Jumamosi, 10 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 28. Bila Ukweli Ni Rahisi Kumkosea Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Sura ya 28. Bila Ukweli Ni Rahisi Kumkosea Mungu

    Mwenyezi Mungu alisema, Kutoa kwenu "muhtasari kuhusu ukweli" hakufanywi ili kuwawezesha watu kupata maisha au kupata mabadiliko katika tabia zao kutoka kwa ukweli. Badala yake, kunafanywa ili watu waweze kuwa weledi wa maarifa na mafundisho fulani kutoka kwa ukweli. Wao huonekana kana kwamba wanaelewa lengo lililokusudiwa katika kazi ya Mungu, wakati kwa kweli wamekuwa weledi wa baadhi ya maneno ya mafundisho tu. Hawaelewi maana iliyokusudiwa ya ukweli, na si tofauti na kusomea theolojia au kusoma Biblia

Umeme wa Mashariki | Sura ya 27. Ni Nini Maana ya “Kumkosea Mungu”

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Injili,

Maneno ya  Mwenyezi Mungu | Sura ya 27. Ni Nini Maana ya “Kumkosea Mungu”

Ukilibadilisha au kulikanganya neno la Mungu Mwenyewe, basi hiyo ni sawa na uasi wa Mungu, kukufuru dhidi Yake na usaliti. Hii ni sawa tu na malaika mkuu kusema:"Mungu, Unaweza kuumba mbingu na ardhi na vitu vyote na Unaweza kufanya miujiza, lakini pia mimi ninaweza. Unapanda juu kwenye kiti cha enzi, na hivyo hivyo mimi pia napanda. Unatawala mataifa yote, Ninatawala mataifa yote pia.

Ijumaa, 9 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II (Sehemu ya Nne)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Biblia,

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | (Sehemu ya Nne)

(II) Ubinadamu Hupata Kibali cha Huruma na Uvumilivu wa Mungu Kupitia kwa Toba ya dhati

Kinachofuata ni hadithi ya biblia ya “Wokovu wa Mungu kwa Ninawi.”
(Yona 1:1-2) Basi neno la BWANA lilimjia Yona mwana wa Amitai, likisema, Inuka, uende Ninawi, mji ule mkubwa, upige kelele juu yake; kwa maana uovu wao umepanda juu mbele zangu.

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II (Sehemu ya Tatu)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Biblia,
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II

Sehemu ya Tatu

Maneno ya  Mwenyezi Mungu | Hasira ya Mungu Ni Usalama wa Nguvu Zote za Haki na Mambo Yote Mazuri

Kwa kuielewa mifano hii ya hotuba, fikira na vitendo vya Mungu, je, unaweza kuielewa tabia ya haki ya Mungu, tabia isiyoweza kukosewa? Mwishowe, hii ni dhana ya tabia ya kipekee kwa Mungu Mwenyewe, bila ya kujali ni kiwango kipi ambacho binadamu anaweza kuelewa. Kutoweza kuvumilia kosa na Mungu ndiyo hali halisi Yake ya kipekee; hasira ya Mungu ndiyo tabia Yake ya kipekee; adhama ya Mungu ndiyo hali Yake halisi ya kipekee.

Alhamisi, 8 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II(Sehemu ya Pili)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Biblia,
Ingawaje Hasira ya Mungu ni Fiche na Haijulikani kwa Binadamu, Haivumilii Kosa Lolote

 Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II

(Sehemu ya Pili)

Baada ya Ukinzani wa Mara kwa Mara wa Sodoma na Ukatili Wao Dhidi Yake, Mungu Anaifuta Kabisa

Mwenyezi Mungu alisema, Mara tu tunapokuwa na ufahamu wa jumla kuhusu tabia ya haki ya Mungu, tunaweza kurejesha umakinifu wetu kwenye mji wa Sodoma—kile ambacho Mungu aliona kuwa mji wa dhambi. Kwa kuelewa hali halisi ya mji huu, tunaweza kuelewa ni kwa nini Mungu alitaka kuuangamiza na ni kwa nini Aliuangamiza kabisa. Kutokana na haya, tunaweza kujua tabia ya haki ya Mungu.

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kupata Mwili Mara Mbili Kunakamilisha Umuhimu wa Kupata Mwili

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Kupata Mwili Mara Mbili Kunakamilisha Umuhimu wa Kupata Mwili

Kila hatua ya kazi iliyofanywa na Mungu ina umuhimu wake mkubwa. Yesu alipokuja zamani, Alikuwa mwanaume, lakini Mungu anapokuja wakati huu Yeye ni mwanamke. Kutokana na hili, unaweza kuona kwamba Mungu aliwaumba mwanaume na mwanamke kwa ajili ya kazi Yake na Kwake hakuna tofauti ya jinsia. Roho Wake anapowasili, Anaweza kuchukua mwili wowote kwa matakwa Yake na mwili huo unaweza kumwakilisha Yeye. Uwe wa kiume au kike, unaweza kumwakilisha Mungu alimradi tu ni mwili Wake wa nyama.

Jumatano, 7 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II

Tabia ya Haki ya Mungu

Mwenyezi Mungu alisema, Kwa vile sasa mumesikiliza kikao cha ushirika uliopita kuhusu mamlaka ya Mungu, Ninao ujasiri kwamba mumejihami vilivyo na mseto wa maneno kuhusu suala hili. Kiwango unachoweza kukubali, kushika, na kuelewa vyote hivi vinategemea na jitihada zipi utakazotumia. Ni tumaini Langu kwamba utaweza kutazamia suala hili kwa dhati; kwa vyovyote vile hufai kulishughulikia shingo-upande! Sasa, je, kujua mamlaka ya Mungu ni sawa na kujua Mungu kwa uzima wake?

Jumanne, 6 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 23. Jinsi ya kuelewa Umoja wa Mwili na Roho

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Yesu, Sura ya 23. Jinsi ya kuelewa Umoja wa Mwili na Roho

     Baadhi ya watu huuliza, “Mungu huangalia kwa makini moyo wa binadamu, na mwili na Roho wa Mungu ni moja. Mungu hujua kila kitu ambacho watu husema, kwa hivyo Mungu anajua kwamba sasa ninamwamini?” Kujibu hili swali huhusisha jinsi ya kuelewa Mungu mwenye mwili na uhusiano kati ya Roho Wake na mwili. Baadhi husema, “Mungu ni halisi kwa njia thabiti.” Wengine husema, “Yeye ni halisi kwa njia thabiti. Lakini mwili Wake na Roho Yake ni moja, kwa hivyo Yeye anapaswa kujua hilo!” Kumfahamu Mungu ni hasa kuelewa kiini Chake na sifa za Roho Wake, na mwanadamu hapaswi kujaribu kuamua kama mwili wa Mungu hujua kitu chochote fulani au kama Roho Wake hujua kitu chochote; Mungu ni mwenye hekima na wa ajabu, Asiyeeleweka kwa mwanadamu.