Jumanne, 31 Julai 2018

Mungu Aliilinda Familia Yetu Wakati wa Maafa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, wokovu, maombi,

Mungu Aliilinda Familia Yetu Wakati wa Maafa

Wang Lan, Beijing
Agosti 6, Mwaka wa 2012
Mnamo Julai 21, mwaka wa 2012, mafuriko makubwa zaidi tangu miaka sitini yalipitia kijijini mwetu kwa nguvu mno. Maafa yalianguka kutoka mbinguni, maji ya mafuriko yalichanganya matope na mawe na kuharibu kijiji chote. Nyumba nyingi ziliharibiwa na maji na maporomoko ya matope.

Jumatatu, 30 Julai 2018

Sura ya 48. Ni kwa Kuzielewa Hali Zako tu Ndipo Utakapoweza Kutembea Katika Njia Sawa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ukweli,
Mwenyezi Mungu alisema, Ndani ya mwanadamu mara nyingi zipo baadhi ya hali mbaya. Miongoni mwao ni baadhi ya hali ambazo zinaweza kuwaathiri watu au kuwadhibiti. Kunazo baadhi ya hali ambazo zinaweza hata kumfanya mtu kuiacha njia ya kweli na kuelekea katika njia mbovu. Kile mwanadamu anachokitafuta, kile wanachozingatia na njia wanayochagua kuifuata—haya yote yanahusiana na hali zao za ndani.

Jumapili, 29 Julai 2018

Sura ya 2 Lazima Ujue Ukweli wa Majina ya Mungu

2. Kwa Nini Mungu Anaitwa kwa Majina Tofauti katika Enzi Tofauti?

Maneno Husika ya Mungu:
Katika kila enzi, Mungu Anafanya kazi mpya na huitwa kwa jina jipya; Je, anawezaje kufanya kazi sawa katika enzi tofauti? Itakuwaje Yeye kugandamana na yale ya zamani? Jina la Yesu lilichukuliwa kuwa la kazi ya ukombozi, hivyo bado Yeye Anaweza kuitwa kwa jina moja wakati Atarudi katika siku za mwisho? Je, bado Yeye Atafanya kazi ya ukombozi? Ni kwa nini Yehova na Yesu ni kitu kimoja, ilhali wanaitwa kwa majina tofauti katika enzi hizi tofauti? Je, si kwa sababu enzi za kazi Yao ni tofauti? Jina moja linawezaje kumwakilisha Mungu kwa ukamilifu wake? Kwa njia hii, lazima Mungu aitwe kwa jina tofauti katika enzi tofauti, lazima atumie jina kubadilisha enzi na kuwakilisha hiyo enzi, kwa kuwa hakuna jina moja linaweza kumwakilisha Mungu mwenyewe kikamilifu.

Jumamosi, 28 Julai 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 2 Lazima Ujue Ukweli wa Majina ya Mungu

Mwenyezi Mungu, Yesu, Yehova,

1. Kwa Nini Mungu Hutajwa Majina, na Jina Moja Linaweza Kuwakilisha Uzima wa Mungu?

Maneno Husika ya Mungu:
Je, Jina la Yesu "Mungu pamoja nasi," linaweza kuwakilisha tabia ya Mungu kwa ukamilifu wake? Je, linaweza kueleza Mungu kwa ukamilifu? Kama mwanadamu atasema ya kwamba Mungu Ataitwa tu Yesu, na hawezi kuwa na jina lingine kwa sababu Mungu hawezi kubadilisha tabia yake, basi maneno hayo ni kufuru! Je, unaamini kwamba jina la Yesu, Mungu pamoja nasi, linaweza kumwakilisha Mungu kikamilifu? Mungu Anaweza kuitwa majina mengi, lakini baina ya majina haya mengi, hamna moja ambalo linaweza kujumlisha yote ambayo Mungu Anamiliki, na hamna jina moja ambalo linaweza kumwakilisha Mungu kikamilifu.

Ijumaa, 27 Julai 2018

New Swahili Gospel Worship Song "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa Bwana

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, video za nyimbo za injili,
Ee Bwana, kanisa limekuwa la ukiwa.
Siwezi kuhisi kuwepo Kwako. Uko Wapi?

New Swahili Worship Gospel Songs "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa Bwana

I
Juu ya miti, ukipanda mwezi mtulivu.
Kama mpenzi wangu, mwenye haki na mzuri.
Ee mpenzi wangu, uko wapi Wewe?
Sasa ninalia. Je unanisikia nikilia?
Wewe ndiye Unayenipa upendo.
Wewe ndiye Unayenijali.
Wewe ndiye Unayefikiri kunihusu kila wakati.
Wewe ndiye Unayehifadhi maisha yangu.
Mwezi, rudi upande ule mwingine wa anga.
"Usimfanye mpenzi wangu angoje sana.
Tafadhali mwambie nimemkosa Yeye sana."
Usisahau kwenda na upendo wangu.

Alhamisi, 26 Julai 2018

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | Ni Muhimu Sana Kutii Kazi ya Roho Mtakatifu!

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kazi ya Roho Mtakatifu,
Ni Muhimu Sana Kutii Kazi ya Roho Mtakatifu!

Xiaowei    Mji wa Shanghai
Wakati fulani kitambo, hata kama daima nilipata msukumo kiasi na fadhila wakati dada mmoja aliyeshiriki nami alishiriki nuru aliyokuwa amepata wakati alipokula na kunywa neno la Mungu, pia kila wakati nilikuwa na hisia ya muda mrefu kuwa alikuwa anajionyesha. Ningejiuliza, “Nikimjibu sasa hivi, sitakuwa nikimtia moyo? Kwa namna hiyo, sitaonekana basi kuwa duni kumliko yeye?” Matokeo yake yakawa, nilikataa kutaja maoni yangu mwenyewe katika ushirika au kutoa maoni kuhusu mawazo yoyote aliyoshirikisha.

Jumatano, 25 Julai 2018

Vita Baina ya Haki na Uovu | Katikati ya Maafa Niliiona Tabia ya Haki ya Mungu

Katikati ya Maafa Niliiona Tabia ya Haki ya Mungu

Li Jing, Beijing
7 Agosti, mwaka wa 2012
Siku hiyo, ilianza kunyesha asubuhi. Nilikwenda kwa mkutano nyumbani mwa ndugu mmoja, wakati mvua ilipoendelea kuongezeka zaidi na zaidi kwa uzito. Kufikia alasiri ilikuwa ikinyesha kana kwamba ilitoka mbinguni moja kwa moja. Wakati tulipomaliza mkutano wetu, mvua ilikuwa imeingia katika ua wa ndugu yangu, lakini kwa sababu nilikuwa na wasiwasi juu ya familia yangu, nilijitahidi kwenda nyumbani.

Jumanne, 24 Julai 2018

Sura ya 46. Ni Kwa Kuujua Uweza wa Mungu Pekee Ndipo Unaweza Kuwa na Imani ya Kweli

Sura ya 46. Ni Kwa Kuujua Uweza wa Mungu Pekee Ndipo Unaweza Kuwa na Imani ya Kweli

Wengi wa watu hawaelewi kazi ya Mungu na si rahisi kuelewa kipengele hiki. Kitu cha kwanza ambacho lazima ujue ni kwamba kunawakati ulioteuliwa wa kazi yote ya Mungu na bila shaka si kama ilivyodhaniwa na watu. Mwanadamu hawezi kamwe kuelewa kazi ambayo Mungu ataifanya ama wakati Ataifanya.

Jumatatu, 23 Julai 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Thelathini na Nne

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, siku za mwisho,

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Thelathini na Nne

Wakati mmoja Nilimwalika mwanadamu kama mgeni nyumbani Kwangu, lakini alikimbia huku na huko kwa sababu ya miito Yangu–kama kwamba, badala ya kumwalika kama mgeni, Nilikuwa nimemleta kwenye eneo la kuuawa. Kwa hiyo, nyumba yangu inaachwa tupu, kwa maana mwanadamu ameepukana Nami daima, na daima amejilinda dhidi Yangu. Hili limeniacha bila njia yoyote ya kutekeleza sehemu ya kazi Yangu, ambalo ni kusema, ni kama kwamba Nimeirudisha karamu Niliyomtayarishia, kwa maana mwanadamu hayuko radhi kuifurahia karamu hii, na kwa hiyo Sitamlazimisha kufanya hivyo.

Jumapili, 22 Julai 2018

Moto Ulioshtua Taifa katika Wilaya ya Ji, Mji wa Tianjin

wokovu,  maafa,
Moto Ulioshtua Taifa katika Wilaya ya Ji, Mji wa Tianjin

Chen Yao, Tianjin
Jengo la Laide lilikuwa mojawapo ya vituo vikubwa zaidi vya ununuzi katika wilaya ya Ji. Juni 30, mwaka wa 2012 ilikuwa ni Jumamosi, na Laide lilikuwa na ukuzaji wa bidhaa, hivyo kulikuwa na idadi kubwa ya wateja. Wakati fulani baada ya saa tisa alasiri hiyo, jengo likashika moto ghafla. Mkuu wa jengo, akiogopa kuwa wateja katika machafuko haya wangechukua vitu au kutolipa, alifunga na kuweka vizuizi kwa lango kuu kwenye ghorofa ya kwanza, na kuwafukuza wateja hadi ghorofa ya pili na ya tatu.

Jumamosi, 21 Julai 2018

Maigizo Yaliyosimuliwa ya Hadithi za Kweli "Upendo wa Kweli wa Mungu" (Swahili Subtitles)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, upendo wa Mungu, hukumu,

Maigizo Yaliyosimuliwa ya Hadithi za Kweli "Upendo wa Kweli wa Mungu" (Swahili Subtitle)

Ili kujitengenezea nafasi yake mwenyewe duniani, mhusika mkuu alilazimika kufuata mwenendo wa duniani humu, akihangaika na kufanya kazi kwa bidii kwa ajili ya umaarufu na hadhi. Maisha yake yalilikuwa hasa matupu na yenye maumivu. Baada ya kumwamini Mwenyezi Mungu, alipata maana ya maisha ya binadamu ndani ya maneno ya Mwenyezi Mungu, na akiwa amejawa na furaha, akamfuata Mungu na kutimiza majukumu yake.

Ijumaa, 20 Julai 2018

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | Zawadi ya Kupendeza Zaidi Ambayo Mungu Amenipa

Zawadi ya Kupendeza Zaidi Ambayo Mungu Amenipa

Yixin    Jiji la Shijiazhuang, Mkoa wa Hebei
Kabla, ningewasikia mara kwa mara ndugu zangu wa kiume na wa kike wakisema, "Kila kitu ambacho Mungu hufanya ni kwa ajili ya matokeo mazuri; ndiyo yote wanayohitaji watu." Nilikubali hili na kukubaliana nalo, lakini sikuwa na ufahamu wowote kupitia uzoefu wangu mwenyewe. Baadaye nilipata ufahamu kiasi kwa njia ya mazingira ambayo Mungu aliniumbia.

Alhamisi, 19 Julai 2018

Lazima Ujue Kwamba Mwenyezi Mungu Ndiye Mungu Mmoja wa Kweli Ambaye Aliumba Mbingu na Dunia na Kila kitu Ndani Yao

3. Wokovu Unawezekana Tu Kupitia Imani kwa Mwenyezi Mungu.

Maneno Husika ya Mungu:
Yesu Alipokuja katika ulimwengu wa mwanadamu, Alileta Enzi ya Neema na Akatamatisha Enzi ya Sheria. Wakati wa siku za mwisho, Mungu kwa mara nyingine Alipata mwili, na Alipopata mwili mara hii, Alikamilisha Enzi ya Neema na Akaleta Enzi ya Ufalme. Wale wote wanaokubali kupata mwili kwa Mungu kwa mara ya pili wataongozwa mpaka Enzi ya Ufalme, na wataweza kukubali kibinafsi uongozi wa Mungu.

Jumatano, 18 Julai 2018

Ufafanuzi wa Mafumbo ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima | Sura ya 1

Sura ya 1

Kama tu Mungu alivyosema, “Hakuna anayeweza kuelewa mzizi wa maneno Yangu, wala kusudi la maneno haya.” Kama Isingekuwa uongozi wa Roho wa Mungu, kama isingekuwa kwa majilio ya maneno Yake, wote wangeangamia chini ya kuadibu Kwake. Ni kwa nini Mungu humjaribu mwanadamu kwa muda mrefu hivyo? Na kwa muda mrefu kama miezi mitano? Hili ndilo wazo la kulenga la ushirika wetu na vilevile wazo kuu katika hekima ya Mungu.

Jumanne, 17 Julai 2018

Latest Swahili Christian Movie "Imani katika Mungu" | Hufunua Fumbo la Imani Katika Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, kanisa, injili,
Imani katika Mungu
Utambulisho 
Yu Congguang huhubiri injili kwa niaba ya Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wakati wa kuhubiri injili, aliandamwa na serikali ya Kikomunisti ya China. Alikimbia milimani, ambapo alipokea msaada kutoka kwa Zheng Xun, mfanyakazi mwenza wa kanisa la nyumba la mahali pale. Walipokutana mara ya kwanza, walihisi kama tayari walikuwa wamejuana kwa muda mrefu. Zheng Xun alimpeleka Yu Congguang kwenye kibanda cha makuti ambapo yeye na wafanyakazi wenzake walikusanyika. Huko, mjadala ulijitokeza miongoni mwa Zheng Xun na wafanyakazi wenzake kuhusu kama muumini katika Mungu anapaswa kutii wale walio madarakani au la. Yu Congguang alitoa ushirika kwa kuzingatia suala hili na kuondoa kuchanganyikiwa kwao. Ushirika wa Yu Congguang ulikuwa wa manufaa sana kwao, na wote wakaanza kutafuta na kujifunza kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho.

Jumatatu, 16 Julai 2018

Vita Baina ya Haki na Uovu | Tabia ya Mungu ni Haki na, Hata Zaidi, Upendo

Kanisa la Mwenyezi Mungu, maafa, wokovu,

Tabia ya Mungu ni Haki na, Hata Zaidi, Upendo

Fang Xin, Beijing
Agosti 15, mwaka wa 2012
Tangu mwaka wa 2007, nilipoikubali kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho, ingawa nimeonekana juu juu kuwa na kazi nyingi sana kutekeleza majukumu yangu, sijaupa moyo wangu kwa Mungu, na mara nyingi nimehisi kufungwa kiasi cha msongo wa pumzi na masuala madogo ya familia. Kila wakati ninapowaza kuhusu ukweli kwamba binti yangu tayari ana umri wa miaka thelathini, na angali bado hajapata mwenzi wa kufaa, mimi hulalamika kwa Mungu; mwanangu wa kiume hujali tu kuhusu kujifurahisha, na licha ya kutokuwa na mapato yoyote, yeye hutumia pesa kwa ubadhirifu, kwa hiyo mimi hulalamika; na mme wangu mzee huenda kazini, lakini msimamizi wake huwa hamlipi–na mimi hulalamika kuhusu hili pia .... Mimi hulalamika kwa pande zote, na mara nyingi humwelewa Mungu visivyo.

Jumapili, 15 Julai 2018

Kumbukumbu za Maongezi ya Kristo - Sura ya 45. Watu Waliochanganyikiwa Hawawezi Kuokolewa

Imesemwa “Yeye afuataye hadi mwisho ataokolewa,” lakini hili ni rahisi kuweka katika vitendo? Sio, na watu wengine hawawezi kufuata hadi mwisho. Pengine watakapokabiliwa na wakati wa majaribu, ama uchungu, ama jaribio, basi wanaweza kuanguka, na kutoweza kusonga mbele tena. Mambo ambayo hufanyika kila siku, yawe ni makubwa ama madogo, yanaweza kutikisa uthabiti wako, kuumiliki moyo wako, kuzuilia uwezo wako wa kufanya jukumu lako, ama kudhibiti kuendelea kwako mbele—vitu hivi vyote vinahitaji kuchukuliwa kwa uzito, lazima vichunguzwe kwa makini ili kuutafuta ukweli, na ni vitu vyote ambavyo vinafanyika katika ulimwengu wa uzoefu.

Jumamosi, 14 Julai 2018

Vita Baina ya Haki na Uovu | Bila Ya Wokovu wa Mungu, Singeweza Kuwa Hapa Leo

maafa, Mafuriko,
Bila Ya Wokovu wa Mungu, Singeweza Kuwa Hapa Leo

Zhang Jin, Beijing
Agosti 16, 2012
Mimi ni dada mzee mwenye miguu miwili yenye kasoro. Hata wakati hali ya hewa ni nzuri nje, nina shida kutembea, lakini wakati maji ya mafuriko yalipokuwa karibu kunimeza, Mungu aliniruhusu kutoroka hatari kimiujiza.
Ilikuwa Julai 21, mwaka wa 2012. Siku hiyo mvua ya mfoko ilinyesha, na nilikuwa tu nje nikitimiza wajibu wangu. Baada ya saa 10:00 mchana, mvua ilikuwa bado haijaisha.

Ijumaa, 13 Julai 2018

Ni tofauti gani halisi zilizopo kati ya Mungu mwenye mwili na watu wanaotumiwa na Mungu❓

📜"Mimi nawabatiza na maji ili mtubu. Lakini yule ajaye baada ya mimi ni mwenye nguvu zaidi kuliko mimi, ambaye sistahili kuvichukua viatu vyake. Atawabatiza na Roho Mtakatifu, na moto" (Mathayo 3:11).
📚"Na Kristo ni mwili uliovishwa na Roho wa Mungu. Mwili huu ni tofauti na wa mwanadamu yeyote aliye wa nyama. Tofauti hii ni kwa sababu Kristo sio wa mwili na damu bali ni mwili wa Roho. Anao ubinadamu wa kawaida na uungu kamili. Uungu Wake haujamilikiwa na mwanadamu yeyote. Ubinadamu Wake wa kawaida unaendeleza shughuli Zake zote za kawaida katika mwili, wakati uungu Wake unafanya kazi ya Mungu Mwenyewe.

Alhamisi, 12 Julai 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ubia wa Kweli

Fang Li    Jiji la Anyang, Mkoa wa Henan
Hivi karibuni nilidhani nilikuwa nimeingia katika ubia wenye kuridhisha. Mshirika wangu na mimi tuliweza kujadili kitu chochote, wakati mwingine hata nikamwomba aonyeshe dosari zangu, na hatukupigana kamwe, hivyo nilidhani tulikuwa tumefanikisha ubia wenye kuridhisha. Lakini kama ukweli ulivyofichua, ubia wenye kuridhisha kwa kweli haukuwa kama kitu chochote nilichosadiki.
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa,

Jumatano, 11 Julai 2018

Mwenyezi Mungu Amenipa Fursa ya Pili Katika Maisha

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Injili,

Mwenyezi Mungu Amenipa Fursa ya Pili Katika Maisha

Ndugu wawili wa kawaida, Beijing
Agosti 15, 2012
Julai 21, mwaka wa 2012 ilikuwa siku isiyosahaulika sana kwangu, pamoja na kuwa siku muhimu zaidi ya maisha yangu.
Siku hiyo, mvua kubwa ilikuwa ikinyesha katika Wilaya ya Fangshan jijini Beijing—ilikuwa kubwa kuliko yoyote iliyowahi kuonekana pale katika miaka sitini na mmoja. Muda mfupi baada ya saa 4 jioni, nilitoka nje mtaani ili kuangalia na nikaona kuwa maji yalikuwa kila mahali.

Jumanne, 10 Julai 2018

Sura ya 1 Lazima Ujue Kwamba Mwenyezi Mungu Ndiye Mungu Mmoja wa Kweli Ambaye Aliumba Mbingu na Dunia na Kila kitu Ndani Yao

2. Mwenyezi Mungu Ndiye Yesu Aliyerudi.

Maneno Husika ya Mungu:
Mungu Amekuwa mwili katika nchi ya China, ambayo wenyeji wa Hong Kong na Taiwan wanaiita bara. Mungu Alipokuja kutoka juu na kuja duniani, hakuna mtu mbinguni wala duniani aliyejua, maana hii ndiyo maana ya kweli ya Mungu kurudi kwa namna ya siri. Amekuwa katika mwili Akifanya kazi na kuishi kwa muda mrefu, bado hakuna mtu yeyote aliyejua. Hata leo hii, hakuna mtu anayetambua. Pengine hiki kitabakia kuwa kitendawili cha milele. Mungu kuja katika mwili wakati huu sio kitu ambacho mtu yeyote anaweza kujua.

Jumatatu, 9 Julai 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu | Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu

Wimbo wa Maneno ya Mungu
Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu
ni Kumwokoa Binadamu

Upendo na huruma za Mungu
hupenyeza kazi Yake
ya usimamizi kwa utondoti.
I
Ikiwa mwanadamu ahisi mapenzi Yake ya huruma au la,
Yeye hachoki kufuatilia kazi Anayohitaji kufanya.
Ikiwa mwanadamu aelewa usimamizi Wake au la,
kazi Yake huleta usaidizi na utoaji unaoweza kuhisiwa na wote.
Upendo na huruma za Mungu
hupenyeza kazi Yake
ya usimamizi kwa utondoti.

Jumapili, 8 Julai 2018

Kuutoa Ukweli Ndiyo Njia ya Kweli ya Kuwaongoza Wengine

Sura ya 44. Kuutoa Ukweli Ndiyo Njia ya Kweli ya Kuwaongoza Wengine

Ikiwa mnataka kufanya kazi nzuri katika kuwaongoza wengine na kuhudumu kama mashahidi wa Mungu, la muhimu zaidi, lazima uwe na ufahamu wa kina wa kusudi la Mungu katika kuwaokoa watu na kusudi la kazi Yake. Lazima uyaelewe mapenzi ya Mungu na mahitaji Yake mbalimbali ya watu. Unapaswa kuwa mwenye utendaji katika juhudi zenu; upitie tu kiasi unachoelewa na kuwasiliana tu kile unachokijua. Usijisifu, usitie chumvi, na usiseme maneno yasiyopaswa.

Jumamosi, 7 Julai 2018

Matamshi ya Mungu Mwenye Mwili Wakati wa Kutimizwa kwa Huduma Yake | Tamko la Thelathini na Mbili

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, ukweli,

Matamshi ya Mungu Mwenye Mwili Wakati wa Kutimizwa kwa Huduma Yake | Tamko la Thelathini na Mbili

Mwenyezi Mungu alisema, Watu wanapokusanyika pamoja na Mimi, moyo Wangu unajawa na furaha. Mara moja, Ninatoa baraka zilizo mkononi Mwangu miongoni mwa binadamu, ili watu waweze kukusanyika kwa mkutano na Mimi, na kutokuwa maadui wanaoniasi lakini marafiki wanaotangamana na Mimi. Hivyo, Mimi pia ni wa dhati kwa mwanadamu. Katika kazi Yangu, mwanadamu anaonekana kama mwanachama wa shirika la ngazi ya juu, hivyo Ninamzingatia zaidi, kwa maana daima amekuwa kusudi la kazi Yangu.

Alhamisi, 5 Julai 2018

Yule Anayeshikilia Ukuu // Juu ya Kila Kitu | Maangamizo ya Mungu ya Dunia kwa Mafuriko

Maangamizo ya Mungu ya Dunia kwa Mafuriko



“Mwisho wa kila mwenye mwili umekuja mbele zangu; kwa sababu dunia imejawa na dhuluma kupitia kwao; na, tazama, nitawaharibu pamoja na dunia” (Mwanzo 6:13).


📚Mwenyezi Mungu alisema, "Angalia nyuma wakati wa safina ya Nuhu: Wanadamu walikuwa wapotovu sana, walikuwa wamepotea kutoka katika baraka za Mungu, hawakuwa wanatunzwa na Mungu tena, na walikuwa wamepoteza ahadi za Mungu. Waliishi gizani, bila mwangaza wa Mungu. Hivyo wakawa waasherati kwa asili, wakajiachilia katika mkengeuko wa kutisha. Watu kama hao hawangeweza tena kupokea ahadi za Mungu; hawakufaa kushuhudia uso wa Mungu, wala kusikia sauti ya Mungu, kwani walikuwa wamemwacha Mungu, kuweka kando yote Aliyowapa, na kusahau mafunzo ya Mungu.

Jumatano, 4 Julai 2018

1. Mwenyezi Mungu Ndiye Mungu Mmoja wa Kweli Anayetawala Juu ya Vitu Vyote.

Sura ya 1 Lazima Ujue Kwamba Mwenyezi Mungu Ndiye Mungu Mmoja wa Kweli Ambaye Aliumba Mbingu na Dunia na Kila kitu Ndani Yao

1. Mwenyezi Mungu Ndiye Mungu Mmoja wa Kweli Anayetawala Juu ya Vitu Vyote.

Maneno Husika ya Mungu:
Wanadamu hawajui ni nani Mkuu wa kila kitu katika ulimwengu huu, aidha hajui mwanzo na mustakabali wa wanadamu. Wanadamu wanaishi tu, bila budi, katikati ya hii sheria. Hakuna anayeweza kuiepuka wala kuibadilisha kwani katika vitu vyote na katika mbingu kuna Mmoja kutoka milele hadi milele ambaye ni Mkuu wa kila kitu.

Jumanne, 3 Julai 2018

Huku Ni Kuweka Ukweli Katika Vitendo

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ukweli,
Huku Ni Kuweka Ukweli Katika Vitendo

Fan Xing    Mji wa Zhumadian, Mkoa wa Henan
Katika siku za nyuma, nilikuwa nimeunganishwa na dada mmoja kufanya kazi kwa wajibu fulani. Kwa sababu nilikuwa na majisifu na mwenye kiburi na sikutafuta ukweli, nilikuwa na mawazo kiasi ya kabla kuhusu dada huyu ambayo niliweka moyoni mwangu daima na sikuzungumza waziwazi naye. Tulipotengana, sikuwa nimeingia katika ukweli wa uhusiano wa kufanya kazi wenye kuridhisha. Baadaye, kanisa lilinipangia kufanya kazi na dada mwingine nami nikaweka azimio mbele ya Mungu: Kuanzia sasa kuendelea, sitatembea katika njia za kufeli.

Jumatatu, 2 Julai 2018

Swahili Gospel Praise Music "Kila Kitu Kinaishi Chini ya Sheria na Masharti Yaliyowekwa na Mungu"

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu "Kila Kitu Kinaishi Chini ya Sheria na Masharti Yaliyowekwa na Mungu"

Miaka elfu kadhaa imepita,
na mwanadamu angali anafurahia nuru na hewa aliyopewa na Mungu,
angali anapumua pumzi iliyotolewa na Mungu Mwenyewe,
angali anafurahia maua, ndege, samaki na wadudu walioumbwa na Mungu,
na kufurahia viumbe vyote vilivyotolewa na Mungu;
mchana na usiku zingali zinabadilishana nafasi zao bila kusita;

Jumapili, 1 Julai 2018

Sura ya 42. Kwa Kutafuta Ukweli Tu Ndio Unaweza Kupata Mabadiliko Katika Tabia Yako

Mwenyezi Mungu alisema, Kwa kutafuta ukweli tu ndipo utapata mabadiliko katika tabia yako: Hili ni jambo unalofaa kulielewa na kulielewa vizuri kabisa. Usipoelewa ukweli vya kutosha, utateleza kwa urahisi na kupotoka. Kutafuta kukua katika maisha lazima utafute ukweli katika kila kitu. Haijalishi suala gani laweza kutokea, lazima utafute kukumbana nalo katika njia inayopatana na ukweli, kwa sababu ukikumbana nayo kwa njia isiyo safi kabisa, basi unaenda kinyume na ukweli.