Mwenyezi Mungu alisema, Je, mnaona kwa dhahiri njia ya imani yenu kwa Mungu na njia yenu ya kufuata ukweli? Imani katika Mungu kweli ni nini? Je, mmetosheka baada ya kupitia shida kidogo? Watu wengine hufikiri kwamba baada ya kupitia hukumu na kuadibiwa, kupogolewa na ushughulikiwaji au baada ya kufichua hali yao ya kweli, wamemaliza na matokeo yao yameonekana. Wengi wa watu hawawezi kuona suala hili kwa dhahiri, na wao wote husimamishwa hapo, bila kujua jinsi ya kuitembea njia iliyo mbele.
Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Ijumaa, 31 Agosti 2018
Alhamisi, 30 Agosti 2018
Maneno ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 6
Sura ya 6
Mwenyezi Mungu alisema, Binadamu wanapigwa bumbuazi kwa sababu ya matamshi ya Mungu wanapotambua kwamba Mungu amefanya kitendo kikubwa katika ulimwengu wa kiroho, kitu ambacho mwanadamu hawezi na ambacho Mungu Mwenyewe pekee ndiye Anaweza kufanikisha. Kwa sababu hii, Mungu mara tena anawasilisha maneno ya huruma kwa wanadamu. Mioyo ya watu inapojaa ukinzani, ikishangaa: “Mungu ni Mungu asiye na huruma au upendo, lakini badala yake Mungu aliyejitolea kuwaangusha binadamu; kwa hiyo mbona Atuonyeshe huruma?
Mwenyezi Mungu alisema, Binadamu wanapigwa bumbuazi kwa sababu ya matamshi ya Mungu wanapotambua kwamba Mungu amefanya kitendo kikubwa katika ulimwengu wa kiroho, kitu ambacho mwanadamu hawezi na ambacho Mungu Mwenyewe pekee ndiye Anaweza kufanikisha. Kwa sababu hii, Mungu mara tena anawasilisha maneno ya huruma kwa wanadamu. Mioyo ya watu inapojaa ukinzani, ikishangaa: “Mungu ni Mungu asiye na huruma au upendo, lakini badala yake Mungu aliyejitolea kuwaangusha binadamu; kwa hiyo mbona Atuonyeshe huruma?
Jumatano, 29 Agosti 2018
Wimbo wa Maneno ya Mungu | Matendo Ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu
-
Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Matendo Ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima TupuIMungu anatazama chini juu ya vitu vyote kutoka juu, na Anatawala vitu vyote kutoka juu. Wakati huo huo, Mungu ametuma wokovu Wake juu ya dunia. Mungu anaangalia kutoka mahali Pake pa siri kila wakati, kila hatua ya mwanadamu, kila kitu anachosema na kufanya. Mungu anamjua mwanadamu kama kiganja cha mkono Wake. Mahali pa siri ni makao ya Mungu, anga ndicho kitanda Mungu akilaliacho. Nguvu ya Shetani haiwezi kumfikia Mungu, kwani Yeye amejawa na utukufu, haki, na hukumu.
Jumanne, 28 Agosti 2018
Sura ya 52. Dalili za Udanganyifu Ndani ya Mwanadamu na Asili ya Mwanadamu Ambazo Humsaliti Mungu
Mwenyezi Mungu alisema, Ugumu ambao watu wanaweza kuukabili kwa urahisi katika uzoefu wao, vitu ambavyo vinawasababisha watu kuanguka kwa urahisi, na pahali ambapo udhaifu wa jaala wa kila mtu upo yote ni masuala ambayo lazima mtu awe na ujuzi nayo. Kwa nini unaanguka, unamwacha Mungu na kupoteza imani ya kuendelea na ukimbiziaji wako wa ukweli unapokabiliana na mambo fulani? Kwa sasa, kila mtu yumo hatarini mwa mambo haya.
Jumatatu, 27 Agosti 2018
Kupitia Utunzaji wa Uangalifu wa Mungu wa Wokovu wa Mwanadamu katika Maafa
Kupitia Utunzaji wa Uangalifu wa Mungu wa Wokovu wa Mwanadamu katika Maafa

Muling , Beijing
Agosti 16, Mwaka wa 2012
Mnamo Julai 21, mwaka wa 2012, Beijing ilipata mvua kubwa zaidi katika miaka sitini. Katika mvua hiyo kubwa niliona matendo ya Mungu na kuona jinsi Yeye huwaokoa mwanadamu.
Siku hiyo adhuhuri, dada zangu watatu na mimi tulikuwa tumekutana. Nje mvua ilikuwa ikiendelea kunyesha. Saa kumi u nusu jioni mume wangu, ambaye hakuwa muumini, alirudi akitwambia kwamba kulikuwa na maji mengi kwa mzunguko kiasi kwamba watu hawakuweza kupitia. Hata hivyo, saa kumi na moja jioni aliondoka kwa haraka sana kwenda kwa zamu yake ya usiku kazini.
Jumapili, 26 Agosti 2018
"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (5) - Kwa Nini Mafarisayo Wanampinga Mungu?
Mafarisayo wa dunia ya kidini wote wana maarifa nyingi ya Maandiko na wamemtumikia Mungu kwa miaka mingi, na bado hawatafuti na kuchunguza kuonekana na kazi ya Mungu mwenye mwili tu, lakini kinyume na hayo, wanahukumu vikali, kushutumu, na kupinga. Hili hakika ni la kushangaza! Hivyo kwa nini Mafarisayo wa dunia ya kidini wanamshutumu na kumpinga Mungu? Mwenyezi Mungu anasema, "Wale wanaosoma Biblia kwa makanisa makubwa hukariri Biblia kila siku, lakini hakuna yeyote anayeelewa madhumuni ya kazi ya Mungu. Hakuna hata mmoja anayeweza kumwelewa Mungu; juu ya hayo, hakuna yeyote anayekubaliana na moyo wa Mungu." "Sababu kwamba mwanadamu humpinga Mungu inatoka, kwa upande mmoja, katika tabia potovu ya mwanadamu, na kwa upande mwingine, kutokana na kutomfahamu Mungu na kutoelewa kanuni za kazi ya Mungu na mapenzi Yake kwa mwanadamu. Vipengele hivi viwili vinaunganishwa katika historia ya upinzani wa mwanadamu kwa Mungu" (Neno Laonekana katika Mwili ).
Ijumaa, 24 Agosti 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 3 Lazima Mjue Ukweli Kuhusu Awamu Tatu za Kazi ya Mungu
2. Lazima Mjue Nia ya Awamu Tatu za Kazi ya Mungu.
Maneno Husika ya Mungu:
Mwenyezi Mungu alisema, Lengo la hatua tatu za kazi ni wokovu wa wanadamu wote—ambayo inamaanisha wokovu kamili wa mwanadamu kutoka kwa miliki ya Shetani. Ingawa kila moja ya hatua ya kazi ina madhumuni na umuhimu, kila moja ni sehemu ya kazi ya kumwokoa mwanadamu, na ni kazi tofauti ya wokovu inayotekelezwa kulingana na matakwa ya mwanadamu. …
Alhamisi, 23 Agosti 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Tukuzeni Ufanikishaji wa Kazi ya Mungu
I
Kazi kubwa ya Mungu hubadilika haraka sana, vigumu kuipima, kuridhisha kwa mtu. Angalia kandokando yako, si kama awali, kila kitu ni kizuri na kipya. Kila kitu kimehuishwa, vyote vimetengenezwa upya, vyote vimetakaswa. Tunamsifu Mungu, tukijawa furaha, nyimbo za sifa zinapepea mbinguni Kwake. Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake! Watu wote msifuni Mungu kwa vigelegele. Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake! Watu wote msifuni Mungu kwa vigelegele.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)



