Jumatatu, 31 Desemba 2018

Neno la Mungu | "Maana ya Kuwa Mwanaadamu Halisi" (Official Video)

Neno la Mungu | "Maana ya Kuwa Mwanaadamu Halisi"

Mwenyezi Mungu anasema, "Hata hivyo unapaswa kujua, wanadamu Nilioumba walikuwa watu watakatifu na wenye mfano Wangu na utukufu Wangu. Hapo awali hawakuwa wa Shetani, wala hawakukabiliwa na kukanyagwa kwake, bali walikuwa tu udhihirisho Wangu, walikuwa huru kutokana na sumu yake. Hivyo, Naliwajulisha wanadamu wote kwamba Ninataka tu kilichoumbwa na mkono Wangu, Wapendwa Wangu walio watakatifu ambao kamwe hawajawahi kumilikiwa na mwingine yoyote.

Jumapili, 30 Desemba 2018

Maneno ya Roho Mtakatifu | "Jinsi ya Kumjua Mungu Duniani"

Maneno ya Roho Mtakatifu | "Jinsi ya Kumjua Mungu Duniani"

Mwenyezi Mungu anasema, "Mnachukulia matendo yote ya Kristo kwa upande wa wasio wema na kuhukumu kazi Yake yote na utambulisho Wake na kiini Chake kwa mtazamo wa waovu. Mmefanya kosa kubwa sana na kufanya kile ambacho hakijawahi kufanywa na wale kabla yenu. Hiyo ni, mnamtumikia tu Mungu mkuu aliye mbinguni na taji juu ya kichwa Chake na hammshughulikii kamwe Mungu mnayemchukulia kuwa asiye na maana kabisa na hivyo kuwa ghaibu. Hii siyo dhambi yenu?

Jumamosi, 29 Desemba 2018

Maneno ya Roho Mtakatifu | "Kazi ya Mungu na Utendaji wa Mwanadamu" (Sehemu ya Pili)

Maneno ya Roho Mtakatifu | "Kazi ya Mungu na Utendaji wa Mwanadamu" (Sehemu ya Pili)

Mwenyezi Mungu anasema, "Katika kila aina ya kazi ya Mungu kuna maono yanayofahamika na mwanadamu; maono yanayofuatwa na matarajio mwafaka ya Mungu kwa mwanadamu. Bila haya maono kama msingi, mwanadamu hawezi kuwa na uwezo wa utendaji na pia hangeweza kumfuata Mungu bila kuyumbayumba. Ikiwa mwanadamu hamjui Mungu au hayaelewi mapenzi ya Mungu, basi yote ayafanyayo ni bure na yasiyoweza kukubalika na Mungu.

Ijumaa, 28 Desemba 2018

Swahili Gospel Song Video "Shukrani na Sifa kwa Mwenyezi Mungu" | God Guided Me to a New Life

Swahili Gospel Song Video "Shukrani na Sifa kwa Mwenyezi Mungu" | God Guided Me to a New Life


I
Tumeletwa mbele ya Mungu. Maneno Yake tunakula na kunywa.
Roho Mtakatifu anatupa nuru, tunaelewa ukweli anaonena Mungu.
Mila za dini, tumezitupa, minyororo yote. Isiyozuiliwa na sheria, mioyo yetu inawekwa huru.
Na sisi tunafurahi iwezekanavyo, tukiishi katika nuru ya Mungu,
kufurahi iwezekanavyo, kuishi katika nuru ya Mungu.
Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu, anayeonyesha ukweli kwa wanadamu wote.
Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu,
tuna njia ya kubadilika, na imani yetu isiyo dhahiri inapungua.
Tunaimba sifa, ee.

Alhamisi, 27 Desemba 2018

4. Unawezaje Kutambua Tofauti Kati ya Njia za Kweli na za Uongo, na Makanisa ya Kweli na ya Uongo?

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 4. Unawezaje Kutambua Tofauti Kati ya Njia za Kweli na za Uongo, na Makanisa ya Kweli na ya Uongo?

Maneno Husika ya Mungu:
Mwenyezi Mungu alisema, Kanuni ya msingi kabisa katika kuutafuta ukweli ni nini? Unapaswa kuangalia kama kuna kazi ya Roho Mtakatifu au la, iwapo maneno haya ni udhihirishaji wa ukweli, yanamshuhudia nani, na ni kitu gani yanaweza kukupatia. Kutofautisha kati ya njia ya kweli na hizi njia za uongo kunahitaji njia kadhaa za maarifa ya msingi, ya msingi kabisa kati ya zote ni kusema iwapo kuna Kazi ya Roho Mtakatifu au la. Maana kiini cha imani ya mwanadamu kwa Mungu ni imani katika Roho Mtakatifu.

Jumatano, 26 Desemba 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Nyimbo

Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu

I
Sasa kwa kushangilia sana, utakatifu wa Mungu na haki vinakua ulimwenguni kote, ikitukuka sana kati ya wanadamu wote. Miji ya mbinguni inacheka, falme za dunia zinacheza. Ni nani asiyesherehekea? Ni nani asiyetoa machozi? Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde; hawaliabishi jina la Mungu, wakiishi katika mwanga wa Mungu, wakiwa na amani na kila mmoja.

Jumanne, 25 Desemba 2018

Maneno ya Roho Mtakatifu | "Tofauti Kati ya Huduma ya Mungu katika Mwili na Wajibu wa Mwanadamu"

Maneno ya Roho Mtakatifu | "Tofauti Kati ya Huduma ya Mungu katika Mwili na Wajibu wa Mwanadamu"

Mwenyezi Mungu anasema, "Hata kama Mungu mwenye mwili hunena, kufanya kazi, au kutenda miujiza, Anafanya kazi kubwa katika usimamizi Wake, kazi ambayo haiwezi kufanywa na mwanadamu kwa niaba Yake. Kazi ya mwanadamu ni kufanya tu wajibu wake kama kiumbe katika hatua fulani ya usimamizi wa Mungu. Bila usimamizi kama huo, yaani, ikiwa huduma ya Mungu kuwa mwili itapotea, pia wajibu wa viumbe utapotea.

Jumatatu, 24 Desemba 2018

Fasiri ya Mafumbo ya Maneno ya Mungu | Sura ya 46

Sura ya 46

Mwenyezi Mungu alisema, Miongoni mwa maneno haya yote, hakuna yasiyoweza kusahaulika zaidi kama yale ya leo. Awali maneno ya Mungu yalifichua hali za mwanadamu au siri za mbinguni, lakini tamko hili halifanani na yale ya wakati uliopita. Halidhihaki wala kufanya mzaha, lakini ni kitu kisichotarajiwa kabisa: Mungu aliketi chini na Akazungumza na watu kwa utulivu. Kusudi Lake ni gani? Unaona nini Mungu anaposema, “Leo, Nimeanza kazi mpya juu ya ulimwengu. Nimewapa watu walio duniani mwanzo mpya, na Nimewaambia wote watoke nyumbani Mwangu.

Jumapili, 23 Desemba 2018

Maneno ya Mwenyezi Mungu | Njia… (4)

Kanisa la Mwenyezi Mungu,  Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Maneno ya Mwenyezi Mungu| Njia… (4) 

Mwenyezi Mungu alisema, Kwamba watu wanaweza kugundua kupendeza kwa Mungu, kutafuta njia ya kumpenda Mungu katika enzi hii, na kwamba wako radhi kukubali mafunzo ya ufalme wa leo—hii yote ni neema ya Mungu na hata zaidi, ni Yeye ndiye anawainua wanadamu. Kila Nifikiriapo juu ya hili Mimi huhisi kwa uthabiti kupendeza kwa Mungu. Ni kweli kwamba Mungu anatupenda. La sivyo, nani angeweza kutambua kupendeza Kwake? Ni kutoka tu kwa hili ndio Naona kwamba kazi hii yote inafanywa binafsi na Mungu Mwenyewe, na watu wanaongozwa na kuelekezwa na Mungu.

Jumamosi, 22 Desemba 2018

Sinema za Injili "Kutoka kwa Kiti cha Enzi Hububujika Maji ya Uzima" | Roho wa Ukweli Amekuja!

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, kanisa Sinema za Injili "Kutoka kwa Kiti cha Enzi Hububujika Maji ya Uzima" | Roho wa Ukweli Amekuja!

Tao Wei alikuwa mhubiri kutoka kanisa la nyumba. Kanisa lake lilipokuwa na ukiwa zaidi na zaidi siku baada ya siku, wafuasi wake wote wakawa walegevu na wenye roho dhaifu, na roho yake mwenyewe ilikuwa na giza. Yeye hakuweza tena kuhisi uwepo wa Bwana, na Tao Wei alichanganyikiwa, bila kujua la kufanya. Ulimwengu wa dini ulikuwa umepotezaje kazi ya Roho Mtakatifu? Inaweza kuwa kwamba Bwana alikuwa tayari amerudi, na alikuwa ameonekana ili kufanya kazi mahali pengine? ... Tao Wei alipotafuta haraka majibu ya maswali haya, alitamani zaidi na zaidi kufikia utoaji wa hai maji ya uzima kutoka kwa Mungu.

Ijumaa, 21 Desemba 2018

Fasiri ya Mafumbo ya Maneno ya Mungu | Sura ya 44 na wen45

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Fasiri ya Mafumbo ya Maneno ya Mungu | Sura ya 44 na 45

Tangu Mungu alipomwambia mwanadamu kuhusu "upendo wa Mungu”—somo la maana zaidi kati ya yote—Alilenga kuzungumza juu ya mada hii katika "matamko ya Roho mara saba," kusababisha watu wote kujaribu kujua utupu wa maisha ya mwanadamu, na hivyo kuchimbua upendo wa kweli ulio ndani yao. Na wale wanaoishi katika hatua ya sasa wanampenda Mungu kiasi gani? Je, mwajua? Hakuna mipaka kwa somo la "kumpenda Mungu." Na je, kuhusu ufahamu wa maisha ya mwanadamu ndani ya watu wote? Mtazamo wao kwa kumpenda Mungu ni upi? Wako radhi au hawako radhi?

Alhamisi, 20 Desemba 2018

Maneno ya Roho Mtakatifu kwa makanisa | "Kristo Hufanya Kazi ya Hukumu kwa Ukweli"

Maneno ya Roho Mtakatifu kwa makanisa | "Kristo Hufanya Kazi ya Hukumu kwa Ukweli"

Mwenyezi Mungu anasema, "Katika siku za mwisho, Kristo anatumia ukweli tofauti kumfunza mwanadamu, kufichua kiini cha mwanadamu, na kuchangua maneno na matendo yake. Maneno haya yanajumuisha ukweli mbalimbali, kama vile wajibu wa mwanadamu, jinsi mwanadamu anavyofaa kumtii Mungu, jinsi mwanadamu anavyopaswa kuwa mwaminifu kwa Mungu, jinsi mwanadamu anavyostahili kuishi kwa kudhihirisha ubinadamu wa kawaida, na pia hekima na tabia ya Mungu, na kadhalika.

Jumatano, 19 Desemba 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu | Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu

Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu

I
Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu wanaomwabudu na kumtii Yeye. Ingawa wamepotoshwa na Shetani, hawamwiti baba tena. Wanajua ubaya wa Shetani, hivyo wanamkataa. Wanakuja mbele ya Mungu, wanakubali adabu na hukumu. Wanajua kile kilicho kibaya, na kile ambacho ni kitakatifu. Na wanajua ukuu wa Mungu, na uovu wa Shetani. Jamii kama hii ya binadamu haitamfanyia Shetani kazi wala kumwabudu tena. Kwa sababu hawa ni watu ambao kwa kweli wametwaliwa na Mungu. Hii ndiyo sababu Mungu anamsimamia mwanadamu.

Jumanne, 18 Desemba 2018

Fasiri ya Mafumbo ya Maneno ya Mungu | Sura ya 42

Mwenyezi Mungu alisema, Sijui kama watu wameona mabadiliko yoyote katika tamko la leo. Huenda watu wengine wameona kidogo, lakini hawathubutu kusema kwa kweli. Labda wengine hawajatambua chochote. Mbona kuna tofauti kubwa sana hivyo kati ya siku ya kumi na mbili na ya kumi na tano ya mwezi? Umetafakari hili? Maoni yako ni gani? Umeelewa chochote kutokana na matamko yote ya Mungu? Ni kazi gani kuu iliyofanywa kati ya tarehe mbili Aprili na tarehe kumi na tano Mei?

Jumatatu, 17 Desemba 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu "Upendo Safi Bila Dosari" | What Is It to Truly Love God?

Wimbo wa Maneno ya Mungu "Upendo Safi Bila Dosari" | What Is It to Truly Love God?

I
Upendo ni hisia safi, safi bila dosari.
Tumia moyo, tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.
Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga.
Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.
Ukipenda hudanganyi, hulalamiki, hugeuki,
hutazamii kupata kitu, cha malipo.
Ukipenda utajitolea, ukubali taabu, kuwa kimoja, Mungu katika mapatano.

Jumapili, 16 Desemba 2018

Maneno ya Mwenyezi Mungu | Njia… (3)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Maneno ya Mwenyezi Mungu | Njia… (3)

Katika maisha Yangu, Niko radhi kila mara kujitolea Mwenyewe kwa Mungu kabisa, mwili na fikra. Kwa njia hii, hakuna lawama kwa dhamiri Yangu na Naweza kupata kiasi kidogo cha amani. Mtu anayeandama uzima ni lazima kwanza aukabidhi moyo wake wote kwa Mungu kabisa. Hili ni sharti la mwanzo. Ningependa ndugu na dada Zangu wamwombe Mungu pamoja na Mimi: “Ee Mungu! Roho Wako aliye mbinguni awape neema watu walio duniani ili moyo Wangu uweze kukugeukia Wewe kikamilifu, kwamba Roho Yangu iweze kusisimuliwa Nawe, na kwamba Niweze kuona kupendeza Kwako ndani ya moyo Wangu na Roho Yangu, ili wale walio duniani wabarikiwe kuuona uzuri Wako.

Jumamosi, 15 Desemba 2018

Maneno ya Roho Mtakatifu kwa makanisa | "Ufalme wa Milenia Umewasili"

Maneno ya Roho Mtakatifu kwa makanisa | "Ufalme wa Milenia Umewasili"

Mwenyezi Mungu anasema, "kuwasili kwa Ufalme wa Milenia duniani ni kuwasili kwa neno la Mungu duniani. Kushuka kwa Yerusalemu mpya kutoka mbinguni ni kuwasili kwa maneno ya Mungu kuishi miongoni mwa mwanadamu, kuenenda na kila tendo la mwanadamu, na mawazo yake yote ya ndani. Huu pia ni ukweli kwamba Mungu atatimiza, na mandhari mazuri kabisa ya Ufalme wa Milenia. Huu ndio mpango uliowekwa na Mungu: Maneno Yake yataonekana duniani kwa miaka elfu moja, na yatashuhudia matendo yake yote, na kukamilisha kazi Yake yote duniani, ambapo baada ya hatua hii mwanadamu atakuwa amefikia kikomo."

Ijumaa, 14 Desemba 2018

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Wimbo wa Kifuasi cha Dhati

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Nyimbo

I
Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili. Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli. Hekima Yake, Uadilifu Wake, nayapenda yote. Kukutana Naye, kumpata Yeye, nimebarikiwa sana. Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili. Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli. Hekima Yake, uadilifu Wake, nayapenda yote. Kukutana Naye, kumpata Yeye, nimebarikiwa sana. Moyo wake, Upendo wake, vimefanya nishindwe. Mpe upendo, mfuate Yeye, ah mpendwa wangu. Nampenda, najihisi mtamu, teseka kwa ajili Yake. Mpate, ishi kwa ajili Yake, mpende milele.

Alhamisi, 13 Desemba 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Arubaini na Moja

Matamshi ya Mwenyezi Mungu  | Ufafanuzi wa Tamko la Arubaini na Moja

Mungu humfinyanga mwanadamu vipi? Je, unalifahamu hili? Linaeleweka? Nalohufanyika vipi kanisani? Unafikiriaje? Je, umewahi kuyafikiria maswali haya? Ni nini ambalo Anatarajia kufanikisha kupitia kwa kazi Yake kanisani? Je, yote yanaeleweka bado? Kama sivyo, yote ambayo unafanya hayana maana, yamebatilika! Je, maneno haya yanaugusa moyo wako? Je, yote ambayo yanahitajika kutimiza tamanio la Mungu ni maendeleo ya utendaji tu, na sio kuwa hasi na kurudi nyuma? Je, ushirikiano wa kijinga unatosha?

Jumatano, 12 Desemba 2018

Swahili Gospel Full Movie "Fichua Siri Kuhusu Biblia" | Kufichua Hadithi ya Kweli ya Biblia

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Biblia Swahili Gospel Full Movie "Fichua Siri Kuhusu Biblia" | Kufichua Hadithi ya Kweli ya Biblia

Feng Jiahui na wazazi wake waliamini katika Bwana tangu alipokuwa mdogo. Alipokuwa na umri wa miaka 18 aliingia katika shule ya seminari, na katika miaka yake ya 30 akawa mhubiri katika kanisa la nyumba huko Shanxi, Uchina. Kwa miaka mingi, Feng Jiahui alidumisha imani madhubuti ya kuwa Biblia ilitiwa msukumo na Mungu, na kwamba lazima tuamini katika Mungu kwa mujibu wa Biblia. Aliamini kuwa hakukuwa na maneno yaliyonenwa na Mungu nje ya Biblia, na kwamba kuondoka kutoka kwa Biblia kutakuwa uzushi. Biblia ilikuwa imepata nafasi takatifu moyoni mwake, mahali pa mamlaka ya juu na isiyoweza kushindwa.

Jumanne, 11 Desemba 2018

Wimbo wa Injili 2018 | “Matendo Ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu” Sifa kwa matendo ya Mungu ya ajabu

Wimbo wa Injili 2018 | “Matendo Ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu” Sifa kwa matendo ya Mungu ya ajabu

I
Mungu anatazama chini juu ya vitu vyote kutoka juu,
na Anatawala vitu vyote kutoka juu.
Wakati huo huo, Mungu ametuma wokovu Wake juu ya dunia.
Mungu anaangalia kutoka mahali Pake pa siri kila wakati,
kila hatua ya mwanadamu, kila kitu anachosema na kufanya.
Mungu anamjua mwanadamu kama kiganja cha mkono Wake.
Mahali pa siri ni makao ya Mungu, anga ndicho kitanda Mungu akilaliacho.
Nguvu ya Shetani haiwezi kumfikia Mungu,
kwani Yeye amejawa na utukufu, haki, na hukumu.

Jumatatu, 10 Desemba 2018

Kondoo wa Mungu Huisikia Sauti ya Mungu | Sura ya 6 | 3. Unawezaje Kutambua Tofauti Kati ya Kristo wa Kweli na Makristo wa Uongo?

3. Unawezaje Kutambua Tofauti Kati ya Kristo wa Kweli na Makristo wa Uongo?

Maneno Husika ya Mungu:
Mwenyezi Mungu alisema, Mungu aliyepata mwili Anaitwa Kristo, na hivyo Kristo ambaye Anaweza kuwapa binadamu ukweli anaitwa Mungu. Hakuna kitu kikuu kuliko hiki, Kwa kuwa Anayo hali ya Mungu, na ana tabia za Mungu, na hekima katika kazi Yake, ambayo haiwezi kupatikana kwa binadamu. Wale wanaojiita Kristo, walakini hawawezi kufanya kazi ya Mungu, ni matapeli. Kristo sio tu udhihirisho wa Mungu duniani, badala yake, mwili hasa ulioigwa na Mungu kufanya na kutimiza kazi Yake kati ya wanadamu.

Jumapili, 9 Desemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Matamshi ya Mungu | Njia… (2)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Matamshi ya Mungu | Njia… (2)

Labda ndugu na dada zetu wana muhtasari kidogo wa utaratibu, hatua, na mbinu za kazi ya Mungu katika China bara, lakini Mimi huhisi kila mara kwamba ni heri kuwa na kumbukumbu au muhtasari kidogo wa ndugu na dada zetu. Ninatumia tu nafasi hii kusema machache ya kile kilicho moyoni Mwangu; Sizungumzi juu ya chochote nje ya kazi hii.

Jumamosi, 8 Desemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Swahili Christian Video "Kuzinduka" | Ni nini Maana ya Uzima?

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Swahili Christian Video "Kuzinduka" | Ni nini Maana ya Uzima?

Jina lake ni Chen Xi, na tangu akiwa mtoto elimu na ushawishi wa wazazi wake na shule yake zilimfanya yeye mara zote kutaka kwa tofauti na wengine na kutafuta kuwa juu ya wengine,kwa hivyo alikuwa na bidii katika masomo yake na kutia juhudi zote. Baada ya kumwamini Mungu Chen Xi alisoma maneno ya Mungu kwa wingi na akaja kuelewa kiasi fulani cha ukweli. Aliona kuwa njia pekee inayofaa katika maisha ni kumwamini na kumfuata Mungu na kuwa mtafutaji mwenye shauku, na alijitolea kwa dhati katika kutekeleza wajibu wake.

Ijumaa, 7 Desemba 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Fasiri ya Mafumbo ya Maneno ya Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Arubaini

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Arubaini

Kwa Mungu, mwanadamu ni kama mtu anayechezewa katika mshiko Wake, kama nudo inyoshwayo kwa mkono katika mikono Yake—inayoweza kufanywa nyembamba au nzito kama apendavyo Mungu, kuifanyia Apendavyo. Ni haki kusema kwamba mwanadamu kwa kweli ni mtu anayechezewa mikononi mwa Mungu, kama paka wa Uajemi ambaye bibi amemnunua kutoka sokoni. Bila shaka, yeye ni mtu anayechezewa mikononi mwa Mungu—na kwa hiyo hakukuwa na chochote cha uongo kuhusu ufahamu wa Petro.

Alhamisi, 6 Desemba 2018

Maneno ya Mwenyezi Mungu | Njia… (1)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Maneno ya Mwenyezi Mungu | Njia… (1)

Katika maisha yake, hakuna mtu anayejua ni aina gani ya vipingamizi ataenda kukutana navyo, wala hajui ni aina gani ya kusafishwa ambayo atapata mara kwa mara. Kwa wengine ni katika kazi yao, kwa wengine ni katika matazamio yao ya siku za baadaye, kwa wengine ni katika familia yao ya asili, na kwa wengine ni katika ndoa yao. Lakini kilicho tofauti nayo ni kwamba leo sisi, kundi hili la watu, tunateseka kwa ajili ya neno la Mungu. Yaani, kama mtu anayemtumikia Mungu, amekutana na vipingamizi katika njia ya kuamini katika Yeye, na hii ni njia ambayo waumini wote hufuata na ni njia iliyo chini ya miguu yetu yote.

Jumatano, 5 Desemba 2018

Neno la Mungu "Je, Kazi ya Mungu ni Rahisi Jinsi Mwanadamu Anavyodhania?" (Official Video)


Neno la Mungu "Je, Kazi ya Mungu ni Rahisi Jinsi Mwanadamu Anavyodhania?"(Official Video)

Mwenyezi Mungu anasema, "Unapaswa kuona kuwa mapenzi Yake na kazi Yake si rahisi kama ilivyokuwa katika kuumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo. Kwa sababu kazi ya leo ni kubadilisha wale waliopotoshwa, wale waliokufa ganzi, na kutakasa walioumbwa kisha kushughulikiwa na Shetani, si kuumba Adamu na Hawa, ama hata kuumba mwanga, ama aina yote ya mimea na wanyama. Kazi Yake sasa ni kutakasa wote waliopotoshwa na Shetani ili kwamba wamrejelee, wawe miliki Yake na wawe utukufu wake.

Jumanne, 4 Desemba 2018

Sura ya 6 Aina Mbalimbali za Utofautishaji Ambazo Unafaa Kumiliki katika Kusadiki Kwako kwa Mungu | Unafaa Utofautishe Vipi Kati ya Kazi ya Roho Mtakatifu na Kazi ya Pepo Wabaya?

2. Unafaa Utofautishe Vipi Kati ya Kazi ya Roho Mtakatifu na Kazi ya Pepo Wabaya?

Maneno Husika ya Mungu:
Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ya Roho Mtakatifu ni kuhusu kuwasaidia watu kupata faida; ni kuwaadilisha watu; hakuna kazi ambayo haiwanufaishi watu. Haijalishi kama ukweli ni wa kina au usio wa kina, na haijalishi tabia ya wale wanaopokea ukweli huo ilivyo, chochote ambacho Roho Mtakatifu Anafanya, yote hayo huwanufaisha watu.
kutoka kwa "Kazi ya Mungu na Kazi ya Mwanadamu" katika Neno Laonekana katika Mwili

Jumatatu, 3 Desemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Nyimbo

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Wimbo wa Uzoefu wa Maisha

Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani

I
Nimerudi kwa familia ya Mungu, mchangamfu na mwenye furaha. Mikono yangu imemshika mpendwa wangu, moyo wangu ni miliki Yake. Japo nimepitia Bonde la Machozi, nimeyaona mapenzi ya Mungu. Mapenzi yangu kwa Mungu hukua siku baada ya siku, Mungu ndiye chanzo cha furaha yangu. Nikiduwazwa na uzuri wa Mungu, moyo wangu umeshikizwa kwa Mungu. Siwezi kumpenda Mungu vya kutosha, nyimbo za sifa huchemka moyoni mwangu. Nikiduwazwa na uzuri wa Mungu, nyimbo za sifa huchemka moyoni mwangu. Siwezi kumpenda Mungu vya kutosha, nyimbo za sifa huchemka moyoni mwangu.

Jumapili, 2 Desemba 2018

Maneno ya Roho Mtakatifu | "Unapaswa Kutafuta Njia ya Uwiano na Kristo"

Maneno ya Roho Mtakatifu | "Unapaswa Kutafuta Njia ya Uwiano na Kristo"

Mwenyezi Mungu anasema, "Ninyi mnatafuta tu uwiano na Mungu asiye yakini, na kutafuta tu imani zisizo yakini ilhali ninyi hulingani na Kristo. Si uovu wenu utapata adhabu kama ile wanayostahili waovu? Wakati uo huo, mtagundua kuwa hakuna mtu yeyote asiyelingana na Kristo atakayeepuka siku ya ghadhabu, na mtagundua ni aina gani ya adhabu italetwa juu ya wale walio katika uadui na Kristo. Siku hiyo itakapofika, ndoto yenu ya kubarikiwa kwa imani yenu katika Mungu na kupata kuingia mbinguni, yote itakatizwa.

Jumamosi, 1 Desemba 2018

Fasiri ya Mafumbo ya Maneno ya Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Tisa

Mwenyezi Mungu alisema, Hebu twende nje ya maneno ya Mungu na tuzungumze kidogo juu ya masuala yanayohusu maisha yetu, ili maisha yetu yasitawi, na tufikie matumaini ya Mungu kwetu. Hasa, pamoja na ujaji wa leo—wakati wa kila mmoja kuainishwa kulingana na aina, na wa kuadibu—kuna haja kubwa ya kuyalenga mambo muhimu na kumakinikia "maslahi ya pamoja." Haya ni mapenzi ya Mungu, na kile kinachopaswa kutimizwa na watu wote.