Jumatano, 31 Oktoba 2018

Sura ya 5 Lazima Uujue Ukweli Kuhusu Mungu Kupata Mwili

1. Mungu Kupata Mwili Ni Nini? Kiini cha Mungu Kupata Mwili Ni Nini?

Maneno Husika ya Mungu:
Mwenyezi Mungu alisema, Mungu mwenye mwili wa kwanza Aliishi duniani kwa miaka thelathini na tatu na nusu, lakini Alitekeleza huduma Yake kwa miaka mitatu na nusu pekee ya hiyo miaka yote. Kipindi Alichofanya kazi na kabla Aanze kazi Yake, Alikuwa na ubinadamu wa kawaida. Aliishi na ubinadamu Wake wa kawaida kwa miaka thelathini na tatu na nusu. Katika miaka yote mitatu na nusu ya mwisho Alijifichua kuwa Mungu mwenye mwili.

Jumanne, 30 Oktoba 2018

Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi | Je, Kanisa la Mwenyezi Mungu Lina Malengo Yapi?

Je, Kanisa la Mwenyezi Mungu Lina Malengo Yapi?

Kanisa la Mwenyezi Mungu hunyunyizia na kuwaongoza waumini wake kwa mujibu kamili wa maneno ya Mungu katika Biblia na Neno Laonekana Katika Mwili yanayoonyeshwa na Mwenyezi Mungu, ili kwamba kila muumini anaweza, chini ya uongozi, utolewaji, unyunyiziwaji, na uongozwaji wa maneno ya Mwenyezi Mungu, kuelewa ukweli wote katika maneno ya Mungu, kumiliki mtazamo sahihi juu ya maisha na maadili, kuwa na malengo sahihi ya kufuatilia, kufuata njia ya Mungu, kushikilia maagizo ya Mungu, kumtukuza Mungu kwa kuwa nuru na chumvi ya dunia, na kusifiwa na Mungu, na kuwa na sifa kamili kurithi ahadi za Mungu.

Jumatatu, 29 Oktoba 2018

Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi | Ni Tofauti Gani Iliyopo Kati Ya Ukristo na Kanisa la Mwenyezi Mungu?

Ni Tofauti Gani Iliyopo Kati Ya Ukristo na Kanisa la Mwenyezi Mungu?

Ukristo na Kanisa la Mwenyezi Mungu huamini katika Mungu huyo huyo. Watu wanaoelewa historia ya dini wanajua kwamba Uyahudi wa Israeli ulizaliwa na kazi ambayo Yehova Mungu alifanya wakati wa Enzi ya Sheria. Ukristo, Ukatoliki, na Othodoksi ya Mashariki yote yalikuwa makanisa yaliyoibuka baada ya Bwana Yesu mwenye mwili kufanya kazi ya ukombozi. Kanisa la Mwenyezi Mungu lilikuja kuwepo wakati Mungu alipopata mwili wakati wa siku za mwisho kufanya kazi ya hukumu.

Jumapili, 28 Oktoba 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 35

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 35

Siku hizi, binadamu wote, kwa viwango vinavyotofautiana, wameingia katika hali ya kuadibu. Kama tu alivyosema Mungu, “Naenda mbele na binadamu sako kwa bako.” Hii ni kweli kabisa, lakini watu bado hawawezi kulielewa kabisa wazo hili. Kutokana na hili, sehemu ya kazi ambayo wamefanya imekuwa si lazima. Mungu alisema, “Mimi husaidia na kuwaruzuku kwa mujibu wa kimo chao.

Jumamosi, 27 Oktoba 2018

Wimbo wa Injili | Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa | Mahitaji ya Mungu kwa Wanadamu

Wimbo wa Injili | Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa | Mahitaji ya Mungu kwa Wanadamu

I
Tangu uhusiano wa kwanza wa Mungu na mwanadamu,
Amekuwa akifichua kwao
Kiini Chake na vile Alivyo na Alicho nacho, bila kukoma, kila wakati.
Kama watu katika enzi wanaweza kuona au kuelewa,
Mungu huzungumza na kufanya kazi ili kuonyesha tabia Yake na kiini.
Havijawahi kufunikwa wala kufichwa kamwe, vimeachiliwa bila kusita,
Kiini na tabia ya Mungu, nafsi Yake na miliki yake,
vinafichuliwa Anapofanya kazi na kushirikiana na mwanadamu.

Ijumaa, 26 Oktoba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ushuhuda - Kuahidi Maisha Yangu kwa Moyo wa Ibada

Zhou Xuan Mkoa wa Shandong
Mnamo Aprili 3, mwaka wa 2003, niliambatana na dada mmoja kumtembelea muumini mpya. Muumini huyu mpya alikuwa bado hajawekwa katika ukweli na aliishia kuturipoti. Kwa sababu hiyo, askari wanne waovu wenye nguo za raia walikuja na kwa ugomvi kutuingiza sisi wawili katika gari lao na kutupeleka kwa kituo cha polisi. Njiani, moyo wangu ulikuwa na wasiwasi mno, kwa sababu mwilini mwangu nilikuwa na peja ya mawasiliano, orodha isiyo kamili ya majina ya wanajumuiya wa kanisa letu, na daftari dogo.

Alhamisi, 25 Oktoba 2018

Je, Mwenyezi Mungu na Bwana Yesu ni Mungu Mmoja?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Je, Mwenyezi Mungu na Bwana Yesu ni Mungu Mmoja?

Wanadamu walipopotoshwa na Shetani, Mungu alianza mpango Wake wa usimamizi kwa ajili ya wokovu wa wanadamu. Mungu ametekeleza hatua tatu za kazi kwa ajili ya wokovu wa wanadamu. Wakati wa Enzi ya Sheria, Yehova Mungu alitoa sheria na kuyaongoza maisha ya wanadamu, Akiwafanya watu kujua kwamba wanapaswa kumwabudu Mungu, na kuwafanya wajue dhambi ni nini. Lakini kutokana na ujio wa hatua za mwisho za Enzi ya Sheria, upotovu wa wanadamu ukawa hata wa kina zaidi, na watu mara nyingi walikiuka sheria na kutenda dhambi dhidi ya Yehova.

Jumatano, 24 Oktoba 2018

Neno la Mungu | "Kazi katika Enzi ya Sheria" | How Did God Guide the Original Mankind?

Neno la Mungu | "Kazi katika Enzi ya Sheria" | How Did God Guide the Original Mankind?

Mwenyezi Mungu anasema, “Katika Enzi ya Sheria, Yehova aliweka amri nyingi za Musa kupitisha kwa Waisraeli waliomfuata kutoka Misri. … Yehova alianzisha amri na sheria Zake ili, Alipokuwa akiwaongoza katika maisha yao, watu wangesikiliza na kuti neno Lake na kutoasi dhidi Yake. Alitumia sheria hizi kuidhibiti jamii ya binadamu iliyokuwa imezaliwa karibuni, ili kuweka vizuri zaidi msingi wa kazi Yake ya baadaye. Na kwa hivyo, kwa msingi wa kazi ambayo Yehova alifanya, enzi ya kwanza iliitwa Enzi ya sheria.”

Jumanne, 23 Oktoba 2018

Fasiri ya Mafumbo ya Maneno ya Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Tatu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Tatu

Mwenyezi Mungu alisema, Kwa ukweli, kutegemea kile ambacho Mungu amefanya ndani ya watu, na kuwapa, na vilevile kile ambacho watu wanacho, inaweza kusemwa kwamba matakwa Yake kwa watu sio makubwa mno, kwamba hataki mengi kutoka kwao. Wangekosaje basi, kujaribu kumridhisha Mungu? Mungu humpa mwanadamu asilimia mia moja, lakini Huhitaji tu sehemu ndogo ya asilimia kutoka kwa watu—hii ni kuhitaji mengi sana? Je, Mungu analeta tatizo pasipo na chochote?

Jumatatu, 22 Oktoba 2018

Maneno ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 4 Lazima Mjue Ukweli wa Kazi ya Mungu ya Siku za Mwisho

5. Unahitaji Kusadiki Vipi Mungu Ili Kuweza Kuokolewa na Kufanywa Kuwa Mtimilifu?

Maneno Husika ya Mungu:
Mwenyezi Mungu alisema, Ingawa watu wengi wanaamini katika Mungu, ni wachache wanaoelewa ni nini maana ya imani katika Mungu, na ni nini wanachopaswa kufanya ili waupendeze moyo wa Mungu. Hii ni kwa sababu, hata ingawa watu wengi wanalifahamu neno "Mungu" na mafungu ya maneno kama "kazi ya Mungu", hawamjui Mungu, na kwa kiwango cha chini zaidi hawaijui kazi ya Mungu. Si ajabu, basi, wale wote wasiomjua Mungu wamejawa na imani iliyovurugika. Watu hawachukulii imani kwa Mungu kwa makini kwa kuwa kuamini katika Mungu ni jambo geni, jambo lisolo la kawaida sana kwao. Kwa njia hii, hawafikii mahitaji ya Mungu.

Jumapili, 21 Oktoba 2018

Neno la Mungu "Jinsi ya Kuujua Uhalisi"

Neno la Mungu "Jinsi ya Kuujua Uhalisi"

Mwenyezi Mungu alivyosema, "Mungu ni Mungu wa uhalisi: kazi Zake zote ni halisi, maneno yote Anayoyanena ni halisi, na ukweli wote Anaouonyesha ni halisi. Kila kisicho maneno Yake ni kitupu, kisichokuwepo, na kisicho timamu. Leo, Roho Mtakatifu yupo kwa ajili ya kuwaongoza watu katika maneno ya Mungu. Ikiwa watu wanatafuta kuingia katika uhalisi, basi ni lazima wauandame uhalisi, na waujue uhalisi, baadaye ni lazima wapitie uhalisi, na kuishi kwa kudhihirisha uhalisi.

Jumamosi, 20 Oktoba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu |Ushuhuda - Kuzaliwa Upya

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, hukumu
 Kanisa la Mwenyezi Mungu |Ushuhuda - Kuzaliwa Upya

Yang Zheng Mkoa wa Heilongjiang
Nilizaliwa katika familia maskini ya vijijini iliyokuwa nyuma kimaendeleo katika kufikiri kwao. Nilikuwa ovyo kutoka utotoni na hamu yangu ya hadhi ilikuwa hasa yenye nguvu. Baada ya muda, kupitia ushawishi wa jamii na mafunzo ya kitamaduni, nilichukua aina zote za sheria za Shetani za kuponea moyoni mwangu. Aina zote za hoja za uwongo zililea matamanio yangu ya sifa na hadhi, kama vile kujenga nchi nzuri ya asili kwa mikono yako miwili, umaarufu utakufanya kuishi milele, watu wanahitaji nyuso kama mti unavyohitaji ganda lake, kujiendeleza na kuwa juu, mtu anapaswa kuleta heshima kwa mababu zake, nk. Haya hatua kwa hatua yakawa maisha yangu na yakanifanya kuamini kwa thabiti kwamba almuradi tunaishi katika ulimwengu huu, itabidi tufanye kazi ili tuheshimiwe na wengine.

Ijumaa, 19 Oktoba 2018

Latest Swahili Christian Video "Njia ya mwenendo wa Binadamu" | Hukumu ya Mungu iliniokoa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Hukumu
Latest Swahili Christian Video "Njia ya mwenendo wa Binadamu" | Hukumu ya Mungu iliniokoa

Tangu umri mdogo, wazazi wa Cheng Jianguang na walimu walimfundisha sheria kama vile "Uwiano ni hazina, uvumilivu ni wema," "Kunyamazia makosa ya rafiki wazuri hudumisha urafiki mzuri na wa muda mrefu," "Ingawa utaona makosa, ni vyema useme machache" zilikuwa ni nguzo za kudumisha uhusiano mzuri na watu wengine. Alichukua mafunzo haya kwa moyo, na kujifinza kamwe kutowakosea wengine katika matendo na mazungumzo yake, na daima kutunza uhusiano wake na wengine, hivi kumpatia sifa ya "mtu mzuri" kwa wale wliokuwa karibu naye. Baada ya kukubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika zile siku za mwisho, Cheng Jiangunag anajifunza kutoka kwa neno la Mungu kwamba ni kwa kutafuta ukweli na kuwa mtu mwaminifu pekee ndiyo anaweza kupata idhini ya Mungu na kupewa wokovu na Mungu, kwa hivyo anaapa kiapo kuwa mtu mwaminifu.

Alhamisi, 18 Oktoba 2018

Sura ya 4 Lazima Mjue Ukweli wa Kazi ya Mungu ya Siku za Mwisho

4. Umuhimu wa Kazi ya Mungu ya Majaribio na Utakasaji.

Maneno Husika ya Mungu:
Mwenyezi Mungu alisema, Majaribu haya yanailenga hali gani ya ndani ya watu? Yanalenga tabia ya uasi ndani ya watu ambayo haiwezi kumridhisha Mungu. Kuna mengi ambayo ni machafu ndani ya watu, na mengi ambayo ni ya unafiki, na kwa hivyo Mungu anawatia katika majaribu ili kuwasafisha. …

Jumatano, 17 Oktoba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu Lilikujaje Kuwepo?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu Lilikujaje Kuwepo?

Kama makanisa ya Ukristo, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilikuja kuwepo kwa sababu ya kazi ya Mungu kupata mwili. Makanisa ya Ukristo yalipata kuwepo kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Bwana Yesu aliyepata mwili, na Kanisa la Mwenyezi Mungu lilipata kuwepo kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu mwenye mwili wa siku za mwisho. Hivyo, makanisa kotekote katika enzi yamefanyizwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mungu Aliyepata mwili.

Jumanne, 16 Oktoba 2018

Maneno ya Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Mbili

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Maneno ya  Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Mbili

Maneno ya Mungu huwaacha watu wakikuna vichwa vyao; ni kana kwamba, Anapozungumza, Mungu anaepukana na mwanadamu na kuzungumza na hewa, kana kwamba Hafikirii hata kidogo kuzingatia zaidi matendo ya mwanadamu, na Hatilii maanani kabisa kimo cha mwanadamu, kana kwamba maneno Anayozungumza hayaelekezwi kwa dhana za watu, lakini kuepukana na mwanadamu, kama lilivyokuwa kusudi la Mungu la asili. Kwa sababu nyingi sana, maneno ya Mungu hayaeleweki na mwanadamu hawezi kuyapenya. Hili halishangazi.

Jumatatu, 15 Oktoba 2018

Maonyesho ya Mungu | "Maelezo ya Kweli ya Kazi Katika Enzi ya Ukombozi"

Maonyesho ya Mungu | "Maelezo ya Kweli ya Kazi Katika Enzi ya Ukombozi"

Mwenyezi Mungu alivyosema, "Katika Enzi ya Neema mwanadamu alikuwa amepotoshwa na Shetani, na hivyo kazi ya ukombozi wa wanadamu wote ulihitaji wingi wa neema, ustahimili usio na mwisho na uvumilivu, na hata zaidi, sadaka ya kutosha kulipia dhambi za wanadamu, ili kufikia athari yake. Kile wanadamu waliona katika Enzi ya Neema kilikuwa tu sadaka Yangu ya dhambi ya binadamu, Yesu. Na walijua kwamba ni Mungu tu ndiye Anaweza kuwa mwenye huruma na uvumilivu, na waliona tu huruma wa Yesu na fadhili Zake. Hii ni kwa sababu wao waliishi katika Enzi ya Neema.

Jumapili, 14 Oktoba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Nyimbo

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Wimbo wa Uzoefu wa Maisha

Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa

I
Nilitaka kulia lakini hakuna mahali palihisi sawa. Nilitaka kuimba lakini hakuna wimbo ulipatikana. Nilitaka kuonyesha upendo wa kiumbe aliyeumbwa. Nikitafuta juu na chini, lakini hakuna maneno yangeweza kusema, yangeweza kusema jinsi hasa ninavyohisi. Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Nainua mikono yangu kwa sifa, ninafurahia kwamba Ulikuja katika dunia hii.

Jumamosi, 13 Oktoba 2018

Sura ya 4 Lazima Mjue Ukweli wa Kazi ya Mungu ya Siku za Mwisho | 3. Umuhimu wa Kazi ya Mungu ya Hukumu na Kuadibu.

3. Umuhimu wa Kazi ya Mungu ya Hukumu na Kuadibu.

Maneno Husika ya Mungu:
Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ya siku za mwisho ni kutenganisha vitu vyote kulingana na jinsi yavyo, kuhitimisha mpango wa usimamizi wa Mungu, kwa maana muda u karibu na siku ya Mungu imewadia. Mungu huwaleta wote ambao wameingia katika ufalme Wake, yaani, wale wote ambao wamekuwa waaminifu Kwake mpaka mwisho, katika enzi ya Mungu Mwenyewe. Hata hivyo, kabla ya kuja kwa enzi ya Mungu Mwenyewe, kazi Atakayofanya Mungu si kutazama matendo ya mwanadamu wala kuchunguza maisha ya wanadamu, ila ni kuhukumu uasi wake, kwa maana Mungu atawatakasa wale wote wanaokuja mbele ya kiti Chake cha enzi.

Ijumaa, 12 Oktoba 2018

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | Hukumu Ni Mwanga

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, hukumu

Hukumu Ni Mwanga

Zhao Xia Mkoa wa Shandong
Jina langu ni Zhao Xia. Nilizaliwa katika familia ya kawaida. Kutokana na ushawishi wa misemo kama “Mtu huacha jina lake nyuma popote akaapo, kama vile bata bukini hutetea popote arukapo,” na “Kama vile mti huishi kwa sababu ya ganda lake, mtu huishi kwa sababu ya uso wake,” sifa na heshima zikawa muhimu sana kwangu. Kila kitu nilichofanya kilikuwa ili kupata sifa, pongezi, na upendezwaji wa watu wengine.

Alhamisi, 11 Oktoba 2018

New Swahili Gospel Movie "Jina la Mungu Limebadilika?!" | Kufunua Siri ya Jina la Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi MunguNew Swahili Gospel Movie "Jina la Mungu Limebadilika?!" | Kufunua Siri ya Jina la Mungu

Jina lake ni Wang Hua, na ni mhubiri wa kanisa la nyumbani Kusini mwa Uchina. Baada ya kuanza kumwamini Bwana, alipata kwenye Biblia kuwa Mungu aliitwa Yehova katika Agano la Kale, na aliitwa Yesu katika Agano Jipya. Ni kwa nini Mungu ana majina tofauti? Wang Hua alishangazwa sana na hili.

Jumatano, 10 Oktoba 2018

Kuhusu Sisi | Kwa nini Mungu Huchukua Jina la Mwenyezi Mungu Katika Enzi ya Ufalme?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kwa nini Mungu Huchukua Jina la Mwenyezi Mungu Katika Enzi ya Ufalme?

Watu wengi hawaelewi ni kwa nini, kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni kurudi kwa Bwana Yesu katika siku za mwisho, Bwana Yesu anaitwa Mwenyezi Mungu wakati Anapokuja kufanya kazi ya hukumu katika siku za mwisho. Kwa nini haendelei kuitwa Bwana Yesu? Kwa kweli, Mungu ana jina jipya kila wakati Anapofanya hatua moja ya kazi Yake. Jina hili jipya linachukuliwa na Mungu Mwenyewe kama inavyofaa kazi hii–siyo kitu ambacho watu humuita Yeye kama wanavyotaka. Jina analolichukua Mungu katika kila hatua ya kazi lina msingi wake katika Biblia.

Jumanne, 9 Oktoba 2018

Maneno ya Mwenyezi Mungu | ura ya 4 Lazima Mjue Ukweli wa Kazi ya Mungu ya Siku za Mwisho


2. Umuhimu wa Kazi ya Mungu ya Kushinda.

Maneno Husika ya Mungu:
Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ya sasa ya kushinda ni kuupata ushuhuda na utukufu wote, na kuwafanya wanadamu wote wamwabudu Mungu, ili kuwepo na ushuhuda miongoni mwa viumbe wote. Hili ndilo linapaswa kufanywa katika hatua hii ya kazi. Wanadamu watashindwa vipi hasa? Watapata kushindwa kwa kutumia hii kazi ya maneno kumshawishi mwanadamu kwa dhati; kwa kutumia toba, hukumu, kuadibu, na laana isiyo na huruma kumhini kabisa; na kwa kuweka wazi uasi wa mwanadamu na kwa kuhukumu upinzani wake ili ajue udhalimu wa mwanadamu na uchafu wake, mambo ambayo yatatumiwa kuangazia tabia ya haki ya Mungu.

Jumatatu, 8 Oktoba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu |Ushuhuda - Ndio Nimeanza Tu Kutembea Njia Sahihi ya Uzima

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa

Kanisa la Mwenyezi Mungu |Ushuhuda - Ndio Nimeanza Tu Kutembea Njia Sahihi ya Uzima

Shi Han Mkoa wa Hebei
Nilizaliwa kwa familia maskini ya wakulima. Nimekuwa mwenye busara tangu utotoni, ikimaanisha sijawahi kupigana na watoto wengine na niliwatii wazazi wangu, jambo lililonifanya "msichana mzuri" wa kawaida machoni mwa watu wazima. Wazazi wengine wote walikuwa na wivu sana kwa wazazi wangu, wakisema kuwa walikuwa na bahati kuwa na binti mzuri hivyo. Na hivi tu, nilikua kila siku nikisikiliza sifa kutoka kwa watu waliokuwa karibu nami. Nilipokuwa katika shule ya asili, rekodi yangu ya kitaaluma ilikuwa nzuri hasa, na daima nilipata nafasi ya kwanza katika mitihani.

Jumapili, 7 Oktoba 2018

Neno la Mungu | "Tofauti Muhimu Kati ya Mungu Aliyepata Mwili na Wanadamu Wanaotumiwa na Mungu"

Neno la Mungu | "Tofauti Muhimu Kati ya Mungu Aliyepata Mwili na Wanadamu Wanaotumiwa na Mungu"

Mwenyezi Mungu alivyosema, "Yeye ambaye Anafanya kazi katika Uungu Anawakilisha Mungu, ilhali wale wanaofanya kazi katika ubinadamu ni wanadamu wanaotumiwa na Mungu. Yaani, Mungu katika mwili ana utofauti halisi na wanadamu wanaotumiwa na Mungu. Mungu mwenye mwili Anaweza kufanya kazi ya Uungu, lakini wanadamu wanaotumiwa na Mungu hawawezi. Mwanzoni mwa kila enzi, Roho wa Mungu anaongea binafsi kuzindua enzi mpya na kuleta mwanadamu kwenye mwanzo mpya. Wakati Yeye Atamaliza mazungumzo Yake, itaashiria kwamba kazi ya Mungu katika Uungu imekamilika.

Jumamosi, 6 Oktoba 2018

Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Moja

Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Moja

Mwenyezi Mungu alisema, Kwa macho ya mwanadamu, inaonekana hakuna badiliko katika matamshi ya Mungu wakati wa kipindi hiki, ambalo ni kwa sababu watu hawawezi kuelewa sheria ambazo kwazo Mungu hunena, na hawafahamu muktadha wa maneno Yake. Baada ya kusoma maneno ya Mungu, watu hawaamini kwamba kuna mafumbo yoyote mapya katika maneno haya; hivyo, hawawezi kuishi maisha yaliyo mapya kiajabu, na badala yake huishi maisha yaliyokwama na yasiyokuwa na uhai.

Alhamisi, 4 Oktoba 2018

Matamshi ya Roho Mtakatifu | "Mazungumzo Mafupi Kuhusu 'Ufalme wa Milenia Umefika'"

Matamshi ya Roho Mtakatifu | "Mazungumzo Mafupi Kuhusu 'Ufalme wa Milenia Umefika'"

Mwenyezi Mungu alivyosema, "Wakati wa Enzi ya Ufalme wa Milenia, watu tayari watakuwa wamefanywa wakamilifu, na tabia mbovu ndani yao zitakuwa zimetakaswa. Wakati huo, maneno yasemwayo na Mungu yatawaongoza wanadamu hatua kwa hatua, na kufichua siri za kazi ya Mungu tangu uumbaji hadi leo, na maneno Yake yatawaambia watu kuhusu matendo ya Mungu katika kila enzi na kila siku, jinsi Anavyowaongoza watu ndani, kazi Aifanyayo katika ufalme wa kiroho, na yatawaambia watu kuhusu mienendo ya ufalme wa kiroho. Hapo tu ndipo itakuwa Enzi ya kikweli ya Neno; kwa sasa ni mfano tu."

Jumatano, 3 Oktoba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu |Ushuhuda - Mabadiliko ya Mtu Aliyeanguka

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa

Kanisa la Mwenyezi Mungu |Ushuhuda

Mabadiliko ya Mtu Aliyeanguka

Tong Xin    Mkoa wa Fujian
Nilizaliwa vijijini. Nilitoka kwa nasaba ya wakulima wanyenyekevu na zaidi ya hayo familia yetu ilikuwa na watu wachache, kwa hiyo mara nyingi tulikuwa tunadhulumiwa. Nilipokuwa na umri wa miaka 13, kulikuwa na mtoto aliyepigwa na mtu fulani kutoka nje ya kijiji chetu. Wanakijiji walimlaumu kwa uongo baba yangu kwa kuchochea hilo na wakasema walitaka kupekua nyumba yetu na kuchukua ngawira mali yetu, kuchukua nguruwe wetu na hata kumpiga baba yangu. Kulikuwa na wakati pia ambapo mwanakijiji mwingine alichukua wavu wetu wa uvuvi na kuuweka kama wake mwenyewe.

Jumanne, 2 Oktoba 2018

Sura ya 4 Lazima Mjue Ukweli wa Kazi ya Mungu ya Siku za Mwisho

1. Umuhimu wa Kazi ya Mungu ya Maneno.

Maneno Husika ya Mungu:
Mwenyezi Mungu alisema, Katika Enzi ya Ufalme, Mungu anatumia neno ili kukaribisha enzi mpya, ili kubadilisha mbinu za kazi Yake, na kuweza kufanya kazi katika enzi nzima. Hii ndiyo kanuni ambayo Mungu hufanyia kazi katika Enzi ya Neno. Alikuwa mwili ili kuweza kuzungumza kutoka mitazamo tofauti, kumwezesha binadamu kumwona Mungu kwa kweli, ambaye ni Neno linaloonekana katika mwili, na hekima Yake na maajabu.

Jumatatu, 1 Oktoba 2018

Ufafanuzi wa Mafumbo ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima | Sura ya 10

Sura ya 10

Mwenyezi Mungu alisema, Katika wakati wa ujenzi wa kanisa, Mungu alitaja ujenzi wa kanisa kwa nadra. Hata Alipotaja, Alifanya hivyo katika lugha ya wakati wa ujenzi wa kanisa. Mara tu Enzi ya Ufalme ilipokuja, Mungu alifuta mbinu na wasiwasi nyingine za wakati wa ujenzi wa kanisa mara mmoja na Hakuwahi tena kusema hata neno moja kuuhusu. Hii hasa ni maana ya msingi ya “Mungu Mwenyewe” ambaye daima ni mpya na kamwe si mzee.