Ni jinsi gani Mungu anayepata mwili ili kufanya kazi ya hukumu huimaliza imani ya wanadamu katika Mungu asiye yakini na enzi ya giza ya utawala wa Shetani?

Kanisa la Mwenyezi Mungu

Aya za Biblia za Kurejelea:

“Na itatimia katika siku za mwisho, kwamba mlima wa nyumba ya Yehova utawekwa imara juu ya milima, na utainuliwa juu zaidi ya vilima; na mataifa yote yatamiminika kwenda kwake. Na watu wengi wataenda na kusema, Njoo, na hebu twende juu ya mlima wa Yehova, kwa nyumba ya Mungu wa Yakobo; na atatufunza kuhusu njia zake, nasi tutatembea kwa njia zake: kwani sheria itatoka Zayuni, na neno la Mungu litatoka Yerusalemu. Naye atahukumu miongoni mwa mataifa, na atawakemea watu wengi: nao wata, nao watafua panga zao ili ziwe majembe, na mikuki yao ili iwe mundu: hakuna taifa litakaloinua upanga dhidi ya taifa lingine, wala hawatajifunza vita tena. Enyi wa nyumba ya Yakobo, njooni, tutembee katika nuru ya Yehova” (Isaya 2:2-5).

Alhamisi, 12 Desemba 2019

"Mazungumzo" – Kwa nini CCP Huwafuatia na Kuwakandamiza Wakristo Sana? | Swahili Christian Video Clip 1/6


Katiba ya China hutamka kwa dhahiri uhuru wa dini, lakini kisirisiri, serikali hutumia rasilimali nyingi mno za binadamu na za kifedha kwa kuikandamiza imani ya dini na kuwatesa Wakristo kikatili. Hata hawajaacha kununua vifaa vya hali ya juu zaidi kuwafuatia, kuwafuma, na kuwakamata Wakristo. Serikali ya China imewanyang'anya raia wake haki ya uhuru wa imani na imewanyima kwa utundu haki ya kuishi. Kwa hiyo kwa kweli ni nini sababu na lengo la CCP kufanya yote haya?

Sikiliza zaidi: 

Jumatatu, 9 Desemba 2019

Sura ya 11

Kila binadamu anapaswa kukubali uchunguzi wa Roho Wangu, anapaswa kuchunguza kwa makini kila neno na kitendo chao, na, zaidi ya hayo, anapaswa kuangalia matendo Yangu ya ajabu. Mnahisi aje wakati wa kuwasili kwa ufalme duniani? Wakati Wanangu na watu Wangu wanarudi katika kiti Changu cha enzi, Naanza rasmi hukumu mbele ya kiti kikuu cheupe cha enzi. Ambayo ni kusema, Nianzapo binafsi kazi Yangu duniani, na wakati enzi ya hukumu inakaribia tamati yake, Naanza kuelekeza maneno Yangu kwa ulimwengu mzima, na kutoa sauti ya Roho Wangu kwa dunia nzima.

Ijumaa, 6 Desemba 2019

"Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (I)" Sehemu ya Nne



Mwenyezi Mungu anasema, “Kwamba Mungu anakimu ulimwengu ina maana na matumizi mapana sana. Mungu hawakimu tu watu kwa kuwapatia mahitaji yao ya kila siku ya chakula na kinywaji, Anawapatia wanadamu kila kitu wanachohitaji, ikiwa ni pamoja na kila kitu ambacho watu wanakiona na vitu ambavyo haviwezi kuonekana. Mungu anatetea, anasimamia na anatawala mazingira ya kuishi ambayo binadamu anahitaji. Mazingira yoyote ambayo binadamu anayataka katika msimu wowote, Mungu ameyaandaa. 

Jumanne, 3 Desemba 2019

Sura ya 10

Enzi ya Ufalme ni, hata hivyo, tofauti na nyakati za kale. Haihusu kile anachofanya mwanadamu. Badala yake, Mimi binafsi Natekeleza kazi Yangu baada ya kushuka duniani—kazi ambayo wanadamu hawawezi kuelewa wala kufanikisha. Tangu kuumbwa kwa ulimwengu mpaka leo, miaka hii yote daima imehusu kujenga kanisa, lakini hakuna mtu anayesikia kamwe kuhusu kujenga ufalme. Japokuwa Nazungumza kuhusu haya kwa kinywa Changu mwenyewe, yupo yeyote anayejua asili yake? Wakati mmoja Nilishuka kwenye ulimwengu wa binadamu Nikapitia na Nikaangalia kwa makini mateso yao lakini bila ya kutimiza lengo la kupata mwili Kwangu.

Jumamosi, 30 Novemba 2019

New Swahili Christian Video "Kufufuka" | Hukumu ya Mungu katika Siku za Mwisho Iliniokoa



New Swahili Christian Video "Kufufuka" | Hukumu ya Mungu katika Siku za Mwisho Iliniokoa

Jina lake ni Zheng Lu, na tangu utotoni, alikuwa hasa ovyo. Kwa sababu ya ushawishi wa kijamii na elimu ya utamaduni wa kidesturi wa Kichina, alisoma bila kuchoka, akitumai kufikia chuo kikuu na kufanikisha ndoto yake ya kuwapiku marika wake na kuwa na mafanikio, lakini ajali isiyotarajiwa ilimharibia ndoto yake. Wakati tu alipohisi vibaya, mnyonge, na asiyeweza kuupata mwelekeo maishani, wokovu wa Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho ulimpata.

Jumatano, 27 Novemba 2019

Wimbo wa Maneno ya Mungu Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa

Kanisa la Mwenyezi Mungu

I
Tangu uhusiano wa kwanza wa Mungu na mwanadamu,
Amekuwa akifichua kwao
Kiini Chake na vile Alivyo na Alicho nacho,
bila kukoma, kila wakati.
Kama watu katika enzi wanaweza kuona au kuelewa,
Mungu huzungumza na kufanya kazi
ili kuonyesha tabia Yake na kiini.

Jumapili, 24 Novemba 2019

Wimbo wa Maneno ya Mungu Matendo ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu


  • I
  • Mungu anatazama chini juu ya vitu vyote kutoka juu,
  • na Anatawala vitu vyote kutoka juu.
  • Wakati huo huo,
  • Mungu ametuma wokovu Wake juu ya dunia.
  • Mungu anaangalia kutoka mahali Pake pa siri kila wakati,
  • kila hatua ya mwanadamu,
  • kila kitu anachosema na kufanya.