Jumatano, 31 Januari 2018

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(4): Upotovu

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(4): Upotovu

Akiwa amekumbwa na ulimwengu mbaya na ukweli mkali, katika huzuni, Xiaozhen aliacha uaminifu wake na kung’ang’ana kuvaa kinyago. Kutoka wakati huo na kuendelea, alipotea …

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(3): Wakiacha Wema na Kufuata Uovu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(3): Wakiacha Wema na Kufuata Uovu

Utambulisho

Katika ulimwengu huu wa mioyo mibaya ambapo pesa ni mfalme, ni machaguo yapi ambayo Xiaozhen aliye safi na mzuri aliyafanya, ya maisha na ya kuendelea kuishi …

Jumanne, 30 Januari 2018

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(2): Kupigania Dhahabu

Kanisa la Mwenyezi Mungu

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(2): Kupigania Dhahabu

Utambulisho

Xiaozhen alipopata kipande kikubwa cha dhahabu, aliwaita marafiki wake ili wagawane. Kile ambacho hakutambua ni kwamba mara tu watu wanapoona dhahabu, asili nzuri na mbaya ya mwanadamu hujiweka wazi …

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(1): Jiwe, Karatasi, Makasi

Kanisa la Mwenyezi Mungu

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(1): Jiwe, Karatasi, Makasi

Utambulisho

Kikundi cha watoto wachangamfu, wanaopendeza kilikuwa kikicheza mchezo wakati, bila kufikiri, waliuliza swali lenye cha kali: "Wanadamu hutoka wapi?" Je, unalijua jibu la swali hili?

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Jumatatu, 29 Januari 2018

Kumpenda Mungu Tu Ndiko Kumwamini Mungu Kweli

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,
Matamshi ya Mwenyezi Mungu

Kumpenda Mungu Tu Ndiko Kumwamini Mungu Kweli

Mwenyezi Mungu alisema, Mnapotaka kumpenda na kumjua Mungu leo, kwa upande mmoja ni lazima mstahimili mateso, usafishaji, na kwa ule upande mwingine, ni lazima mgharamike. Hakuna funzo lililo kubwa kuliko lile la kumpenda Mungu, na inaweza kusemwa kuwa funzo ambalo watu hujifunza katika maisha yao yote ya imani ni jinsi ya kumpenda Mungu. Hii ni kusema, kama unamwamini Mungu ni lazima umpende Mungu. Ikiwa unamwamini tu Mungu lakini humpendi, hujapata ufahamu wa Mungu, na hujawahi kumpenda Mungu kwa upendo wa kweli utokao moyoni mwako, basi imani yako kwa Mungu ni bure; kama katika imani yako kwa Mungu humpendi Mungu, basi unaishi bure, na maisha yako yote ndiyo ya duni zaidi kwa maisha yote. Ikiwa katika maisha yako yote hujawahi kumpenda au kumtosheleza Mungu, basi kuna haja gani ya kuishi?

Sura ya 21. Ukimbizaji Ukweli Tu Ndiyo Imani ya Kweli katika Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa, Wakristo,
Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sura ya 21. Ukimbizaji Ukweli Tu Ndiyo Imani ya Kweli katika Mungu

Mwenyezi Mungu alisema, Kama huna uzoefu wa kitu, basi wewe ha4kika hutajua jinsi ya kukisimamia na utakisimamia vibaya. Hata kama unakisimamia, na ufikiri: “Mimi nimeeleza kiasi haya yote na nikasema mengi kulihusu. Wao pia wamelisikiza mara nyingi. Nimeongea sana kulihusu. Nafikiri yote ambayo nimeshiriki kuhusu tatizo hili kimsingi ni kweli, sivyo?” lakini kwa kweli, yote tu ni mafundisho, na wewe unatumia mafundisho kutatua tatizo.

Jumapili, 28 Januari 2018

Sura ya 19. Maana ya Mungu Kuupitia Uchungu wa Dunia

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa, Wakristo,

Sura ya 19. Maana ya Mungu Kuupitia Uchungu wa Dunia

Mwenyezi Mungu alisema, Mungu anapata mwili ili ateseke kwa niaba ya mwanadamu, na kwa kufanya hivyo atasababisha hatima iliyo ya ajabu ambayo itafuata kwa ajili ya mwanadamu. Hatua hiyo ya kazi iliyokamilishwa na Yesu ilikuwa tu kuwa Kwake mfano wa mwili wenye dhambi na kusulubiwa, kuhudumu Kwake kama sadaka ya dhambi na kuwakomboa wanadamu wote, na hii iliweka msingi wa kuingia kwa baadaye kwa mwanadamu katika hatima iliyo ya ajabu.

Jumamosi, 27 Januari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 17. Matunda Machungu ya Kiburi

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa, Wakristo,

Kanisa la Mwenyezi Mungu |17. Matunda Machungu ya Kiburi

Hu Qing Jijini Suzhou, Mkoani Anhui
Nilipoona maneno ya Mungu yakisema: “Wale miongoni mwenu ambao huhudumu kama viongozi daima hutaka kuwa na ubunifu mkubwa, kuwa wazuri kuliko wengine, kupata hila mpya ili Mungu aweze kuona jinsi kweli mlivyo viongozi wakuu. … Nyinyi daima hutaka kuringa; si huu ni ufunuo kwa usahihi wa asili ya kiburi?” (“Bila Ukweli Ni Rahisi Kumkosea Mungu” katika Kumbukumbu za Maongezi ya Kristo), Nilifikiri mwenyewe: Nani ana ujasiri kama huo kujaribu kupata ujanja mpya ya ubunifu?

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno

Katika Enzi ya Ufalme, Mungu anatumia neno ili kukaribisha enzi mpya, ili kubadilisha mbinu za kazi Yake, na kuweza kufanya kazi katika enzi nzima. Hii ndiyo kanuni ambayo Mungu hufanyia kazi katika Enzi ya Neno. Alikuwa mwili ili kuweza kuzungumza kutoka mitazamo tofauti, kumwezesha binadamu kumwona Mungu kwa kweli, ambaye ni Neno linaloonekana katika mwili, na hekima Yake na maajabu.

Ijumaa, 26 Januari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani-Kanisa la Ukiwa Linatiwa Nguvu


Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani-Kanisa la Ukiwa Linatiwa Nguvu


Baada ya ndugu katika pahali pa mkutano pa kanisa la Mzee wa Kanisa Liu Zhizhong kutupilia mbali pingu za Biblia, walisoma mtandaoni kuhusu kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho. Kwa kusoma maneno ya Mwenyezi Mungu, walistawishwa kwa maji hai ya maisha, na waliweza kurudisha imani na upendo wao wa asili na kuthibitisha ndani ya mioyo yao kwamba Mwenyezi Mungu ndiye kuja kwa mara ya pili kwa Bwana Yesu. Wakati Mzee wa kanisa Liu Zhizhong aliona hili likifanyika, je, aliweza kuweka chini Biblia na kutafuta kuchunguza kazi ya Mungu katika siku za mwisho? Tafadhali tazama video hii fupi!

11. Kiini cha Ulipizaji Kisasi wa Mtu Binafsi

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa,

Kanisa la Mwenyezi Mungu |11. Kiini cha Ulipizaji Kisasi wa Mtu Binafsi

Zhou Li Mji wa Xintai, Mkoa wa Shandong
Wakati fulani kitambo, tulihitaji kuzichora wilaya katika eneo letu, na kwa msingi wa kanuni zetu kwa ajili ya uteuzi wa viongozi, kulikuwa na ndugu mmoja wa kiume aliyekuwa mtaradhia mzuri kiasi. Nilitayarisha kumpandisha cheo hadi kuwa kiongozi wa wilaya. Siku moja nilipokuwa nikizungumza na ndugu huyu, alitaja kwamba alihisi kuwa nilikuwa mwenye nguvu sana katika kazi yangu, mkali sana, na kwamba katika mkusanyiko pamoja nami hapakuwa na furaha nyingi .... Niliposikia jambo hili, nilihisi kuwa nilikuwa nimedunishwa.

Alhamisi, 25 Januari 2018

Wale Wanaomtii Mungu kwa Moyo wa Kweli Hakika Watakubaliwa na Mungu

Mwenyezi Mungu alisema,  Kazi ya Roho Mtakatifu inabadilika kutoka siku hadi siku, ikipanda juu kwa kila hatua; ufunuo wa kesho unakuwa hata juu kuliko wa leo, hatua kwa hatua ukikwea hata juu zaidi. Hii ndiyo kazi anayotumia Mungu kumkamilisha mwanadamu. Iwapo mwanadamu hawezi kwenda sambamba, basi anaweza kuachwa wakati wowote. Kama mwanadamu hana moyo wa kutii, basi hawezi kufuata hadi mwisho. Enzi ya kale imepita; sasa ni enzi mpya. Na katika enzi mpya, kazi mpya lazima ifanywe.

Ni Wale Tu Wanaoijua Kazi ya Mungu Leo Wanaoweza Kumhudumia Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Ni Wale tu Wanaoijua Kazi ya Mungu Leo Wanaoweza Kumhudumia Mungu

Mwenyezi Mungu alisema, Ili uwe na ushuhuda kwa Mungu na kuliaibisha joka jekundu ni sharti uwe na kanuni, na sharti: Katika moyo wako ni lazima umpende Mungu na uingie katika maneno ya Mungu. Kama huingii katika maneno ya Mungu, basi hutakuwa na njia ya kumuaibisha Shetani. Katika ukuaji wa maisha yako, unalikataa joka kuu jekundu na kuliletea aibu kamili, na ni hapo tu ndipo hili joka jekundu kweli linaaibika.

Jumatano, 24 Januari 2018

Sura ya 17. Ufahamu wa Kupata Mwili

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Yesu,

Sura ya 17. Ufahamu wa Kupata Mwili

Mwenyezi Mungu alisema, Kumjua Mungu kunapaswa kufanywa kupitia kwa kusoma neno la Mungu na kulielewa neno la Mungu. Watu wengine husema: "Sijamwona Mungu mwenye mwili, hivyo nitawezaje kumjua Mungu?" Neno la Mungu kwa kweli ni maonyesho ya tabia ya Mungu. Kutoka kwa neno la Mungu unaweza kuuona upendo wa Mungu kwa wanadamu, wokovu Wake wa wanadamu, na jinsi Anavyowaokoa ... kwa sababu neno la Mungu linaonyeshwa na Mungu ikilinganishwa na Mungu kumtumia mwanadamu kuliandika.

Sura ya 16. Imani Tatu katika Mungu wa Vitendo

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Imani Tatu katika Mungu wa Vitendo

Ndani ya familia ya Mungu, kuna imani kadhaa tofauti katika Mungu; imani hizi tofauti lazima zitambulishwe ili kuona wewe ni wa gani.
Na imani ya aina ya kwanza, ambayo pia ni aina bora zaidi, mtu huyo ana uwezo wa kuyaamini maneno ya Mungu katika vitu vyote; ana uwezo wa kukubali ufichuzi wote wa Mungu, ushugulikiaji, na upogoaji; yeye ni mwagalifu kwa mapenzi ya Mungu, hupenda, ni mwaminifu kwa, na humwabudu Mungu, na ako tayari kutenda ukweli. Imani kama hiyo huzaa maisha, na inawezesha mtu kupata mabadiliko katika tabia na kupatwa na Mungu.

Jumanne, 23 Januari 2018

Kumwamini Mungu Lazima Kulenge Uhalisi, Si Tamaduni za Kidini

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Kumwamini Mungu Lazima Kulenge Uhalisi, Si Tamaduni za Kidini

Mwenyezi Mungu alisema, Je, ni desturi ngapi za kidini unazozizingatia? Ni mara ngapi wewe umeasi dhidi ya neno la Mungu na kwenda kwa njia yako mwenyewe? Ni mara ngapi wewe umetia katika vitendo neno la Mungu kwa sababu wewe kwa kweli unajali mizigo Aliyobeba na unatafuta kutimiza mapenzi Yake? Lielewe neno la Mungu na uliweke katika vitendo. Kuwa mwenye maadili katika vitendo na matendo yako; huku si kutii sheria au kufanya hivyo shingo upande kwa ajili ya kujionyesha. Badala yake, haya ni kutenda ukweli na kuishi kulingana na neno la Mungu. Kutenda kama huku pekee ndiko hutosheleza Mungu. Desturi yoyote inayompendeza Mungu si kanuni bali ni kutenda ukweli.

Jumatatu, 22 Januari 2018

Tofauti Muhimu Kati ya Mungu Aliyepata Mwili na Wanadamu Wanaotumiwa na Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Tofauti Muhimu Kati ya Mungu Aliyepata Mwili na Wanadamu Wanaotumiwa na Mungu

Kwa miaka mingi Roho wa Mungu Amekuwa Akifanya kazi kwa kutafuta duniani. Kwa enzi nyingi Mungu Ametumia wanadamu wengi kufanya kazi Yake. Hata hivyo Roho wa Mungu bado hana mahali pazuri pa kupumzika. Kwa hivyo Mungu hupitia wanadamu mbalimbali kufanya kazi Yake na kwa kiasi kikubwa hutumia wanadamu kufanya hivyo. Yaani, katika miaka hii yote mingi, kazi ya Mungu haijawahi kusimama. Inaendelezwa mbele kupitia mwanadamu, bila kikomo mpaka siku ya leo.

Jumapili, 21 Januari 2018

Nitampenda Mungu Maisha Yangu Yote | "Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri" (Video Rasmi ya Muziki)



Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri (video za nyimbo za injili)
Juu ya miti, nikiukwea mwezi wa amani. Kama mpendwa wangu, wa haki na mzuri.
Ee mpendwa wangu, Uko wapi? Sasa mimi nina machozi. Je, Wanisikia nikilia?
Wewe Ndiwe hunipa upendo. Wewe Ndiwe Unayenitunza.
Wewe Ndiwe unayeniwaza daima, Wewe Ndiwe unayeyatunza maisha yangu.
Mwezi, nyuma ya upande wa pili wa anga. Usimfanye mpendwa wangu asubiri muda mrefu sana.
Tafadhali mwambie Yeye ninamkosa sana.
Usisahau kuubeba pamoja nawe upendo wangu, pamoja nawe upendo wangu.

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I (Sehemu ya Sita)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Biblia,
Maneno yaliyo hapa chini ni lazima katika kujua mamlaka ya Mungu, na maana yake yametolewa kwenye ushirika ulio hapa chini. Hebu tuendelee kuyasoma Maandiko.
4. Amri ya Mungu kwa Shetani
Ayubu 2:6 Naye Yehova akasema kwa Shetani, Tazama, yeye yuko katika mkono wako; lakini uuhifadhi uhai wake.

Shetani Hajawahi Kuthubutu Kukiuka Mamlaka ya Muumba, na Kwa Sababu Hiyo, Vitu Vyote Vinaishi kwa Mpangilio

Hili ni dondoo kutoka katika Kitabu cha Ayubu, na “yeye” katika maneno haya inaashiria Ayubu. Ingawaje imeandikwa kwa muhtasari, sentensi hii inaelezea masuala mengi.

Jumamosi, 20 Januari 2018

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I (Sehemu ya Tano)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, baraka,

Mamlaka ya Muumba Hayawekewi Mipaka ya Muda, Nafasi, au Jiografia, na Mamlaka ya Muumba Hayakadiriki


Hebu tutazame Mwanzo 22:17-18. Hili ni fungu jingine lililozungumziwa na Yehova Mungu, Alisema kwa Ibrahimu, “Kuwa katika kubariki nitakupa baraka, na katika kuzidisha uzao wako nitazidisha mithili ya nyota za mbinguni, na mithili ya mchanga uliopo kwenye ukanda wa pwani; na uzao wako utamiliki mlango wa maadui zao; Na kupitia uzao wako kila taifa la dunia litabarikiwa; kwa kuwa umeitumikia sauti yangu.” Yehova Mungu alimbariki Ibrahimu mara nyingi ili uzao wake uweze kuzidishwa—na kuzidishwa hadi kiwango gani? Hadi kiwango kilichozungumziwa katika Maandiko: “kama nyota za mbinguni na mchanga ulio pwani.” Hii ni kusema kwamba Mungu alipenda kumpa Ibrahimu uzao uliokuwa mwingi kama nyota za mbinguni, na tele kama mchanga wa pwani.

Ijumaa, 19 Januari 2018

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I (Sehemu ya Nne)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, baraka,
3. Baraka za Mungu
Mwa 17:4-6 Na kuhusu mimi, tazama, agano langu liko na wewe, na wewe utakuwa baba yao mataifa mengi. Nalo jina lako halitakuwa Abramu tena, ila jina lako litaitwa Ibrahimu; kwa kuwa nimekufanya uwe baba yao mataifa mengi.

Alhamisi, 18 Januari 2018

Mungu Amekuja Mungu Ametawala | " Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 18"

Mungu Amekuja Mungu Ametawala | " Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 18"

Kwaya za Injili :
1. Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho
2. Mwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi
1. Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho
Mungu ndiye Mwanzo, Mungu ndiye Mwanzo, Mungu ndiye Mwanzo, na tena Mwisho, na tena Mwisho, na tena Mwisho. Mungu ndiye Mpanzi, Mungu ndiye Mpanzi, Mungu ndiye Mpanzi, na Mvunaji (Mvunaji). Mungu ndiye Mwanzo na Mwisho; Mungu ndiye Mpanzi na Mvunaji. Mungu ndiye Mwanzo na Mwisho; Mungu ndiye Mpanzi na Mvunaji. Mungu ndiye Mwanzo na Mwisho; Mungu ndiye Mpanzi na Mvunaji. Mungu Anakuwa mwili hasa kwa ajili ya kuikaribisha enzi mpya, na, kwa hakika, Anapoikaribisha enzi mpya, Atakuwa Ameikamilisha enzi ya kale wakati uo huo.

Jumanne, 16 Januari 2018

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I (Sehemu ya Tatu)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Muumba,

Kwenye Siku ya Sita, Muumba Aongea, na Kila Aina ya Kiumbe Hai Akilini Mwake Chajitokeza, Kimoja Baada ya Kingine


Mwenyezi Mungu alisema, Bila kuchoka, kazi ya Muumba ya kuumba viumbe vyote ilikuwa imeendelea kwa siku tano, na punde tu baada ya hapo ndipo Muumba alipokaribisha siku ya sita ya uumbaji Wake wa viumbe vyote. Siku hii ilikuwa mwanzo mwingine mpya, na siku nyingine isiyo ya kawaida.

Jumatatu, 15 Januari 2018

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I (Sehemu ya Pili)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu, Muumba,
Kwenye Siku ya Tatu

Kwenye Siku ya Tatu, Matamshi ya Mungu Yazaa Ardhi na Bahari, na Mamlaka ya Mungu Yasababisha Ulimwengu Kujaa Maisha


Sasa, hebu na tusome sentensi ya kwanza ya Mwanzo 1:9-11: 
“Naye Mungu akasema, Nayo maji yaliyo chini ya mbingu yakonge pahali pamoja, na ardhi kavu ionekane.” Ni mabadiliko gani yaliyotokea baada ya Mungu kusema tu, “Nayo maji yaliyo chini ya mbingu yakonge pahali pamoja, na ardhi kavu ionekane”? Na hii nafasi iliyokuwa katikati ya nuru na anga ilikuwa nini? Katika Maandiko, imeandikwa: “Naye Mungu akaiita nchi kavu Dunia: na kukonga kwa maji akakuita Bahari: naye Mungu akaona kwamba ni vyema.”

Jumapili, 14 Januari 2018

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I (Sehemu ya Kwanza)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I

Mamlaka ya Mungu (I)
Vikao vyangu mbalimbali vya ushirika vilivyopita vilikuwa vinahusu kazi ya Mungu, tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe. Baada ya kuvisikiliza vikao hivi vya ushirika, je, unahisi kuwa umefaidi na kupata ufahamu na maarifa kuhusu tabia ya Mungu? Ufahamu wako na maarifa ni mkubwa kiwango gani? Je, unaweza kuweka nambari katika kiwango hicho? Je, vikao hivi vya ushirika vilikupa ufahamu wa kina kuhusu Mungu?

Jumamosi, 13 Januari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 8. Kutambua Kuwa Nimekuwa Nikiitembea Njia ya Mafarisayo

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa,

8. Kutambua Kuwa Nimekuwa Nikiitembea Njia ya Mafarisayo

Wuxin Mji wa Taiyuan, Mkoa wa Shanxi
Kitu ambacho tumezungumzia mara kwa mara katika ushirikiano wa awali ni njia ambazo zilitembewa na Petro na Paulo. Inasemekana kwamba Petro alizingatia kujijua mwenyewe na kumjua Mungu, na alikuwa mtu ambaye Mungu alimpenda, ilhali Paulo alizingatia tu kazi yake, sifa na hadhi yake, na alikuwa mtu ambaye Mungu alimdharau. Daima nimekuwa na hofu ya kuitembea njia ya Paulo, ambayo ndiyo sababu mimi kwa kawaida mara nyingi husoma maneno ya Mungu kuhusu uzoefu wa Petro ili kuona jinsi alivyopata kumjua Mungu.

Ijumaa, 12 Januari 2018

Je, Kazi ya Mungu ni Rahisi Jinsi Mwanadamu Anavyodhania?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Je, Kazi ya Mungu ni Rahisi Jinsi Mwanadamu Anavyodhania?

Mwenyezi Mungu alisema, Kama mtu anayemwamini Mungu, inakupasa kuelewa kuwa, leo, katika kupokea kazi ya Mungu nyakati za mwisho na kazi yote ya mpango wa Mungu ndani yako, umepokea utukufu mkuu na wokovu wa Mungu kabisa. Kazi yote ya Mungu ulimwengu mzima imelenga watu wa kikundi hiki. Amejitolea kwa nguvu Zake zote na kutoa vyote kwa ajili yako; Amekurejesha na kukupa kazi yote ya Roho ulimwenguni kote. Ndiyo sababu Nasema kuwa wewe una bahati.

Alhamisi, 11 Januari 2018

Sura ya 15. Kutoka katika Siasa Isiyo na Kadri hadi Kutafuta kuwa Msaliaji

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Wakristo,

Maneno ya  Mwenyezi Mungu

Kutoka katika Siasa Isiyo na Kadri hadi Kutafuta kuwa Msaliaji

1. Uhamaji wa Watu kuelekea kwenye Siasa Isiyo na Kadri
Je, nyote mmekuwa mkitafuta nini hivi karibuni? Je, imekuwa mabadiliko ya tabia na kuwa na ushuhuda wa Mungu? Haijakuwa hiyo! Nawaona watu wengi tena wakitafuta kufa kwa ajili ya Mungu ili kumuaibisha Shetani. Je, mnasubiri tu kuadhibiwa badala ya kupanga kutenda ukweli ama kutafuta kubadilishwa kwa tabia, kulipiza upendo wa Mungu? Baada ya kusoma “Usaliti (1) “na “Usaliti (2), “watu walikuwa na mipango ya kufa. Wote waliamini kuwa lengo la mwisho la kazi ya Mungu lilikuwa watu kufa ili kumuaibisha Shetani. Kwa hivyo watu hawakutarajia kujipatia lolote, na hawakutafuta kwa njia nzuri, wala hawakuwa na hiari kuteseka. Je, ufuatiliaji wa aina hii si wa kuhamia katika siasa isiyo na kadri? Madhumuni ya kazi na maneno ya Mungu ni kwamba watu waweze kuingia ndani zaidi na vyema zaidi katika ukweli, na katika mabadiliko ya tabia. Nia si kuwa watu wafe, na si kuwaadhibu watu baada ya wao kubainisha tabia zao halisi zilivyo.

Jumatano, 10 Januari 2018

Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu | Drama ya Muziki “ Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19” | Haleluya

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Masharik, ufalme, Drama yenye muziki,
Jina:Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo
Jamii:Drama yenye muziki
UTANGULIZI:Chini ya mbingu ya usiku yenye nyota, tulivu na kimya, kundi la Wakristo wanasubiri kwa ari kurudi kwa Mwokozi wakiimba na kucheza kwa muziki mchangamfu.Wanaposikia habari za furaha "Mungu amerejea" na "Mungu ametamka maneno mapya", wanashangaa na kusisimka. Wanafikiri: "Mungu ameonekana? Tayari ametokea?" Kwa udadisi na kutokuwa na uhakika, mmoja baada ya mwingine, wanaingia katika safari ya kuyatafuta maneno mapya ya Mungu. Katika kutafuta kwao kugumu, baadhi ya watu wanauliza maswali hali wengine wanalikubali tu. baadhi ya watu wanaangalia bila kutoa maoni, wakati wengine wanafanya mapendekezo na kutafuta majibu katika Biblia–wanaangalia lakini mwishowe kuangalia huku hakuzai matunda .... Wakati tu wanapokata tamaa, shahidi mmoja anawaletea nakala ya Biblia ya Enzi ya Ufalme, na wanavutiwa kwa kina na maneno yaliyomo katika kitabu. Hiki ni kitabu cha aina gani kweli? Je, kwa kweli wamepata maneno mapya ambayo Mungu ameyanena katika kitabu hiki? Je, wamekaribisha kwa furaha kuonekana kwa Mungu?

Enzi Mpya Yaingia!

"Tazama, maskani ya Mungu yako pamoja na wanadamu, naye atakaa pamoja nao, nao watakuwa watu wake, naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao, na kuwa Mungu wao" (Ufunuo 21:2-4).“Wakati huu, Mungu haji kufanya kazi kwa mwili wa kiroho ila kwa ule wa kawaida sana. Sio tu mwili wa kupata mwili kwa Mungu kwa mara ya pili, lakini pia mwili ambao Mungu anarudia. Yeye ndiye lango la kuingia katika ufalme, na mwongozo wako katika enzi mpya”(Neno Laonekana katika Mwili).Tafadhali endelea kutazama drama yenye muziki ya Kanisa la Mwenyezi Mungu—Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo!

Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo | Msifuni Mwenyezi Mungu  

1 Wakati huu, Mungu haji kufanya kazi kwa mwili wa kiroho ila kwa ule wa kawaida sana. Sio tu mwili wa kupata mwili kwa Mungu kwa mara ya pili, lakini pia mwili ambao Mungu anarudia. Ni mwili wa kawaida sana. Ndani Yake, huwezi kuona chochote kilicho tofauti na cha wengine, lakini unaweza kupokea kutoka Kwake ukweli ambao hujawahi kusikia mbeleni. Mwili huu usio na umuhimu ni mfano halisi wa maneno yote ya kweli kutoka kwa Mungu, ambao hufanya kazi ya Mungu siku za mwisho, na maonyesho ya tabia nzima ya Mungu kwa mwanadamu kuja kujua. Je, hukutamani sana kumwona Mungu aliye mbinguni? Je, hukutamani sana kumwelewa Mungu aliye mbinguni? Je, hukutamani sana kuona hatima ya mwanadamu? Atakueleza hizi siri zote ambazo hakuna mwanadamu ameweza kukuambia, na hata Atakuelezea kuhusu ukweli usioelewa. Yeye ndiye lango la kuingia katika ufalme, na mwongozo wako katika enzi mpya.

Jumanne, 9 Januari 2018

Mungu ni Mungu | "Zingatia Majaliwa ya Binadamu" | Swahili Christian Song

Zingatia Majaliwa ya Binadamu

Mungu awahimiza makabila yote, mataifa na nyanja zote:
Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake;
mzingatie hatima ya wanadamu;
mfanye Mungu Mtakatifu na Mheshimiwa, Mkuu na wa pekee wakuabudiwa,
ulimwengu wote, na wanadamu, waishi chini ya baraka Yake Mungu,
kama vizazi vya Ibrahimu, walivyoishi na ahadi ya Yehova,
kama viumbe vya Mungu, Adamu na Hawa, walivyoishi bustani Edeni.

Jumatatu, 8 Januari 2018

Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada "Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki"

Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada "Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki"

Utambulisho

Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki
Mungu aliipa Israeli utukufu Wake kisha Akauhamisha mbali na pale,
na kuwaleta Waisraeli na kuwaleta watu wote Mashariki.
Mungu amewaelekeza wote kwenye mwanga
ili waweze kuungana tena na kuwa pamoja na mwanga,
wasilazimike kuutafuta tena, kuutafuta mwanga.

Jumapili, 7 Januari 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Kuijua Kazi ya Mungu Leo

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Matamshi ya Mwenyezi Mungu  | Kuijua Kazi ya Mungu Leo

Kuijua kazi ya Mungu katika nyakati hizi, kwa sehemu kubwa, ni kumjua Mungu katika mwili wa siku za mwisho, kile ambacho ni huduma Yake kuu, na kile ambacho Amekuja kufanya duniani. Hapo mwanzoni Nimesema katika maneno Yangu kwamba Mungu Amekuja duniani (katika siku za mwisho) ili kuweka mfano kabla Hajaondoka. Ni kwa jinsi gani Mungu Ameuweka mfano huu? Kwa kuzungumza maneno, kwa kufanya kazi na kuzungumza katika nchi nzima.

Jumamosi, 6 Januari 2018

3. Baada ya Kupoteza Hadhi Yangu …

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa,

3. Baada ya Kupoteza Hadhi Yangu …

Huimin Mji wa Jiaozuo, Mkoa wa Henan
Kila wakati nilipoona au kusikia kuhusu mtu aliyekuwa amebadilishwa naye kujisikia mwenye huzuni, dhaifu au mnunaji, na kutotaka kufuata tena, basi niliwaangalia kwa dharau. Nilidhani haikuwa kitu zaidi ya watu tofauti waliokuwa na majukumu tofauti ndani ya kanisa, kwamba hakukuwa na tofauti kati ya juu au chini, kwamba sote tulikuwa uumbaji wa Mungu na hakukuwa na sababu ya kuhuzunikia. Kwa hiyo kama nilikuwa nikiwatunza waumini wapya au kuongoza wilaya, sikuwahi kufikiri kuwa nilizingatia sana hadhi yangu, kwamba nilikuwa mtu wa aina hiyo. Singeweza kamwe kufikiri hata katika miaka milioni moja kwamba ningeonyesha tabia ya aibu kama hiyo wakati mimi mwenyewe nilipobadilishwa ...

Ijumaa, 5 Januari 2018

Sura ya 13. Maana ya Utendaji wa Watu Kuamua Matokeo Yao

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Matamshi ya Mwenyezi MunguSura ya 13. Maana ya Utendaji wa Watu Kuamua Matokeo Yao

1. Hakuna Ambaye Angeokolewa iwapo Mungu Angeangalia Tu Maonyesho ya Asili ya Watu
Kwa sasa, utendaji wa watu unaamua matokeo yao, lakini huu utendaji ni upi? Je, unaujua? Nyinyi mnaweza kufikiri kwamba hili linarejelea tabia ya watu iliyopotoka ikijionyesha kazini mwao, lakini halimaanishi lile. Utendaji huu unanena kuhusu ikiwa unaweza kuweka ukweli kwenye vitendo au la na ikiwa unaweza kusalia mwaminifu na kujizatiti unapotenda wajibu wako au la, na vilevile mtazamo wako wa kumwamini Mungu, msimamo wako kwa Mungu, uamuzi wako wa kuteseka kwa ajili ya ugumu, mtazamo wako kwa kukubali hukumu na kupogolewa, kiwango chako cha mabadiliko na idadi ya dhambi kubwa. Haya yote yanachangia katika utendaji wako.

Alhamisi, 4 Januari 2018

Unapaswa Kujua kuwa Mungu wa Vitendo ni Mungu Mwenyewe

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Yesu,

Unapaswa Kujua kuwa Mungu wa Vitendo ni Mungu Mwenyewe

Mwenyezi Mungu alisema, Je, unapaswa kujua nini kuhusu Mungu wa vitendo? Mungu wa vitendo Mwenyewe anajumuisha Roho, Nafsi, na Neno, na hii ndiyo maana ya kweli ya Mungu wa utendaji Mwenyewe. Kama unajua Nafsi pekee—kama unajua tabia na utu Wake—lakini hujui kazi ya Roho, au ambacho Roho hufanya katika mwili, na kuangazia Roho tu, na Neno, na kuomba mbele ya Roho, bila kujua kazi ya Roho wa Mungu katika Mungu wa vitendo, basi hii inadhihirisha kuwa humjui Mungu wa vitendo.

Jumatano, 3 Januari 2018

Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada "Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani"


Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada "Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani"

Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani
Nimerudi kwa familia ya Mungu, mchangamfu na mwenye furaha.
Mikono yangu imemshika mpendwa wangu, moyo wangu ni miliki Yake.
Japo nimepitia Bonde la Machozi, nimeyaona mapenzi ya Mungu.
Mapenzi yangu kwa Mungu hukua siku baada ya siku, Mungu ndiye chanzo cha furaha yangu.
Nikiduwazwa na uzuri wa Mungu, moyo wangu umeshikizwa kwa Mungu.
Siwezi kumpenda Mungu vya kutosha, nyimbo za sifa huchemka moyoni mwangu.
Nikiduwazwa na uzuri wa Mungu, nyimbo za sifa huchemka moyoni mwangu.
Siwezi kumpenda Mungu vya kutosha, nyimbo za sifa huchemka moyoni mwangu.
Katika nchi hii iliyobarikiwa ya Kanaani, yote ni mabichi, yote ni mapya,
yakifurika na nafsi ya uhai ya maisha.

Jumanne, 2 Januari 2018

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III (Sehemu ya Nane)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Biblia,
13. Bwana Yesu Ala Mkate na Kuonyesha Maandiko Baada ya Kufufuka Kwake
Luka 24:30-32 Na ikatimia, alipokuwa akikaa na wao ili wale, aliuchukua mkate, na kuubariki, na akaupasua, na kuwapa. Na macho yao yakafunguka, na wakamjua, na akatoweka wasimwone. Na wakaambiana, je, Mioyo yetu haikuwaka ndani yetu sisi, wakati alipokuwa akituzungumzia njiani, na wakati alipotufungulia maandiko?

Jumatatu, 1 Januari 2018

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III (Sehemu ya Saba)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Biblia,
Sasa hebu tusome dondoo za maandiko zilizo hapa chini.
12. Maneno ya Bwana Yesu kwa Wanafunzi Wake Baada ya Kufufuka Kwake
Yohana 20:26-29 Na kufuatia siku nane tena wanafunzi wake walikuwa ndani, naye Tomaso alikuwa nao: kisha Yesu akaja, milango ikiwa imefungwa, na kusimama katikati, na kusema, Amani iwe nanyi. Kisha akasema kwa Tomaso, nyoosha kidole chako hapa, na uitazame mikono yangu, nyoosha mkono wako hapa, na uusongeshe mbavuni mwangu: na usiwe bila imani, ila mwenye imani. Naye Tomaso akajibu na kumwambia, BWANA Wangu na Mungu wangu.